Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Status
Not open for further replies.
naona hali ni shwari tu sio igunga tu hadi humu jamvini mpaka sasa hivi hakuna ban iliyojitokeza naona mambo safi tu..

sijui itakuwaje kwenye kuhesabu inatakiwa majibu leoleo hakuna mambo ya kesho hapa..
 
alfred masako na fatma nyangasa wanajaribu kuchambua mchakato wa jinsi upigaji kura unaoendelea huko igunga. huyu mpigapicha anavyomuonyesha fatma kwa nyuma tu, anaharibu concetration

Kumbe na wewe umeona eeeh! Dah mwanangu paja usipime makalio ndio baasi yani hata wakimuonesha siku nzima i'll stick to my TV dah huyu binti mashalaaah! Mwe!
 
Chama kizee lazima kitegemee wazee. Hawa wazee wakiisha na chenyewe kinakufa.

Hawa wazee wamejitokeza kwa wingi sana kupiga kura Igunga tofauti na vijana, labda na vijana wanasubiri hadi wazeeke, kupanga ni kuchagua.
 
Nasikia Ng'wanangwa kala BAN kwa mujibu wa Jerusalemu

naona hali ni shwari tu sio igunga tu hadi humu jamvini mpaka sasa hivi hakuna ban iliyojitokeza naona mambo safi tu..

sijui itakuwaje kwenye kuhesabu inatakiwa majibu leoleo hakuna mambo ya kesho hapa..
 
Asitokee mtu akafanya husuda huko,kinachotakiwa watu wapige kura na waachwe watulie,,,,,,,sasa haya mambo ya kugawa pesa siku ya uchaguz ili iweje????nashangaa uchaguz huu PCCB(TAASIS YA KUKUZA NA KUPAMBA RUSHWA) sijawaskia
 
Vituo zaidi ya 200 wamemaliza kupigisha kura, wanasubiri muda wa kufunga vituo (sasa kumi kamili jioni)
 
........Huu uchaguzi bora uishe, kelele zitulie.
 
Hawa wazee wamejitokeza kwa wingi sana kupiga kura Igunga tofauti na vijana, labda na vijana wanasubiri hadi wazeeke, kupanga ni kuchagua.

Mkuu una macho makali uko washington na unawaona wazee huko igunga !!!!!1
 
Kumbe na wewe umeona eeeh! Dah mwanangu paja usipime makalio ndio baasi yani hata wakimuonesha siku nzima i'll stick to my TV dah huyu binti mashalaaah! Mwe!

mimi nilikuwa cjuhi kama yuko vile nimezoea kumuona juu tu,ila analeta hamasa na hatuchoki kuangalia japo kuna muda napotea kido kimawazo but peoplez power,ananguvu ya umma nyumayake.
 
Wazee na kina mama wanazidi kujitokeza kwa wingi, vijana ni wachache SANA.
 
Wazee na akina mama wamewazidije kete vijana.Pamoja na yote sidhani kuwekeza kwa vijana ni mtaji bora, tulio wengi hatuna uvumilivu zaidi ya kupeana moyo.Baadhi ni waharifu na pengine wanahisi kwenda kupiga kura ni sawa na kujikabidhisha kwa polisi.

Kuna haja ya kuwa na utafiti makini juu ya kwa nini vijana hatutumii haki yetu ya msingi hasa katika kupiga kura na baadae kuanza kuwagombanisha wanasiasa ''kwa maana ya wizi wa kura'' kumbe atuku-show up.
 
Uchaguzi mdogo wa Igunga unafanyika leo ambapo vyama ninane vinashiriki (tofauti na vyama viwili tu uchaguzi wa 2010) Nani kuvuna nini ni hapo jioni maana kwa mujibu wa msimamizi wa uchaguzi matokeo yatatangazwa leo hii.

Kwa wale mnaopenda kufuatilia maendeleo ya yanayojiri Igunga ITV wana program maalum ya siku nzima ku cover uchaguzi huo

TBC - 1 kama kawaida wao mambo ya kitaifa ni Miaka 50 ya Uhuru Wizara ya Afya, ITV wazalendo wapo juu!!!

There are currently 1105 users browsing this thread. (255 members and 850 guests)???
 
News Alert: Kikwete eyes Kafumu as Ngeleja's successor.
 
Kumbe na wewe umeona eeeh! Dah mwanangu paja usipime makalio ndio baasi yani hata wakimuonesha siku nzima i'll stick to my TV dah huyu binti mashalaaah! Mwe!

Anaweza kudaka ubunge wa vitu maalum.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom