Sawa Wagombee wote ili tupate chaguo sahihi la CHADEMA, maana naona kama vile LISU anabebwa na media na wafuasi wake ambao hata siyo wapiga kura.Wapi nimesema Mbowe amuachie Lissu uenyekiti?
Mbona hata kwenye Urais alichukua fomu ila baada ya kuona upepo wa Lissu akaghairi kurudisha fomu maana anajua asingepata hata kura 1. Kwahiyo Lissu hajawahi muogopa Mbowe in fact Mbowe anaogopa open election maana anaweza kushinda ila kwa kura chache possibly 52% sasa itampunguzia credibility na infallible status aliyokua amejiwekea na hawezi kubali hilo.
Hapana tunataka demokrasia agombee ila sasa asitumie incumbency kuharibu uchaguzi atavuruga chama. Akishindwa akubali matokeo na akishinda basi aweze kujenga umoja maana mpasuko utakua obvious.