Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Aliyekuambia kuwa mimi ni mchaga ama mtu wa kaskazini kakudanganya.Tatizo nyie wachaga mnadhani mnaweza kutawala nchi bila sapoti ya kanda ya ziwa
Mie ni mwenyeji wa Ng'walogwabagole ni msukuma pyua wa ng'weli, Ila siungi mkono Gwaji boy kugombea urais kwa tiketi ya Chadema. Hana sifa hata moja kwa kifupi.....
Hafai kabisa, Ila kwa tiketi ya ACT WAZALENDO anafaa kabisa.