Lisu aligombea akashindwa,Marais wengi dunian ni wana-sheria
lissu anatakiwa awe rais
CDM Huwa hairudii mgombea Urais,Huwa inaamini anayeshindwa ni mgombea, Si chama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisu aligombea akashindwa,Marais wengi dunian ni wana-sheria
lissu anatakiwa awe rais
Heeee, hatari. Tunamasikio tofauti. Hebu tueleze kidogo juu ya ile ndoto yake ya kumuona msichana anayetembea juu ya gorofa lile. Tupe tu muhtasari wa ndoto ya Nabii feki.Nimesikiliza na kusikiza kwa makini. Sijaisikia neno Wagalatia Wala habari za msichana wa miaka 17.
Kwani kushindwa ndo kuna-mzuia asigombee tena hizi fikra za wapiLisu aligombea akashindwa,
CDM Huwa hairudii mgombea Urais,Huwa inaamini anayeshindwa ni mgombea, Si chama.
Kwa hiyo umesikia habari za msichana wa miaka mingapi? Haya sema miaka 18, pengine ndio utaelewa zaidi.Nimesikiliza na kusikiza kwa makini. Sijaisikia neno Wagalatia Wala habari za msichana wa miaka 17.
Tusubiri.Kwani kushindwa ndo kuna-mzuia asigombee tena hizi fikra za wapi
Chadema hawawezi mchagua mgombea wa ccm kuja kugombea hilo kosa hawawezi lirudia
Huyu Mtumishi wa Mungu siwezi kubeza Maono yake.Ukiitazama na kuisikiliza hii video ya unabii huu toka kwa Mwl. Steven Jacob, toka Arusha, inafikirisha na
Basically Gwajima sio Mwanaccm.Kwani kushindwa ndo kuna-mzuia asigombee tena hizi fikra za wapi
Chadema hawawezi mchagua mgombea wa ccm kuja kugombea hilo kosa hawawezi lirudia
Nani alikwambia Lissu alishindwa?Lisu aligombea akashindwa,
CDM Huwa hairudii mgombea Urais,Huwa inaamini anayeshindwa ni mgombea, Si chama.
Mch Mtekela anasema Dr Gwajima hata mizimu na mashetani vinamuogopa.Ukiitazama na kuisikiliza hii video ya unabii huu toka kwa Mwl. Steven Jacob, toka Arusha, inafikirisha na kutafakarisha kiasi chake. Tazama na sikiliza👇🏻👇🏻👇
View attachment 2969906
Kwa ufupi sana kwa wale wasio na vifurushi:
1. Mama Samia Suluhu Hassan (Rais wa sasa wa JMT) amekataliwa na Mungu - Jehovah, hatakiwi kugombea kiti cha Urais mwaka 2025. Si chaguo la Mungu - Jehova kuiongoza Tanzania mwaka 2025 - 2030..
2. Pamoja na kuwa ameshakataliwa, kitakachokuwa ni ajabu ni kuwa yeye na watu wake watalazimisha agombee. Na kwa mujibu wa unabii huu, ni kuwa atapitishwa kwa hila, atagombea lakini habari njema kwa wanamageuzi wote ni kuwa HATASHINDA UCHAGUZI HUO..!
3. Wakati huohuo ndani ya CCM yupo mtu ambaye Mungu keshamweka kuwa ndiye agombee na awe Rais ajaye wa Tanzania na jina lake katajwa kwa uwazi kabisa kuwa ni Bishop Josephat Gwajima. Ila wenzake ndani ya CCM watamkataa na hawatampa nafasi hiyo..
4. Kwa mujibu wa unabii huu, CHADEMA hawana mtu ambaye ana kibali cha Mungu - Yehova kugombea kiti cha u - Rais mwaka 2025 aliye ndani ya chama chao..
5. Na kwa kuwa Mungu tayari ameshampaka mafuta ya u - Rais wa nchi hii ndugu Josephat Gwajima, na kwa CCM watakuwa wamemkataa, basi Mungu atatengeneza mazingira ya kumtoa CCM na mara moja Freeman Mbowe au CHADEMA watampa nafasi ya ugombea u - Rais na CHADEMA kupitia kwa Ndugu Josephat Gwajima, watashinda na kuitawala nchi kwa mara ya kwanza..
6. Kwa Mama Samia Suluhu Hassan na CCM , unabii unasema, systematically Mungu ataachilia aibu iliyo kuu kwake na CCM itachinjwa kidogo kidogo mpaka ife kabisa..
============================================
MAONI YANGU
1. Pamoja na kuwa sisi wakristo Biblia - Neno la Mungu linatuonya kuwa;
1 Wathesalonike 5:20-22 SUV
".....msitweze unabii; jaribuni mambo yote; lishikeni lililo jema; jitengeni na ubaya wa kila namna.."
Lakini wakati huohuo Biblia hiyo hiyo inatuhadharisha kuwa ni lazima kila unabii (kila roho isemayo yatoka kwa Mungu) ipimwe katika vigezo vya Neno la Mungu (Biblia) kama ilivyoandikwa;
1 Yohana 4:1-2 SUV
"...Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu.."
Ukipimwa na ukaenda sambamba na Neno la Mungu, huo unabii au hiyo roho iliyoleta neno hilo itakuwa inatoka kwa Mungu na kwa hiyo hapaswi mtu kuubeza (kuutweza au kuudharau)..
2. Unabii wa huyu ndugu ni mzito sana. Unahusu hatima ya nchi na taifa letu na watu wa nchi hii kwa ujumla. Natoa wito kwa wajuzi wa maandiko (Neno la Mungu) waje hapa na kutoa uchambuzi usio - base katika hisia na maarifa ya kibinadamu bali ule unaozingatia Neno la Mungu (Biblia...)
3. Je, wewe unasemaje? Toa maoni yako...
Ukishamtambua Rais, umetambua na matokeo yaliyomweka pale bila kujali aliiba au la.Nani alikwambia Lissu alishindwa?
Kawaulize Mtendaji Mkuu wa NEC
Kilicho muhimu hapa ni CCM (Misri) mtesi wa wana wa Israel (Watanganyika) kwa zaidi ya miaka 60 si tu kushindwa bali ni kufutiliwa mbali hata mabaki yake yasionekane kabisa ktk uso wa ardhi ya Tanganyika..Huyu Mtumishi wa Mungu siwezi kubeza Maono yake.
Amefafanua vizuri.
Mimi binafsi nitakuwa wa mwisho kuto amini anachokisema.
Dr Gwajima alipohamia ccm nilipatwa na shida kidogo. Baadae Mungu alisema nami kuwa lazima jambo hilo litokee ili Nchi ipate kupona.
Huna tofauti na yale mazombi wafuasi wa yule popoma anaejiita mfalme zamaridiUkiitazama na kuisikiliza hii video ya unabii huu toka kwa Mwl. Steven Jacob, toka Arusha, inafikirisha na kutafakarisha kiasi chake. Tazama na sikiliza👇🏻👇🏻👇
View attachment 2969906
Kwa ufupi sana kwa wale wasio na vifurushi:
1. Mama Samia Suluhu Hassan (Rais wa sasa wa JMT) amekataliwa na Mungu - Jehovah, hatakiwi kugombea kiti cha Urais mwaka 2025. Si chaguo la Mungu - Jehova kuiongoza Tanzania mwaka 2025 - 2030..
2. Pamoja na kuwa ameshakataliwa, kitakachokuwa ni ajabu ni kuwa yeye na watu wake watalazimisha agombee. Na kwa mujibu wa unabii huu, ni kuwa atapitishwa kwa hila, atagombea lakini habari njema kwa wanamageuzi wote ni kuwa HATASHINDA UCHAGUZI HUO..!
3. Wakati huohuo ndani ya CCM yupo mtu ambaye Mungu keshamweka kuwa ndiye agombee na awe Rais ajaye wa Tanzania na jina lake katajwa kwa uwazi kabisa kuwa ni Bishop Josephat Gwajima. Ila wenzake ndani ya CCM watamkataa na hawatampa nafasi hiyo..
4. Kwa mujibu wa unabii huu, CHADEMA hawana mtu ambaye ana kibali cha Mungu - Yehova kugombea kiti cha u - Rais mwaka 2025 aliye ndani ya chama chao..
5. Na kwa kuwa Mungu tayari ameshampaka mafuta ya u - Rais wa nchi hii ndugu Josephat Gwajima, na kwa CCM watakuwa wamemkataa, basi Mungu atatengeneza mazingira ya kumtoa CCM na mara moja Freeman Mbowe au CHADEMA watampa nafasi ya ugombea u - Rais na CHADEMA kupitia kwa Ndugu Josephat Gwajima, watashinda na kuitawala nchi kwa mara ya kwanza..
6. Kwa Mama Samia Suluhu Hassan na CCM , unabii unasema, systematically Mungu ataachilia aibu iliyo kuu kwake na CCM itachinjwa kidogo kidogo mpaka ife kabisa..
============================================
MAONI YANGU
1. Pamoja na kuwa sisi wakristo Biblia - Neno la Mungu linatuonya kuwa;
1 Wathesalonike 5:20-22 SUV
".....msitweze unabii; jaribuni mambo yote; lishikeni lililo jema; jitengeni na ubaya wa kila namna.."
Lakini wakati huohuo Biblia hiyo hiyo inatuhadharisha kuwa ni lazima kila unabii (kila roho isemayo yatoka kwa Mungu) ipimwe katika vigezo vya Neno la Mungu (Biblia) kama ilivyoandikwa;
1 Yohana 4:1-2 SUV
"...Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu.."
Ukipimwa na ukaenda sambamba na Neno la Mungu, huo unabii au hiyo roho iliyoleta neno hilo itakuwa inatoka kwa Mungu na kwa hiyo hapaswi mtu kuubeza (kuutweza au kuudharau)..
2. Unabii wa huyu ndugu ni mzito sana. Unahusu hatima ya nchi na taifa letu na watu wa nchi hii kwa ujumla. Natoa wito kwa wajuzi wa maandiko (Neno la Mungu) waje hapa na kutoa uchambuzi usio - base katika hisia na maarifa ya kibinadamu bali ule unaozingatia Neno la Mungu (Biblia...)
3. Je, wewe unasemaje? Toa maoni yako...
Labda ndio vile tunasema mawazo ya Mungu si ya mwanadamuNa hoja kuu hapa ni kwanini mtu wa kuongoza ukombozi wa watu wa Mungu atoke Misri (CCM) miongoni mwa watesi walewale? Kwanini Tundu Lissu asitajwe kabisa?..... This troubles me very much..!!!!!!!!!!!!!!
Ameen mtumishi wa MunguKilicho muhimu hapa ni CCM (Misri) mtesi wa wana wa Israel (Watanganyika) kwa zaidi ya miaka 60 si tu kushindwa bali ni kufutiliwa mbali hata mabaki yake yasionekane kabisa ktk uso wa ardhi ya Tanganyika..
However, this prophecy still has to be scrutinized through holy scriptures to check whether it's truly Godly or is just another twist and turns from the devil himself pretending to be the light in the darkness..
Na hoja kuu hapa ni kwanini mtu wa kuongoza ukombozi wa watu wa Mungu atoke Misri (CCM) miongoni mwa watesi walewale? Kwanini Tundu Lissu asitajwe kabisa?..... This troubles me very much..!!!!!!!!!!!!!!
LAKINI, narudia kusema hili, kwamba:
Kama hii ndiyo njia na namna ambavyo Mungu mwenyewe ameamua kutumia kututoa ktk uonevu na makucha ya watesi wetu hawa wa - Misri (CCM) ya miaka zaidi ya 60 ili kutuponya na kuiponya nchi yetu ya Tanganyika, basi wote na tuseme AMINA NA IWE HIVYO BWANA MUNGU WA MAJESHI MAANA NGUVU, HESHIMA, MAMLAKA NA UTUKUFU vina wewe milele na milele...!
