Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Aliyekuambia kuwa mimi ni mchaga ama mtu wa kaskazini kakudanganya.Tatizo nyie wachaga mnadhani mnaweza kutawala nchi bila sapoti ya kanda ya ziwa
Ndugu sysafiri, hebu kwanza ondoa dhana ya "Sukuma Gang" itakupoteza. Mungu humpa ufalme wa nchi yeyote amtakaye haijalishi anatoka wapi. Hayo ya "Sukuma Gang" ni mawazo na dhana potofu za wanadamu. Mungu haangalii hivyo..Mimi naona kama Suk...ma Gang wameanza kampeni mapema!
Kundi linaanza kutubip wananchi kujua tunasemaje!
Hizi tabiri za nyakati za uchaguzi hazina cho chote kabisa!
Ni nabii wa uongo huyo. Japo kasahau kuweka namba ya kupokea sadaka nono, huyo nabii ni sawa na wapiga ramli aka wazee wa sadaka ya kuku wa rangi nyeusi.wewe unasemaje?
Kwanini huungi mkono?Aliyekuambia kuwa mimi ni mchaga ama mtu wa kaskazini kakudanganya.
Mie ni mwenyeji wa Ng'walogwabagole ni msukuma pyua wa ng'weli, Ila siungi mkono Gwaji boy kugombea urais kwa tiketi ya Chadema. Hana sifa hata moja kwa kifupi.....
Hafai kabisa, Ila kwa tiketi ya ACT WAZALENDO anafaa kabisa.
Vigezo vya nabii wa uongo unavijua? Amevifikia huyu?Ni nabii wa uongo huyo. Japo kasahau kuweka namba ya kupokea sadaka nono, huyo nabii ni sawa na wapiga ramli aka wazee wa sadaka ya kuku wa rangi nyeusi.
Makonda anafaa kwa lipi sasa!watu kama Makonda eti wanaonekana hawafai
Kwani WAsukuma wanachagua viongozi kwa Kanda? Mimi nikajua Wasukuma wanachagua kiongozi kwa uwezo wake kumbe wanapangiwa nani wamuunge mkono na nani wasimuunge[Nyumbu ]?Tatizo nyie wachaga mnadhani mnaweza kutawala nchi bila sapoti ya kanda ya ziwa, yaani msahau kabisa kwa kuwatukania watu wa kanda ya ziwa Dkt Magufuli, yaani hawawezi kusahau jinsi mlivyoshangilia kifo chake, never never never nyie watu wa kazikazini kushika patamu pa Tanzania and you will all eventually die na upinzani mpya utaibuka. Unabii wa Gwajima naweza sema labda ni kukipa neema chadema ambayo ilitenda dhambi 2015 kwa kula rushwa ya kumpokea lowasa ambaye alishaondolewa kwenye urais na Mungu kwa matendo yake mabaye ambayo ni mengi including kudhulumu ardhi ya kanisa n.k.
Vipi Askofu Josephat Gwajima?Tatizo nyie wachaga mnadhani mnaweza kutawala nchi bila sapoti ya kanda ya ziwa, yaani msahau kabisa kwa kuwatukania watu wa kanda ya ziwa Dkt Magufuli, yaani hawawezi kusahau jinsi mlivyoshangilia kifo chake, never never never nyie watu wa kazikazini kushika patamu pa Tanzania and you will all eventually die na upinzani mpya utaibuka. Unabii wa Gwajima naweza sema labda ni kukipa neema chadema ambayo ilitenda dhambi 2015 kwa kula rushwa ya kumpokea lowasa ambaye alishaondolewa kwenye urais na Mungu kwa matendo yake mabaye ambayo ni mengi including kudhulumu ardhi ya kanisa n.k.
Vigezo vya nabii wa uongo anavyo.Vigezo vya nabii wa uongo unavijua? Amevifikia huyu?
Tundu lisu haitakaa itokee awe rais kwa sababu dhihaka kwa Mwl Nyerere na Dkt Magufuli na Dkt Kikwete etc na Dkt Samia ya kuita ikulu matope etc. Kwa ufupi lisu usimuhesabie hana kabisa credibility, kupigwa risasi na mbowe kwa ugomvi wa uenyekiti hauwezi kumfanya kuwa rais. Gwajima anaweza kuwa rais na ikitokea inawezakana nchi ikapata maendeleo zaidi sema sasa hivi vingine vya kuuza bandali sijui itakuwaje maana hatujui kama inaweza pia influence upatikanaji wa rais yaani kama Gwajima hakubaliani na uuzwaji wa bandari wanaweza kumuua kabla ya uchaguzi etc au yeyote (hizi ni dhana tu). Kwa ufupi kama nchi tuna hali mbaya sana kutokana na kufa Dkt Magufuli, yaani tuna mgawanyiko mkubwa sana now hasa kwa wale wanaoamini Dkt Magufuli aliuwa kwa sababu alisimamia rasilimali ziwanufaishe watanzania vs wale waliomuua wanaoona wao ndiyo wanastahili kutawala na kuwafanya watanzania walio wengi waendelee kuwa maskiniVipi Askofu Josephat Gwajima?
Wengi (hasa wauslamu) wanasema ishu ni ukristo wake na title yake ya "bishop"
Lakini wanasahau kuwa nchi hii ilishatawaliwa na Shekhe & Alhadji Ally Hassan Mwinyi (hayati) mwislamu swala tano..
Hata hivyo kwangu mimi hizo zote sio hoja. Isipokuwa bado nautafakari unabii kabla ya kutoa msimamo wangu..
On the other hand, mimi Rais wangu siku zote amekuwa ni Tundu Lissu, mtu aliyekwisha mwaga damu yake kwa ajili ya kuitetea nchi hii..
Imenishangaza sana unabii huu kutomgusa mzalendo huyu hata chembe ili tujue position..
Hata hivyo mimi ni nani kama Mungu mwenyewe ameshaamua iwe hivyo?
Kama anagombea agombee lakini msimshirikishe Mungu kwenye mambo yenu ya kitapeli. Nwajiboy muongo muongo, asiyekuwa na msimamo, opportunist ni afadhali Samia mara 10,000.
Ngwaji Boy ni msanii sana ila Tanzania sijui kwanini watu huwa wanawaamini wasanii sana.
Imani yangu ya Kikristo imekuwa diluted na manabii wa uongo na tabiri fake kila mtu nabii mazafanta
Hii ni kutupotezea muda.Wachawi na matapeli husimama madhabahuni na kutaka kuleta migogoro na uchonganishi!
Uchanga wako kwenye neno la Mungu ndio kikwazo chakoKama anagombea agombee lakini msimshirikishe Mungu kwenye mambo yenu ya kitapeli. Nwajiboy muongo muongo, asiyekuwa na msimamo, opportunist ni afadhali Samia mara 10,000.
Ngwaji Boy ni msanii sana ila Tanzania sijui kwanini watu huwa wanawaamini wasanii sana.
Imani yangu ya Kikristo imekuwa diluted na manabii wa uongo na tabiri fake kila mtu nabii mazafanta
Ngwaji ni msanii muongo, mfitinishi yule anaweza kuuza nchi kabisa. Hata kwenye uchaguzi alitoa ahadi kibao za uongo jamaa opportunist.Uchanga wako kwenye neno la Mungu ndio kikwazo chako