Uchaguzi mkuu kiti cha Rais 2025 (video): Unabii waweka wazi kuwa ni Samia S. Hassan (CCM) vs Bishop Josephat Gwajima (CHADEMA)...

NB:
Naomba moderators tafadhali ruhusuni mada hii ijadiliwe. Msiogope, haina madhara yoyote kwenu na JF kwa sbb hii ni kitu halisi na mtu aliyetoa unabii huu yupo na anaweza kuulizwa na kuthibitisha haya

==============================================

Ukiitazama na kuisikiliza hii video ya unabii huu toka kwa Mwl. Steven Jacob, toka Arusha, inafikirisha na kutafakarisha kiasi chake. Tazama na sikiliza👇🏻👇🏻👇
View attachment 2969906

Kwa ufupi sana kwa wale wasio na vifurushi:

1. Mama Samia Suluhu Hassan (Rais wa sasa wa JMT) amekataliwa na Mungu - Jehovah, hatakiwi kugombea kiti cha Urais mwaka 2025. Si chaguo la Mungu - Jehova kuiongoza Tanzania mwaka 2025 - 2030..

2. Pamoja na kuwa ameshakataliwa, kitakachokuwa ni ajabu ni kuwa yeye na watu wake watalazimisha agombee. Na kwa mujibu wa unabii huu, ni kuwa atapitishwa kwa hila, atagombea lakini habari njema kwa wanamageuzi wote ni kuwa HATASHINDA UCHAGUZI HUO..!

3. Wakati huohuo ndani ya CCM yupo mtu ambaye Mungu keshamweka kuwa ndiye agombee na awe Rais ajaye wa Tanzania na jina lake katajwa kwa uwazi kabisa kuwa ni Bishop Josephat Gwajima. Ila wenzake ndani ya CCM watamkataa na hawatampa nafasi hiyo..

4. Kwa mujibu wa unabii huu, CHADEMA hawana mtu ambaye ana kibali cha Mungu - Yehova kugombea kiti cha u - Rais mwaka 2025 aliye ndani ya chama chao..

5. Na kwa kuwa Mungu tayari ameshampaka mafuta ya u - Rais wa nchi hii ndugu Josephat Gwajima, na kwa CCM watakuwa wamemkataa, basi Mungu atatengeneza mazingira ya kumtoa CCM na mara moja Freeman Mbowe au CHADEMA watampa nafasi ya ugombea u - Rais na CHADEMA kupitia kwa Ndugu Josephat Gwajima, watashinda na kuitawala nchi kwa mara ya kwanza..

6. Kwa Mama Samia Suluhu Hassan na CCM , unabii unasema, systematically Mungu ataachilia aibu iliyo kuu kwake na CCM itachinjwa kidogo kidogo mpaka ife kabisa..

============================================

MAONI YANGU

1. Pamoja na kuwa sisi wakristo Biblia - Neno la Mungu linatuonya kuwa;

‭1 Wathesalonike 5:20-22 SUV

".....msitweze unabii; jaribuni mambo yote; lishikeni lililo jema; jitengeni na ubaya wa kila namna.."

Lakini wakati huohuo Biblia hiyo hiyo inatuhadharisha kuwa ni lazima kila unabii (kila roho isemayo yatoka kwa Mungu) ipimwe katika vigezo vya Neno la Mungu (Biblia) kama ilivyoandikwa;

‭1 Yohana 4:1-2 SUV‬

"...Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu.."

Ukipimwa na ukaenda sambamba na Neno la Mungu, huo unabii au hiyo roho iliyoleta neno hilo itakuwa inatoka kwa Mungu na kwa hiyo hapaswi mtu kuubeza (kuutweza au kuudharau)..