Gwajima Kwa asili ni mpinzani.Kwani kushindwa ndo kuna-mzuia asigombee tena hizi fikra za wapi
Chadema hawawezi mchagua mgombea wa ccm kuja kugombea hilo kosa hawawezi lirudia
Kwa Katiba iliyopo Mpinzani anaweza kutangazwa akishindana kiti hicho?Ukiitazama na kuisikiliza hii video ya unabii huu toka kwa Mwl. Steven Jacob, toka Arusha, inafikirisha na kutafakarisha kiasi chake. Tazama na sikiliza👇🏻👇🏻👇
View attachment 2969906
Kwa ufupi sana kwa wale wasio na vifurushi:
1. Mama Samia Suluhu Hassan (Rais wa sasa wa JMT) amekataliwa na Mungu - Jehovah, hatakiwi kugombea kiti cha Urais mwaka 2025. Si chaguo la Mungu - Jehova kuiongoza Tanzania mwaka 2025 - 2030..
2. Pamoja na kuwa ameshakataliwa, kitakachokuwa ni ajabu ni kuwa yeye na watu wake watalazimisha agombee. Na kwa mujibu wa unabii huu, ni kuwa atapitishwa kwa hila, atagombea lakini habari njema kwa wanamageuzi wote ni kuwa HATASHINDA UCHAGUZI HUO..!
3. Wakati huohuo ndani ya CCM yupo mtu ambaye Mungu keshamweka kuwa ndiye agombee na awe Rais ajaye wa Tanzania na jina lake katajwa kwa uwazi kabisa kuwa ni Bishop Josephat Gwajima. Ila wenzake ndani ya CCM watamkataa na hawatampa nafasi hiyo..
4. Kwa mujibu wa unabii huu, CHADEMA hawana mtu ambaye ana kibali cha Mungu - Yehova kugombea kiti cha u - Rais mwaka 2025 aliye ndani ya chama chao..
5. Na kwa kuwa Mungu tayari ameshampaka mafuta ya u - Rais wa nchi hii ndugu Josephat Gwajima, na kwa CCM watakuwa wamemkataa, basi Mungu atatengeneza mazingira ya kumtoa CCM na mara moja Freeman Mbowe au CHADEMA watampa nafasi ya ugombea u - Rais na CHADEMA kupitia kwa Ndugu Josephat Gwajima, watashinda na kuitawala nchi kwa mara ya kwanza..
6. Kwa Mama Samia Suluhu Hassan na CCM , unabii unasema, systematically Mungu ataachilia aibu iliyo kuu kwake na CCM itachinjwa kidogo kidogo mpaka ife kabisa..
============================================
MAONI YANGU
1. Pamoja na kuwa sisi wakristo Biblia - Neno la Mungu linatuonya kuwa;
1 Wathesalonike 5:20-22 SUV
".....msitweze unabii; jaribuni mambo yote; lishikeni lililo jema; jitengeni na ubaya wa kila namna.."
Lakini wakati huohuo Biblia hiyo hiyo inatuhadharisha kuwa ni lazima kila unabii (kila roho isemayo yatoka kwa Mungu) ipimwe katika vigezo vya Neno la Mungu (Biblia) kama ilivyoandikwa;
1 Yohana 4:1-2 SUV
"...Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu.."
Ukipimwa na ukaenda sambamba na Neno la Mungu, huo unabii au hiyo roho iliyoleta neno hilo itakuwa inatoka kwa Mungu na kwa hiyo hapaswi mtu kuubeza (kuutweza au kuudharau)..
2. Unabii wa huyu ndugu ni mzito sana. Unahusu hatima ya nchi na taifa letu na watu wa nchi hii kwa ujumla. Natoa wito kwa wajuzi wa maandiko (Neno la Mungu) waje hapa na kutoa uchambuzi usio - base katika hisia na maarifa ya kibinadamu bali ule unaozingatia Neno la Mungu (Biblia...)
3. Je, wewe unasemaje? Toa maoni yako...
Kuna nyakati zikifika, hata mwamba (pasitarajiwa kutoka maji), yatatoka maji ya kunywa na kunywesha mimea na wanyama..Kwa Katiba iliyopo Mpinzani anaweza kutangazwa akishindana kiti hicho?
CrapUkiitazama na kuisikiliza hii video ya unabii huu toka kwa Mwl. Steven Jacob, toka Arusha, inafikirisha na kutafakarisha kiasi chake. Tazama na sikiliza👇🏻👇🏻👇