Pre GE2025 Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 utafanyika kwa amani na utulivu sana, CHADEMA hawataambulia kitu chochote, wapuuzwe tu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unachekesha, chadema ndio chama cha kupewa kura hakuna wa kukipuuza
sawa gentleman,
kura zitawafuata singinda nyumbani kwa kiongozi wenu tapeli na kibaka wa siasa. hakuna haja ya kampeni wala kushiriki uchaguzi πŸ’
 
Ila sio amani ya rohoni, roho inataka katiba mpya.
katiba sio kipaumbele cha waTanzania, chama na serikali, bali ni utapeli wa vibaka wachache wa kisiasa tu ambao wamekosa hoja mahususi kuhusu mahitaji ya wananchi πŸ’

h
 
Sio mishipa tu gentleman,
CCM imedhamiria kuwatoa waTanzania wa makundi yote katika lindi la umasikini na kuwafanya wajitegemea na kufurahia Utaifa na Tanzania wao πŸ’
Miaka yote hiyo mmeshindwa kuwatoa kwenye hilo lindi la umaskini mnaleta porojo hapa,bila marekebisho me naona hamna haja ya uchaguzi ni heri mwendelee kubaki tu mamlakani kuliko kutuharibia kodi zetu aisee.
 
Gentleman,
unadhani habari ya kusema sijui eti heri kuendelea kubaki mamlakani itambabaisha mtu, la hashaaa..

uchaguzi mkuu wa Tanzania utafanyika kwa mujibu wa katiba, kwa uhuru, uwazi na haki kwa kila mTanzania kushiriki kuamua mustakabali wa taifa,

ukizira, sisi twala bila mbambamba yoyote πŸ’
 
Imani na dhana potofu unazijua wewe wenzako hawazijui??
 
Weka tume huru ya Uchaguzi uone kama Chadema haitaambulia kitu, ila Kwa tume hii ya Uchafuzi mliyonayo unaweza kuongea hivyo, kwanza mwaka huu mgombea wenu huko Chama cha Kijani Hana ushawishi na mtaiba kura sana mwaka huu
 
Imani na dhana potofu unazijua wewe wenzako hawazijui??
msipokua makini mtatapeliwa sana na vibaka wa kisiasa ndugu zangu vijana,

kaeni rada, kaeni chonjo πŸ’
 
Weka tume huru ya Uchaguzi uone kama Chadema haitaambulia kitu, ila Kwa tume hii ya Uchafuzi mliyonayo unaweza kuongea hivyo, kwanza mwaka huu mgombea wenu huko Chama cha Kijani Hana ushawishi na mtaiba kura sana mwaka huu
Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania ipo kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, na sio ushirikiana wa vibaka na matapeli wa kisiasa.

Chaguzi za Tanzania zitaendelea kusimamiwa na Tume huru ya uchaguzi iliyopo bila kujali makelele na midomo ya waliokosa agenda πŸ’
 
Hiki chama kitakutoa mshipaπŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
Sio mshipa tuu hata pull, maana ni kama mtu alaye chakula kigumu bila kunywa maji!
Ukisoma maandiko yake inaonyesha NO REFORM NO ELECTION Ni neno gumu sana kwake kulimeza hivyo aangalie lisimtoe pull maliwato
 
pwagu na pwaguzi mnapeana moyo na matumaini sio, dah!
mbona kinyonge sana aise 🀣
 
Mkila hamuwezi shiba bali mtavimbilwa tu.
 
Duh! Umekuwa kipofu
 
Mkila hamuwezi shiba bali mtavimbilwa tu.
hivi yule tapeli na ombaomba wa kuchangiwa pesa mara kwa mara, hivi hua hatosheki wala kuona aibu gentleman?

uchaguzi mkuu ni Oct mwaka huu 2025πŸ’
 
Mbona mnaohopa sasa katiba mpya
 
Mbona mnaohopa sasa katiba mpya
siyo muhimu hata kidogo,

vipaumbele vya wananchi na waTanzania wote ni mahitaji yao ya msingi ya kila siku,

huenda hicho unachokitaja ni kipaumbele cha upotoshaji na utapeli wa viongoz chama chenu πŸ’
 
"Neto" tayari washaanza kuwaweka roho juu na kuanza kuita polisi iwasaidie sasa no reforms no election si ndio mtalala na gambuti zenye tope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…