2. Unabii wa huyu ndugu ni mzito sana. Unahusu hatima ya nchi na taifa letu na watu wa nchi hii kwa ujumla. Natoa wito kwa wajuzi wa maandiko (Neno la Mungu) waje hapa na kutoa uchambuzi usio - base katika hisia na maarifa ya kibinadamu bali ule unaozingatia Neno la Mungu (Biblia...)

3. Je, wewe unasemaje? Toa maoni yako...
Unabii wake ni feki huo...................haitokuwa hivyo....................
 
Mkuu

Nabii ni nyingi Hadi zinachanganya!!

Kuna wengine wanadiriki kusema Kuna vifo vya wakubwa Sasa tushike lipi!!?

Kuhusu mama ni kweli hats duru zinaonyesha ushindi wake sio wa.kura Bali wa Dola kama Dola haitagawanyika wakati was uchaguzi!!
 
Kwanini huungi mkono?

Unadhani nani atapinga au kuzuia jambo ambalo limeamuliwa tayari na Mungu mwenyewe?
Kama una kumbukumbu za kutosha utakumbuka kuhusu unabii wa nabii TB Joshua alipotangaza hadharani kuhusu Edward Lowassa kwamba huyo ndiye rais wa 5 Tanzania, na Mungu ndiye aliyemfunulia hayo.

Hivi umewahi kujiuliza kwa nini Edward Lowassa hakutimiza huo unabii? Mie naamini kuwa nabii TB Joshua alifunuliwa na mungu yule yule aliyemfunulia huyo nabii wa Arusha. Kinachonipa shida ni hiki.. Mungu alimuondoa duniani nabii TB Joshua, baadae akamuondoa na Edward Lowassa.

Mpaka leo Sijajua mwenye shida ni nani kati ya hawa watatu..
1. Mungu aliyemfunulia TB Joshua

2. TB Joshua aliyefunuliwa na huyo Mungu.

3. Edward Lowassa aliyetabiriwa kuwa ndiye rais wa awamu ya tano Tanzania.

Kumbuka TB Joshua na Edward Lowassa sasa.

Hebu nitatulie hiyo shida Ila nipate kuamini pia kuhusu Gwaji boy ndiye rais aliyetabiriwa
 
Inafikirisha Sana , kiukweli .
Mungu ni mwema hawezi kuwa upande wa siasa za uongo za Sisiemu na chadema.
 
Vipi Askofu Josephat Gwajima?

Wengi (hasa waislam) wanasema ishu ni ukristo wake na title yake ya "bishop"

Lakini wanasahau kuwa nchi hii ilishatawaliwa na Shekhe & Al hadji Ally Hassan Mwinyi (hayati) mwislamu swala tano..

Hata hivyo kwangu mimi hizo zote sio hoja. Isipokuwa bado nautafakari unabii huu kabla ya kutoa msimamo wangu..

On the other hand, mimi Rais wangu siku zote amekuwa ni Tundu Lissu makamu mwenyekiti CHADEMA, mtu aliyekwisha mwaga damu yake kwa ajili ya kuitetea nchi hii...

Huyu (Tundu Lissu) ndiye kila akili, jicho na sikio la mpenda mabadiliko yeyote anatarajia CHADEMA watamsimamisha na kumshinda yeyote toka CCM come 2025...

Imenishangaza sana unabii huu kutomgusa mzalendo huyu hata chembe ili tujue position..

Hata hivyo mimi ni nani kama Mungu mwenyewe ameshaamua iwe hivyo?

Ngoja kwanza tuendelee kuutafakari na kuupima unabii huu..
Ni ujinga kiasi gani hata wakimpokea? Tambua Gwajima ni CCM then aende kugombea kule sio rahisi ,ishu ya Lowasa bado inawagawa wao kwa wao mpaka leo.

Kama kweli ni Mpango wa Mungu ,yule shekhe yahya yupo correct 💯 kwa sababu alitabiri mpaka kifo cha Magufuli mda mrefu sana ....Uhalisia ni kwamba Mama samia ni chaguo la Mungu.
 
