Uchaguzi Mdogo Mbarali: Bahati Ndingo ashinda Kiti cha Ubunge

Hizo kura ni uongo watu wachache sana walipiga kura,wanaona aibu kusema ameshinda kwa kura elfu moja
 
Uchaguzi haukuwa wa huru na haki,CCM walituma wasiojulikana
Your browser is not able to display this video.
 
#CCM BABA LAO,

Matokeo ya uchaguzi mdogo wa kiti cha ubunge Jimbo la Mbarali mkoani Mbeya yametangazwa,

Mgombea ubunge kupitia CCM Bi. Bahati Ndingo ameibuka mshindi kwa kura elfu 44,334 dhidi ya mpinzani wake wa karibu kutoka chama cha ACT Wazalendo Bw. Dickson Kilufi, aliyepata kura 10,014.

#UCHAGUZI SIO UADUI HONGERA SANA ACT- WAZALENDO TUKUTANE 2024 na 2025
 
Kazi iendelee kabisa
 
Mwanaume na akili zake unasema "CCM baba lao" kweli Tz mashoqer wameongezeka.
 
Kweli ccm baba lao wametuletea mwekezaji mpya wa bandari safi sana

Ova
 
Hapana,Ni Mungu ndio anaisaidia CCM
Kuua
Kuiba
Ufisadi
Kuuza nchi

Vyote hivyo kwa msaada wa Mungu?

Nahisi hapo ulipo hata kuvuka barabara huwezi kwa sababu labda akili hiyo haipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…