Uchaguzi Mdogo Mbarali: Bahati Ndingo ashinda Kiti cha Ubunge

Kabla ya mambo yote naomba mwenye takwim za waliojiandikisha kupiga kura 2020 idadi ilikua ngapi

Pili naomba kujua kwa mjibu wa sensa jimbo la Mbalali lipo na idadi gani ya watu,
Tafadhali mwenye data hizi
 
Mmeshindana na wakina ACT ila mnawapiga madongo CHADEMA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tuliwaambia chakula cha dhulma hamuwezi kula kwa raha
Sababu chadema ndo wamejaa humu kulalamika wakati hamkushiriki.
 
hii ni ishara njema ya ushindi wa kishindo 2024-2025 kwa chama hiki kwa ngazi zote, wenyeviti mitaa na vijiji, Urais, Ubunge na Udiwani.
 
Ccm vs ccm
 
Jamen wazee wetu mbarali mbeya hebu fanyieni vetting huyu ngimdo
Hakuna ukoo huu mbeya
Katokea pwani huyu
Hatumtambui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…