Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Kikubwa wamalawi wamekataa ubeberu kama sisi Watanzania tunavyomuunga mkono Rais Magufuli kupinga ubeberu na kutetea Watanzania
Uongo uliokithiri.Kikubwa wamalawi wamekataa ubeberu kama sisi Watanzania tunavyomuunga mkono Rais Magufuli kupinga ubeberu na kutetea Watanzania
Na hii ni kwsababu Ccm wana jua tukiwa na hivyo vyombo ndio mwisho wa utawala wao..Shida ya nchi yetu hatuna mahakama huru wala tume huru ya uchaguzi
Hiyo dola yenyewe haimtaki...achilia mbali WANANCHIUpo sawa lakini ebu fikiria kama angekuwa amejikita kutumia nguvu ya dola na kutengeneza vibaraka wakumsifu unadhani wananchi wangekuwa na namna ya kumtoa?
ukatae ubeberu wakati hata taulo za kike unasaidiwa na wao. ulisika kwenye bajeti yenu hewa wakiitwa mabeberu kwamba ati Tanzania itapokea msaada wa EUPO kadhaa toka kwa mabeberu au hujui maana ya beberu wewe.Kikubwa wamalawi wamekataa ubeberu kama sisi Watanzania tunavyomuunga mkono Rais Magufuli kupinga ubeberu na kutetea Watanzania
hata mapolisi wakikimbia na masanduku ya kura nayo ni halali kama kinondoni kwa mtuliyaMpinzani akishinda haki imetendeka![emoji53]
Huendahata mapolisi wakikimbia na masanduku ya kura nayo ni halali kama kinondoni kwa mtuliya
Hata WANANCHI hawajitambuiShida ya nchi yetu hatuna mahakama huru wala tume huru ya uchaguzi
Malawi wamekataa huyo Rais Kwasababu alikuwa anaishi Ulaya.
Yaani familia yake ipo ulaya kwa mwezi anaenda mara mbili.
Kikubwa wamalawi wamekataa ubeberu kama sisi Watanzania tunavyomuunga mkono Rais Magufuli kupinga ubeberu na kutetea Watanzania
Ukishindwa hoja, uungwana ni kukaa kimya au kukubali lakini siyo kuongea Uongo ili kuipa nguvu hoja yako. Hapo ukiambiwa uthibitishe jinsi polisi walivyokimbia na hayo masanduku ya kura utaanza kujambajamba.hata mapolisi wakikimbia na masanduku ya kura nayo ni halali kama kinondoni kwa mtuliya