Uchaguzi mkuu kiti cha Rais 2025 (video): Unabii waweka wazi kuwa ni Samia S. Hassan (CCM) vs Bishop Josephat Gwajima (CHADEMA)...

Nimesikiliza na kusikiza kwa makini. Sijaisikia neno Wagalatia Wala habari za msichana wa miaka 17.
Heeee, hatari. Tunamasikio tofauti. Hebu tueleze kidogo juu ya ile ndoto yake ya kumuona msichana anayetembea juu ya gorofa lile. Tupe tu muhtasari wa ndoto ya Nabii feki.
 
Lisu aligombea akashindwa,

CDM Huwa hairudii mgombea Urais,Huwa inaamini anayeshindwa ni mgombea, Si chama.
Kwani kushindwa ndo kuna-mzuia asigombee tena hizi fikra za wapi

Chadema hawawezi mchagua mgombea wa ccm kuja kugombea hilo kosa hawawezi lirudia
 
Nimesikiliza na kusikiza kwa makini. Sijaisikia neno Wagalatia Wala habari za msichana wa miaka 17.
Kwa hiyo umesikia habari za msichana wa miaka mingapi? Haya sema miaka 18, pengine ndio utaelewa zaidi.
Kama unambishia PASTA FEKI, mjuane wenyewe huko huko.

Hebu jikite katika maelezo ya Binti/msichana, halafu utupe muhtasari kidogo. Kwa msaada zaidi, sikiliza dk ya 3.57 mpaka 4:02, amerudia tena dk ya 4:40 mpaka 6:15 na kwa kuhakikisha kuwa anamaanisha hivyo akarudia tena dk ya 7:39 mpaka 8:00. Huyu msichana sijui kamuusudu au!
 
Ukiitazama na kuisikiliza hii video ya unabii huu toka kwa Mwl. Steven Jacob, toka Arusha, inafikirisha na
Huyu Mtumishi wa Mungu siwezi kubeza Maono yake.

Amefafanua vizuri.

Mimi binafsi nitakuwa wa mwisho kuto amini anachokisema.

Dr Gwajima alipohamia ccm nilipatwa na shida kidogo. Baadae Mungu alisema nami kuwa lazima jambo hilo litokee ili Nchi ipate kupona.
 
Mch Mtekela anasema Dr Gwajima hata mizimu na mashetani vinamuogopa.
 
Kilicho muhimu hapa ni CCM (Misri) mtesi wa wana wa Israel (Watanganyika) kwa zaidi ya miaka 60 si tu kushindwa bali ni kufutiliwa mbali hata mabaki yake yasionekane kabisa ktk uso wa ardhi ya Tanganyika..

However, this prophecy still has to be scrutinized through holy scriptures to check whether it's truly Godly or is just another twist and turns from the devil himself pretending to be the light in the darkness..

Na hoja kuu hapa ni kwanini mtu wa kuongoza ukombozi wa watu wa Mungu atoke Misri (CCM) miongoni mwa watesi walewale? Kwanini Tundu Lissu asitajwe kabisa?..... This troubles me very much..!!!!!!!!!!!!!!

LAKINI, narudia kusema hili, kwamba:

Kama hii ndiyo njia na namna ambavyo Mungu mwenyewe ameamua kutumia kututoa ktk uonevu na makucha ya watesi wetu hawa wa - Misri (CCM) ya miaka zaidi ya 60 ili kutuponya na kuiponya nchi yetu ya Tanganyika, basi wote na tuseme AMINA NA IWE HIVYO BWANA MUNGU WA MAJESHI MAANA NGUVU, HESHIMA, MAMLAKA NA UTUKUFU vina wewe milele na milele...!
 
Huna
Huna tofauti na yale mazombi wafuasi wa yule popoma anaejiita mfalme zamaridi
 
Na hoja kuu hapa ni kwanini mtu wa kuongoza ukombozi wa watu wa Mungu atoke Misri (CCM) miongoni mwa watesi walewale? Kwanini Tundu Lissu asitajwe kabisa?..... This troubles me very much..!!!!!!!!!!!!!!
Labda ndio vile tunasema mawazo ya Mungu si ya mwanadamu
 
Ameen mtumishi wa Mungu
 
Kwa Katiba iliyopo Mpinzani anaweza kutangazwa akishindana kiti hicho?
 
Usilitaje Bure jina la bwana Mungu wako kwakuwa bwana hatamuhesabia Hana hatia mtu alitajaye jina lake bure
 
Gwajima kuwa CHADEMA hapo nabii anatakiwa kuvaa miwani kabla ya kuota. Useme jamaa ana nguvu na ana watu. Kupewa bendera ya mbogamboga atawaenyesha sana upinzani. Wacha tuone mambo yataendaje lakini pangekuwa patamu sana. Lissu Vs Gwajima hatari sana.
 
Kwa Katiba iliyopo Mpinzani anaweza kutangazwa akishindana kiti hicho?
Kuna nyakati zikifika, hata mwamba (pasitarajiwa kutoka maji), yatatoka maji ya kunywa na kunywesha mimea na wanyama..

Maana yake ni kuwa, umeshafika wakati wa kilichoshindikana nyakati zile, kitawezekana sasa na kesho..

Huamini?

Subiri utaona kwa macho na kusikia kwa masikio yako...!!
 
Crap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…