Nabii zimetokea kuibuka kwa wingi sana zenye kuzungumzia matukio ya kisiasa, kiuchumi na kijamii tuelekeapo miaka ya 2024 & 2025. Kupitia maandiko nabii huwa ananena, Bwana akamwambia mtumishi wake na kusema...

Manabii wetu wa sasa wao huonyeshwa katika ndoto tu pasipo Bwana kuwaambia nini anachokisema kwa kanisa lake. Tumeambiwa kuwa unabii unaonyesha Dat es Salaam itaangamizwa kwa kwa maji na moto kati ya mwezi huu ama ujao, sasa hivi tunapokea unabii huu.

Lakini maandiko pia yatuambia kuwa nyakati hizi watatokea manabii wengi wa uongo na kuwapotosha wengi. Nafikiri hata huyu nabii aliyetoa unabii wa kuangamizwa kwa Dar es Salaam naye pia aliwahi kumtaja Askofu Gwajima ndiye rais mtarajiwa.

Mungu akitunariki na tuzidi kuishi kila siku itwayo leo, katika majira yaliyotabiriwa, tutayapima yote. Na pia tutawatambua kupitia matendo yao.
Hii kitu nimeileta mimi hapa jukwaani..

Nilikuwa napita mitandaoni ni kuikuta huko. Nikawa very interested kuishea kwenye jukwaa kuu la mijadala ya kisiasa - JF..

Sijauamini na sijui kama nitauamini unabii huu. Bado nauchambua na kuupima kwenye mizani ya KWELI na HAKIKA...

Lakini ukweli ni kuwa, kuna maswali mengi ya kujiuliza na kuyajibu...

===============================================

KWA UPANDE MWINGINE: kwa wapenda mabadiliko na wanaoomba usiku na mchana CCM ianguke na kupotea ktk nchi hii, unabii huu kwao ni kama habari njema fulani hivi, unavutia na kuhamasisha kwelikweli na unagusa matamanio yao lakini ndani yake uko mtego hatari..

Ndo kusema kwamba, mtu hasa CHADEMA wanapaswa kuwa makini sana. CCM wako so desperate kubaki madarakani kwa njia yoyote. Wako kazini kuhakikisha CHADEMA inavurugika na viongozi wakuu hususani Freeman Mbowe na Tundu Lissu wanaparurana na kuvurugana..

Wako tayari kujigeuza malaika wa nuru aliyebeba matumaini lakini ndani ya moyo wake ni mbwamwitu na shetani hatari. Kwa sasa CCM inatumia mbinu na mkakati wa "mpige mchungaji, kondoo watawanyike..

Watu wasipumbazwe na CCM. CHADEMA kuweni makini na CCM...

Hebu kila mtu amfuatilie na kumsikiliza kwa makini huyu nabii. Kuna maeneo anasema "hili sitalisena kwa sababu..." au "hapa naomba nisiseme kwa sababu...."

Unabii halisi na wa kweli unaotoka kwa Mungu huwa very precisely clear and straight.

Nabii anapo deliver message toka kwa Bwana Yesu Kristo kamwe hatumii maneno "nadhani", "nafikiri" au "hapa nisiseme".

Ukiona mtu anayejiita nabii na ktk kutoa ujumbe wake anatumia maneno hayo☝🏻☝🏻, basi tambua moja kwa moja kuwa hicho anachosema ni chake na hata yeye hana uhakika nacho, ni mwongo huyo...

CCM wanaigopa CHADEMA vibaya sana. CCM wanamwogopa Tundu Lissu vibaya sana. Wasingependa kumuona anasimama na candidate wao yeyote mwaka kesho 2025..

Watakuja na kila political tactical theories kuhakikisha CHADEMA wanabugi na kujiingiza ktk mgogoro dakika za mwisho. CCM wako tayari kujidhalilisha na kumdhalilisha yeyote akiwemo mwenyekiti wao Rais Samia Suluhu Hassan ili mradi wabaki...

