Pre GE2025 Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 utafanyika kwa amani na utulivu sana, CHADEMA hawataambulia kitu chochote, wapuuzwe tu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
"Neto" tayari washaanza kuwaweka roho juu na kuanza kuita polisi iwasaidie sasa no reforms no election si ndio mtalala na gambuti zenye tope
yaani vibaka wakuweke juu gentleman?
are you real mentally fit gentleman?πŸ’
 
Ujinga ni mzigo mkubwa unaokusumbua wewe. Kwenye nchi iliyojaa matatizo yakiwemo umasikini, elimu duni na ukosefu wa huduma muhimu kama hii.chama kinakosaje agenda za uchaguzi?
Ati ccm imezamiria kumaliza changamoto ? Baada ya miaka 60 zimalizwe na kina wasira?
 
matatizo yako binafsi sio matatizo ya wananchi wa Tanzanani,

fanya bidii kutatua changamota za umaskini wako, uvivu, mihemko na makasiriko yako ndio changamoto yako.

epuka kuatapeliwa pesa, fikra, uhuru na haki yako ya msingi ya kikatiba kuchagu au kuchaguliwa kua kiongozi katika uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania,

huna haja ya kujifanya muerefu hali ya kua umejaa makasiriko tupu moyoni
 
Hivi kwa nini mnawalazimisha watu wakashiriki uchaguzi wakati hawataki? Kama mnaupendo mnashindwa nini kubadili sheria za uchaguzi?
 
Pambaneni na neto kwanza chadema sio size yenu we kibanga mlamba makalio ya wasira
hakuna wa kupambana na chochote nchii hii gentleman,
mapambano yaliopo sasa ni kuhakikisha waTanzania wote wanashiriki uchaguzi, huru, wa haki na wazi bila makelele wala mdomo wa matapeli wowote wa kisiasa nchini.

hakuna haja wala muda wa kubabaika na ushirikina wa chama chenu nchi hii
 
Wizi wa kura, mitihani, kuuzwa kwa bandari na maliasili zetu, rushwa, ukosefu wa ajora, nk ni matatizo yangu binafsi?
Kuzitaja changamoto zilizopo nchini ni mihemko na makasiriko?
Kakakae na mama yako muanzishe taifa lenu ambalo mtasifia kila kitu hili la Tanzania ni la kwetu wote wala siyo mali ya ccm
 
NEto ndio saize ya ccm wewe mlamba kalio za wasira
 
Hivi kwa nini mnawalazimisha watu wakashiriki uchaguzi wakati hawataki? Kama mnaupendo mnashindwa nini kubadili sheria za uchaguzi?
haibadilishwi aya, nukta wala koma kwenye sheria za uchaguzi wala katiba ya nchi kwasababu mambo hayo tayari yalishafanywa na bunge tukufu la Tanzania,

hakuna atakaelazimishwa kupiga kura, wala hapatakuepo mtu wa kuzuia wengine kushiriki zoezi la kupiga kura octobar mwaka huu 2025
 
NEto ndio saize ya ccm wewe mlamba kalio za wasira
Gentleman,
hakuna cha kulinganishwa na ccm nchi hii,

linganisheni ushirikina wenu na mambo yenu wenyewe kwenye vyama vyenu vya kitapeli huko huko
 
mtaimba sana dhana hizo potofu za kitapeli na kichochezi kwa wananchi mpaka mtoke machozi na jasho la damu,

CCM itaendelea kutawala nchi hii, kwasababu ndio chama kinachoaaminika na kukubali kwa waTanzania,
na chaguzi za Tanzania zitaendelea kufanyika kwa salama na amani bila kujali mayowe na makelele ya vibaka na matapeli wa kisiasa, walikosa sera na waliopoteza uelekeo.

kua maskini au tajiri Tanzania ni uamuzi binafsi,
ajira za uhakika na za kutosha zipo kwenye kilimo shambani, usizubae mjini, utazeeka kusugua viatu tu kwa kuzurura
 
Mkichukua kila kitu / kila Jimbo ni kwa faida ya nani?

Kama ni kwa faida ya CCM mnakosea Ila Kama ni kwa faida ya wananchi wa Tanzania ni sawa.

Maadui wa taifa tulio aminishwa Toka uhuru ni UJINGA, UMASKINI, MARADHI.

