Uchaguzi Mdogo Mbarali: Bahati Ndingo ashinda Kiti cha Ubunge

Uchaguzi Mdogo Mbarali: Bahati Ndingo ashinda Kiti cha Ubunge

#CCM BABA LAO,

View attachment 2755944
#UCHAGUZI SIO UADUI HONGERA SANA ACT- WAZALENDO TUKUTANE 2024 & 2025 "MKISUSA SISI TWALA"

Mmeshindana na wakina ACT ila mnawapiga madongo CHADEMA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tuliwaambia chakula cha dhulma hamuwezi kula kwa raha
 
Mapinzani majinga bado yanashiriki uchafuzi yakidhani yataonewa huruma... yaache yaoleweee...ooh sorry yaache yaonewee!!
Hawa nisawa na msichana mzuuriii anaingia geto la wahuni wavuta mibangi na bikini yake eti kushauri waache bange...
 
Ndio leo najua kulikuwa na igizo linaloitwa uchaguzi.

Wenye akili walishajitoa muda mrefu sana.

Unawezaje kwenda kushiriki mechi ambayo referee ana hisa kwenye timu moja na ndio anatakiwa asiamie taratibu za mchezo.
Mkijitoa msilalamike ...wanapowapangia sera za ubinafsishaji
 
Back
Top Bottom