Hebu mtazameni na kumsikiliza tena na tena huyu nabii. Anatoka kwa Mungu kweli huyu?
 
Kama una kumbukumbu za kutosha utakumbuka kuhusu unabii wa nabii TB Joshua alipotangaza hadharani kuhusu Edward Lowassa kwamba huyo ndiye rais wa 5 Tanzania, na Mungu ndiye aliyemfunulia hayo.

Hivi umewahi kujiuliza kwa nini Edward Lowassa hakutimiza huo unabii? Mie naamini kuwa nabii TB Joshua alifunuliwa na mungu yule yule aliyemfunulia huyo nabii wa Arusha. Kinachonipa shida ni hiki.. Mungu alimuondoa duniani nabii TB Joshua, baadae akamuondoa na Edward Lowassa.

Mpaka leo Sijajua mwenye shida ni nani kati ya hawa watatu..
1. Mungu aliyemfunulia TB Joshua

2. TB Joshua aliyefunuliwa na huyo Mungu.

3. Edward Lowassa aliyetabiriwa kuwa ndiye rais wa awamu ya tano Tanzania.

Kumbuka TB Joshua na Edward Lowassa sasa.

Hebu nitatulie hiyo shida Ila nipate kuamini pia kuhusu Gwaji boy ndiye rais aliyetabiriwa
Hao wanapigwa pesa mda mwingine wapo sawa kabisa ila kuna siasa wanaingiza hapo.

Kwanza tujue nguvu za Mungu zipo hatukatai ,maana hata kuwepo pale Mama samia ni nguvu nje wa uwezo wala hata yeye japo ya kuwa makamo ila hakuwa na nguvu enzi hizo ,alikuwa kama geresha kuleta usawa wa kijinsia na ishu ya muungano.

Kila jambo lina mda wake ,lolote linaweza kutokea ila hawa watabiri wengi wanatumika kisiasa .
 
Salaam, Shalom!!

Unabii unasema;

Hadi wakati huu tunavyoongea, aliye na kibali Toka Mbinguni kukalia KITI kikubwa Yuko chama tawala, mtu huyo Jina lake linaanza na herufi "J", na ni MMOJA wa watu Kutoka ukoo wa Lawi.

Nami nikaona jengo refu lililojengwa lenye Kona na mikunjo mingi, na juu ya jengo Hilo,kuna siafu na sisimizi wengi ambao KAZI Yao ni kuzuia washindani watakaopita juu ya jengo Hilo katika kinyanganyiro hicho.

Kisha nikaona kiongozi mmoja mkuu wa chama Cha upinzani ameshikilia barua ya kaki, pia nikaona , chama tawala kimeshika bahasha ya khaki na kilikuwa kinedhamiria kumpa "J" barua hiyo Kwa ajili ya shindano Hilo.

Ikaonekana kuwa, chama Cha kikuu Cha upinzani, pamoja na kushika barua Ile, hakikuwa na mtu wa kwenda kushiriki ushindani Ule.

Ghafula, akatokea mtu mmoja, aliyepita Kwa Kasi na kusafisha njia Ili shindano Hilo lianze Rasmi,

Kisha akatokea Binti apataye umri wa takribani miaka 18 hivi, Binti huyo alikuja Kwa Kasi ya ajabu na kupora bahasha Ile Kutoka chama tawala Kisha akaanza kwenda Kwa Kasi juu ya jengo Hilo.

"J" akaonekana mwenye mawazo akiangalia bila kujua nini Cha kufanya, Kisha nikaona ,kiongozi wa Upinzani akimpa bahasha "J" Ili kwenda kushindana na Binti yule.

UJUMBE:

Mungu anakiambia chama kikuu Cha upinzani kumpokea "J" maana atarudi nyumbani. "J" ndiye aliye na kibali Cha kuongoza na kushinda shindano lijalo, Maana Mungu ameamua huyo ndiye awe kiongozi ajaye.