NI KWANINI CCM HAITAKI TUME HURU / KATIBA MPYA NI KWA NINI? UNADHANI HAKI MILIKI YA KULIONGOZA HILI TAIFA NA FOR SURE.

Mmeshindwa kwenye kila eneo kwenye afyaa ujanja ujanja, elimu imeiua,
 
Akili zako ni ndogo sana. Kwamba hata mawazo mbadala kutoka kwa watu wa vyama na taasisi mbadala zilizosajiliwa kwaujibu wa katiba na sheria za nchi wewe unaita UTAPELI na vibaka?
Kibaka na tapeli wa Tanzania ni nani kati ya mwizi wa Richmond, kagoda, escrow nk na yule wa upinzani anayetoa mawazo mbadala?
Ccm itaendelea kushinda na kungoza kwa sababu ya wizi wa kura ikisaidiwa na tume ya taifa NEC, TISS, POLISI NA JW.
Kama ni turejee 2020 na 2024
Jifunze kusoma
 
msipokua makini mtatapeliwa sana na vibaka wa kisiasa ndugu zangu vijana,

kaeni rada, kaeni chonjo πŸ’

Bila ya kutumia hawa mbwa wa policcm hakuna mnaloliweza huko ccm.
 
View attachment 3249197
Bila ya kutumia hawa mbwa wa policcm hakuna mnaloliweza huko ccm.
Gentleman,
huo ni ukweli kabisa,
vibaka na matapeli wa kisiasa nchini hawaewezi kuvumiliwa na kuachwa wakafanya fujo au vurugu hata kwa sekunde moja,

li lazima washughulikiwe kisawasawa ili ikwae fundisho kwa vibaka wengine wenye nia ovu dhidi ya amani, utulivu na michakato ya kidemokrasia na kikatiba nchini.
 
ni kibaka na tapeli wa kisiasa pekee teana aliekosa hoja na agenda anaweza kuwachoche wananchi wasusia haki zao za kikatiba hususana kupiga kura,
Mwanasiasa makini hawezi kuchochea utapeli wa aina hiyo gentleaman,

uchaguzi mkuu wa Tanzania utafanyika kwa muji wa katiba ya nchi, na sio kwa mbambamba, ushirikina na imani potofu kama hizo gentleman
 
Hakuna kibaka wala tapeli aliye hamasisha mtu yeyote kufanya uchaguzi. Weweuna weweseka na usiyoyajua. Chama uachokiimba kila siku kwamba kinakubalika kwa kuwa na sera nuri kinaogopa nn kufanya mabadiliko ili kufanya uwanja wa kuchezea uwe sawa n tambarare?
Jifunze kusoma ili uelewe hata roles za opposition parties tu itakuondolea aibu
 
UCHAGUZI HAUTAKUWEPO KABISA NA KAMA UTAKUWEPO VITUO VITACHOMWA MOTO NA ATAKAYEENDA KUCHAGUA ANAPIGWA MAWE .Maana upinzani hatutakuwa na Cha kupoteza wakati huo
 
uchaguzi wa Tanzania hufanyika kwa mujibu wa katiba ya nchi kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.

na viongozi wote watakaochaguliwa katika uchaguzi mkuu wa october mwaka huu2025, watakua ni watumishi wa umma na wawakilishi wa wananchi bungeni, na huo ndio wajibu wao wa mwanzo kabisa kikatiba.
majukumu mengine bilashaka kila moja anayafahamu.

Gentleman,
mabadiliko ya tume huru ya uchaguzi na sheria za uchaguzi yalishafanyika baada ya vikao vya maridhiano, na tuendako hapatakua na nafasi wala fursa ya kubadilisha aya, nukta wala koma tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa octobaer mwaka huu2025.

Hakuna cha kushindwa Tanazania hasa chini ya serikali sikivu ya CCM ikiongozwa na Dr.Samia Suluhu Hassan.
umasikini, ujinga na maradhi yako binafsi sio ya waTanzania,

Ni muhimu kufanya kazi kwa bidii,
kwani mazingira ya afya, elimu, maji, kilimo, miundombinu, ufugaji, biashara n.k na mazuri mno kumuondoa kila mTanazania ambae bado anajitafuata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…