relax basi gentleman, hujua kwamba hasira za mkizi furaha kwa mvuvi?Pumbavu kabisa so kwako qewe wana wa nchi kudai haki zao ni KUHATARISHA AMANI ya NCHI? unajua maana ya amani wewe au unaharisha tu kama chizi aliyeona jalala jipya???
Gentleman,Basi si mtashindanishwa na Chauma,TLP,CUF na wengine,hao hamna hata haja ya kuiba kura,mnawashinda kiurahisi
Demokrasia ya kuingia kwenye vituo na kura zilizopigwa nje ya vituo tena siku 2 kabla ya zoezi lenyewe?Gentleman,
jambo la muhimu zaidi ni waTanzania kushiriki kikamilifu zoezi hilo muhimu la kidemokrasia kwa salama na amani
Haki huambatana na wajibu. Ndo mana wezi wa rasilimali zetu wapo lumumba na wale wa kuku wapo gerezani?relax basi gentleman, hujua kwamba hasira za mkizi furaha kwa mvuvi?
haki huambatana na wajibu,
huwezi kuchochea chuki, fujo na vurugu kwa wenye amani ukaachwa tu.
utashughulikiwa kisawasawa ili iwe fundisho kwe wengine wenye tabia kama hizo.
uchaguzi mkuu utafanyika kwa salama na amani mapema octobaer ya mwaka huu2025.
usipange kukosa gentleman
Gentleman,Najua unalipwa kwa huu uharamia,uzandiki, upotoshaji, u fascist na vyote kwa makusudi na manufaa binafsi unajivika upofu na kuamua kutukejeli,kutweza utu watanzania kwa kujua na kwa makusudi kwa kua TU umepewa/ unapewa chochote kitu.
Kila lakheli.
October ya mwaka huu 2025, ndio mwezi wa uchaguzi wa Tanzania kwa mujibu wa katiba.
Ni wasaa muhimu sana kwa vyama vya siasa kote nchini kujiandaa vizuri kisera na kwa hali na mali ili hatimae kushiriki kikamilifu tendo hilo muhimu la kidemokrasi kwa mujibu wa katiba.
Vipo vyama mbalimbali vya siasa nchini, kwasababu zao mbalimbali ikiwa ni pamoja na ukata wa pesa na kukosa agenda, vimeonyesha dalili ya kususa au kugomea uchaguzi huo muhimu sana wa kihistoria na kuwachochea wafuasi wao kujipanga kuleta fujo hususani kwa kuwazuia wananchi ambao wako tayari kutumia uhuru na haki zao za msingi za kupiga kura.
Pamoja na hayo yote yanayopangwa na vyama hivyo vya kisiasa vilivyokosa hoja, uelekeo na ushawishi kwa wananchi hususani chadema, hakuna faida yoyote watakayoambulia ispokua kujipoteza yenyewe kwenye medani ya siasa, hakuna athari zozote za kisiasa wala kikatiba zitatokea kwa kususa kwao uchaguzi kisayansi, na zaidi sana, hakuna chochote wanachoweza kufanya chadema popote nchi hii with my deadbody hasa pale wanapoongozwa na kibaka na tapeli wa kisiasa.
una maoni gani mbadala ndugu mdau?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
hizo ni dhana potofu za kitapeli kwa waliokata tamaa,Haki huambatana na wajibu. Ndo mana wezi wa rasilimali zetu wapo lumumba na wale wa kuku wapo gerezani?
Haki gani ya kuinga na kura zilizopigwa kwenye sandarusi
kwahiyo yule kibaka na tapeli wa kisiasa anaewshawishi na kuwaibia wananchama wake pesa za pocket money yake, huku akiwarubuni pia uhuru na haki zao za kushiriki demokrasia ya kupiga kura ndio anafanya kazi ya maana sana right, gentleman?Mgombea wa ccm ana muda mrefu wa kukaa na kusikiliza comedians kuliko anavyoweza kukaa jukwaani na kunadi sera zake!
yaani uje na visingizio vyao vya maandalizi ya kushindwa uchaguzi halafu ukadhani kua yupo wa kubabaika na wewe au kukuonea huruma?Demokrasia ya kuingia kwenye vituo na kura zilizopigwa nje ya vituo tena siku 2 kabla ya zoezi lenyewe?
Demokrasia ya kuwarumia polisi kukimbia na masanduku ya KURA?
Demokrasia ya kuwa na wapiga kura hewa ?
Hiyo ni Demokrasia kwa tafsiri yako wewe chawa! Unafikiri tu kutumia neno gentleman?