Mungu amesema, atawapiga upofu chama tawala wasiweze kuandaa theory iliyo Bora ya kumsaidia aliyenyakua bahasha Ile iliyopasa apewe "J". Binti yule, siku ya kwanza atakayoshika mike kuanza shindano lile hatopata HOJA Imara kulingana na mshindani wake " J".

Mungu ameapa kupitia mtumishi wake kuwa, yeyote atakayejaribu kupindisha kusudi la Mungu kumzuia "J" atakutana na mkono wa Mungu, na itathibitika, nani mwenye nguvu na mamlaka, kati ya Mungu na wanadamu.

.............Mwisho wa Unabii..........

Source: Huduma ya Kristo, U-Tube channel, video ya tarehe 16 April , 2024.

Ameeen.
 
😂😂😂 Shekhe yahya alisema baada ya kuongoza mwanamke ,kwa mara ya kwanza chama cha upinzani kitashinda
 
Kila jambo lina mda wake ,lolote linaweza kutokea ila hawa watabiri wengi wanatumika kisiasa .
".. Ole wake mtu (nabii) asemaye kwamba Mungu amesema nami ilhali sijasema naye".

Hiyo ni kauli (onyo) kutoka kwa Mungu mwenyewe.

Walikuwepo na wataendelea kuwepo hao manabii wanaotumia kisiasa Ila mwisho wao huwa ni mmbaya kabisa.
 
Ni ujinga kiasi gani hata wakimpokea? Tambua Gwajima ni CCM then aende kugombea kule sio rahisi ,ishu ya Lowasa bado inawagawa wao kwa wao mpaka leo.

Kama kweli ni Mpango wa Mungu ,yule shekhe yahya yupo correct 💯 kwa sababu alitabiri mpaka kifo cha Magufuli mda mrefu sana ....Uhalisia ni kwamba Mama samia ni chaguo la Mungu.

1. Naweza kukubaliana na wewe kwa moja, kuwa, huu unabii umekosa vigezo vya unabii wa kweli toka kwa Mungu...

2. Nakubaliana na wewe kuwa, CHADEMA watashangaza ulimwengu tena kama wanaweza kufanya kosa la 2015..

3. Lakini sikubaliani na wewe 100% kuwa Samia Suluhu Hassan ni chaguo la Mungu..

Huyu mwisho wake ni sasa. Hawezi kwenda 2025. Akilazimisha kugombea, HATASHINDA KAMWE...

CCM ikiweka mtu mwingine (mwanaume) na awe Mtanganyika, inaweza kujikongoja na kushinda tena japo itakuwa kwa binde kwelikweli...
 
Kuanzia mwanzo hadi mwisho wa narration ya huyu nabii, sijamsikia akitaja na kulikiri jina la Yesu Kristo..

Na tahadhari ya Neno la Mungu - Biblia iko very clear kusema👇🏻👇🏻

‭1 Yoh 4:1-2 SUV

"....[1] Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. [2] Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu..."

Msisitizo kwenye quatation ya maandiko uko kwenye ni kwenye bold enlarged ink...

wewe unasemaje?
Labda CHADEMA tuwe tumerogwa! Gwajima?
 
Salaam, Shalom!!

Unabii unasema;

Hadi wakati huu tunavyoongea, aliye na kibali Toka Mbinguni kukalia KITI kikubwa Yuko chama tawala, mtu huyo Jina lake linaanza na herufi "J", na ni MMOJA wa watu Kutoka ukoo wa Lawi.

Nami nikaona jengo refu lililojengwa lenye Kona na mikunjo mingi, na juu ya jengo Hilo,kuna siafu na sisimizi wengi ambao KAZI Yao ni kuzuia washindani watakaopita juu ya jengo Hilo katika kinyanganyiro hicho.

