Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
chama kutegeme wazee kama mtaji wa kisiasa ni dalili ya kifo kibaya sana zaid hata cha mende
Chama kizee lazima kitegemee wazee. Hawa wazee wakiisha na chenyewe kinakufa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chama kutegeme wazee kama mtaji wa kisiasa ni dalili ya kifo kibaya sana zaid hata cha mende
so what do you want us to do?
alfred masako na fatma nyangasa wanajaribu kuchambua mchakato wa jinsi upigaji kura unaoendelea huko igunga. huyu mpigapicha anavyomuonyesha fatma kwa nyuma tu, anaharibu concetration
chama kutegeme wazee kama mtaji wa kisiasa ni dalili ya kifo kibaya sana zaid hata cha mende
Chama kizee lazima kitegemee wazee. Hawa wazee wakiisha na chenyewe kinakufa.
hii concept ya kina mama na wazee nimeisikia sana leo, tena wakati mwingine kutoka kwa mbunge fulani(jina kapuni). hivi hii dhana maana au lengo lake ni nini hasa wadau?
naona hali ni shwari tu sio igunga tu hadi humu jamvini mpaka sasa hivi hakuna ban iliyojitokeza naona mambo safi tu..
sijui itakuwaje kwenye kuhesabu inatakiwa majibu leoleo hakuna mambo ya kesho hapa..
Hawa wazee wamejitokeza kwa wingi sana kupiga kura Igunga tofauti na vijana, labda na vijana wanasubiri hadi wazeeke, kupanga ni kuchagua.
Kumbe na wewe umeona eeeh! Dah mwanangu paja usipime makalio ndio baasi yani hata wakimuonesha siku nzima i'll stick to my TV dah huyu binti mashalaaah! Mwe!
Uchaguzi mdogo wa Igunga unafanyika leo ambapo vyama ninane vinashiriki (tofauti na vyama viwili tu uchaguzi wa 2010) Nani kuvuna nini ni hapo jioni maana kwa mujibu wa msimamizi wa uchaguzi matokeo yatatangazwa leo hii.
Kwa wale mnaopenda kufuatilia maendeleo ya yanayojiri Igunga ITV wana program maalum ya siku nzima ku cover uchaguzi huo
Mkuu una macho makali uko washington na unawaona wazee huko igunga !!!!!1
Kumbe na wewe umeona eeeh! Dah mwanangu paja usipime makalio ndio baasi yani hata wakimuonesha siku nzima i'll stick to my TV dah huyu binti mashalaaah! Mwe!