Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
#CCM BABA LAO,
View attachment 2755944
#UCHAGUZI SIO UADUI HONGERA SANA ACT- WAZALENDO TUKUTANE 2024 & 2025 "MKISUSA SISI TWALA"
Mkurugenzi wa Halmashauri na kada mtiifu wa Chama cha Mapinduzi ndio msimamizi wa Uchaguzi.Bw. Missana Kwangura
Huyu alikuwa mbunge viti maalum, alishaanza kula kitambo
Siyo jimbo languMgombea wako alikuwa nani?
Hatushiriki upuuzi.Kwanini CHADEMA hamkushiriki?
Usinitukane tu, piga hata picha ukiwa uchi kunilaani.Sijui nikutukane
Siyo jimbo langu
Hapo ujuwe kaishiwa kila kitu, hana tena cha kusema, inabidi ajitutumuwe kutafuta msaada wa Qur'an.Quran imehusika vip na uchaguzi mkuu?
Kwani hapo ni chama gani cha upinzani kilicho shiriki?Kwanini CHADEMA hamkushiriki?
ILU
Mkijitoa msilalamike ...wanapowapangia sera za ubinafsishajiNdio leo najua kulikuwa na igizo linaloitwa uchaguzi.
Wenye akili walishajitoa muda mrefu sana.
Unawezaje kwenda kushiriki mechi ambayo referee ana hisa kwenye timu moja na ndio anatakiwa asiamie taratibu za mchezo.