Kisha nikaona kiongozi mmoja mkuu wa chama Cha upinzani ameshikilia barua ya kaki, pia nikaona , chama tawala kimeshika bahasha ya khaki na kilikuwa kinedhamiria kumpa "J" barua hiyo Kwa ajili ya shindano Hilo.

Ikaonekana kuwa, chama Cha kikuu Cha upinzani, pamoja na kushika barua Ile, hakikuwa na mtu wa kwenda kushiriki ushindani Ule.

Ghafula, akatokea mtu mmoja, aliyepita Kwa Kasi na kusafisha njia Ili shindano Hilo lianze Rasmi,

Kisha akatokea Binti apataye umri wa takribani miaka 18 hivi, Binti huyo alikuja Kwa Kasi ya ajabu na kupora bahasha Ile Kutoka chama tawala Kisha akaanza kwenda Kwa Kasi juu ya jengo Hilo.

"J" akaonekana mwenye mawazo akiangalia bila kujua nini Cha kufanya, Kisha nikaona ,kiongozi wa Upinzani akimpa bahasha "J" Ili kwenda kushindana na Binti yule.

UJUMBE:

Mungu anakiambia chama kikuu Cha upinzani kumpokea "J" maana atarudi nyumbani. "J" ndiye aliye na kibali Cha kuongoza na kushinda shindano lijalo, Maana Mungu ameamua huyo ndiye awe kiongozi ajaye.

Mungu amesema, atawapiga upofu chama tawala wasiweze kuandaa theory iliyo Bora ya kumsaidia aliyenyakua bahasha Ile iliyopasa apewe "J". Binti yule, siku ya kwanza atakayoshika mike kuanza shindano lile hatopata HOJA Imara kulingana na mshindani wake " J".

Mungu ameapa kupitia mtumishi wake kuwa, yeyote atakayejaribu kupindisha kusudi la Mungu kumzuia "J" atakutana na mkono wa Mungu, na itathibitika, nani mwenye nguvu na mamlaka, kati ya Mungu na wanadamu.

.............Mwisho wa Unabii..........

Source: Huduma ya Kristo, U-Tube channel, video ya tarehe 16 April , 2024.

Ameeen.
Ume text-narrate vizuri sana..

Lakini huyu nabii hajaficha jina kwa herufi "J"

Amemtaja kwa uwazi kabisa kuwa ni Josephat Gwajima...
 
1. Naweza kukubaliana na wewe kwa moja, kuwa, huu unabii umekosa vigezo vya unabii wa kweli toka kwa Mungu...

2. Nakubaliana na wewe kuwa, CHADEMA watashangaza ulimwengu tena kama wanaweza kufanya kosa la 2015..

3. Lakini sikubaliani na wewe 100% kuwa Samia Suluhu Hassan ni chaguo la Mungu..

Huyu mwisho wake ni sasa. Hawezi kwenda 2025. Akilazimisha kugombea, HATASHINDA KAMWE...

CCM ikiweka mtu mwingine (mwanaume) na awe Mtanganyika, inaweza kujikongoja na kushinda tena japo itakuwa kwa binde kwelikweli...
Ninaposema chaguo la Mungu ni wakati wa sasa ,baada ya miaka 5 ni ishu nyingine anaweza asiwepo...Yote sawa.

Kwa wakati uliopo ilipangwa ndio maana hata kifo cha Magufuli hakikutarajiwa ni mpango wa Mungu ambao upo nje ya uwezo wetu.

Lolote linaweza kutokea ,humu ndani kuna jamaa aliandika utabiri wa Mwanamke haswa Samia kushika usukani ,hatuwezi kudharau hatujui lolote .
 
Tunaomba CV yake.
Asijekuwa mwanamfumo maana mara chache Mungu amejihusisha na mambo vyama vingi.
Manabii washakaji wa Trump walifanya sana haya wakati wa uchaguzi.
 
Back
Top Bottom