Uchaguzi Mdogo Mbarali: Bahati Ndingo ashinda Kiti cha Ubunge

Kama unashangaa kweli basi wewe ni Firauni subiri ya Musa. Hatua inayofuata ni kupinga matokeo kwanza kwa Tume ya Uchaguzi twnye Wajumbe wafuatao: 1. Mwenyekiti ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jaji Themistoceles Kaijage w Mahakama ya Rufaa; Makamo wake Jaji Mahmoud Makame Mahfoudh, Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, na Majaji wengine 5 wakiwamo raia 2 watumishi wa umma w muda mrefu. Je, hiyo Kamati ni huru au siyo huru kwa mtizamo wako?
 
Ushindani mkubwa upi? Mtu kazidiwa kura 34,000
 
Wewe ndio hujui kitu. Kumbe hata humjui mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi.
 
#CCM BABA LAO,

Matokeo ya uchaguzi mdogo wa kiti cha ubunge Jimbo la Mbarali mkoani Mbeya yametangazwa,

Mgombea ubunge kupitia CCM Bi. Bahati Ndingo ameibuka mshindi kwa kura elfu 44,334 dhidi ya mpinzani wake wa karibu kutoka chama cha ACT Wazalendo Bw. Dickson Kilufi, aliyepata kura 10,014.

#UCHAGUZI SIO UADUI HONGERA SANA ACT- WAZALENDO TUKUTANE 2024 na 2025
 
 
Kajamaa kanafiki sana eti kanapiga kampeni Kwa simu. Kaliogopa kwenda site kasiwaudhi maboss wake
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM wamajiibia kura kutoka CCM B
 
Yule mnafiki Sana. Ndio mnafiki aliyebaki kwenye siasa za Tanzania yeye na Lipumba. Ingawa Lipumba Hana ushawishi Tena. Mimi kwa ACT namkubali Jussa pekee.
 
ACT imetekeleza wajibu wake wa kikatiba na kisiasa imeainisha mapungufu ya serikali uozo wa Serikali na namna hicho kinachoitwa maridhiano yanavyochezewa
Hawajakimbia uwanja wa vita ili waonekane hawajashindana

Mtu muoga Kuliko wote ni yule anayekimbia mapambano na kusema ningingia Mimi ningeshinda, Chadema ni wazi wamepoteza mwelekeo wa namna ya kushinikiza mabadiliko wanaamini katika nguvu badala ya akili na Kwa sababu ya Ushiriki wa ACT huko Mbarali Leo hii wachambuzi mbuzi wamepata la kuongea juu ya mustakabali wa Maridhiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…