Jifunze kujenga hoja hoja siyo viroja! Kujodai nchi ya baba yako hii
Kitendo tu cha kutetea serikli ya ccm inayofanya watu wanywe maji ya tope baada ya 60 yrs plus ya uhuru ni kutweza utu wa mtu/ watu tayari!Gentleman,
Ukweli hauhitaji malipo yoyote, ni neema na baraka za Mungu tu,
ila kusema ukweli kilimo, ufugaji na uhadhiri unalipa vizuri kuliko hata kazi ya wananchi ambayo hata hivyo ni kama kujitolea tu.
hapo kwenywe kutweza utu, umenikumbusha uchaguzi wa chadema
Freem Aikaeli Mbowe alipiga mayowe sana kuhusu kampeni za kutwezana utu kwa makusudi kabiasa
but for sure,
sina sababu hata moja ya kutweza utu wa mTanzania mwenzangu yeyote yule, sina sababu hata moja kukejeli wala kupotosha wadau wa JF, na silipwi, situmwi, sielekezwi wala sihitaji malipo kutoka kwa yeyote kueleza ukweli amabao unatuweka sote huru.
ninajitegemea kwa kiasi namshukuru Mungu, phisically nimelalamikiwa kwamba natisha sana hata kwa wenye vyeo na mamalaka dhidi yangu, but mimi ni mtu mwema, mwenye upendo, muelewa na daima myonge na mtiifu sana kwa wenye mamlaka ya kidini, kisiasa, chama na serikali na ndio maana nipo hapa leo.
Nitajie kiongozi wa ngazi za juu wa ccm ambaye siyo mwizi na yupo gerezani. Namami nitakutajia viongozi wote wa ccm wezi akiwemo wasira na wapo uraiyani!hizo ni dhana potofu za kitapeli kwa waliokata tamaa,
huwezi kujihusisha na magenge ya kihalifu kusumbua wananchi au kuleta fujo halafu ukaachwa utambe barabarani na mitaani, utashughulikiwa vizuri sana,
all criminals are belong to jail gentleman
Na asiye muelewa lisu basi huyo ni mbumbu wa free and fair election.Ni asiyejielewa tu anaweza kushangilia maigizo ya Lissu
Unajua chochote kuhusu uchaguzi huru na wa haki? Unaweza kutaja mambo 5 hapa ya kuwamisha watu kwamba uchaguzi wa Octoba mapema kama unavyoita japo ni mwishoni utakuwa huru na wa haki?yaani uje na visingizio vyao vya maandalizi ya kushindwa uchaguzi halafu ukadhani kua yupo wa kubabaika na wewe au kukuonea huruma?
wewe ni zuzu hata uibiwe kura kila siku?
nani kwanza achague tapeli na kibaka wa kisiasa?
Tafsiri demokrasia kwa tafsiri zote unazozijua,
but uchaguzi wa Tanzania utafanyika mapema october ya mwaka huu, kwa salama na amani bila kujali makelele au mdomo wa tasfiri zako potofu kuhusu demokrasia.
usipange kukosa kushiriki uchaguzi huo wa kihistoria
gentleman,Kitendo tu cha kutetea serikli ya ccm inayofanya watu wanywe maji ya tope baada ya 60 yrs plus ya uhuru ni kutweza utu wa mtu/ watu tayari!
Kitendo cha kuwatisha wananchi asidai haki zao za kikatiba kwa kisingizio kwamba watapigwa vibaya sana t
Nitajie kiongozi wa ngazi za juu wa ccm ambaye siyo mwizi na yupo gerezani. Namami nitakutajia viongozi wote wa ccm wezi akiwemo wasira na wapo uraiyani!
Unajua maana ya criminals? Au unaandika kwakuwa unaandika tu.
Wezi wa escrow, kagoda, meremeta, tw
Na asiye muelewa lisu basi huyo ni mbumbu wa free and fair election.
Uchaguzi huru na wa haki . Uchaguzi huru na wa haki siyo kupiga kura na kutangaza matokeo tu na kushangilia kwa VIGODORO NA MIDUNDIKO kama wafanyavyo wezi hapo lumumba
Wewe ndiyo haupo sawa kichwani. Mana hata katiba ya nchi yako huijui!gentleman,
are you sure uko sawa mentaly?
hayupo kibaka wa kuvuruga uchaguzi wa nchi hii kwa utapeli wa agenda zake za kuwarubuni wananchi pesa, uhuru na haki zao za kikatiba.
ni muhimu kila Mtanzania kujiandaa kikamilifu kutumia fursa na nafasi hii adhimu ya kizalendo na kikatiba kuchagua viongozi watakao endeleza umoja, amani, mshikamano wao kwa amani.
uchaguzi utafanyika kwa salama na amani ya kiwango cha juu sana
uchaguzi mkuu wa october mwaka huu 2025 utafanyika kwa uhuru, haki na kwa uwazi wa kiwango cha juu sana,Unajua chochote kuhusu uchaguzi huru na wa haki? Unaweza kutaja mambo 5 hapa ya kuwamisha watu kwamba uchaguzi wa Octoba mapema kama unavyoita japo ni mwishoni utakuwa huru na wa haki?
Watu kudai haki zao za kikatiba ni kuvuruga amani na utulivu? Kwa hiyo walioziweka kwenye katiba walikosea?
Viongozi wa upinzani ni vibaka na matapeli? Kwa hiyo serikali ilikubali kusajili vyama vinavyoongozwa na vibaka na matapeli? Wa upinzani?
Unajua kwamba MZEE WASIRA ALISHAWAHI KUWA MBUNGE KUPITIA NCCR Mageuzi na sasa ni kiongozi wa juu kabisa hapo ccm? Tumuiteje wasira? Ni kibaka na tapeli wa zamani?
Jifunze kujenga hoja na siyo viroja!
dalili ya mwanzo ya mtu mwenye tatizo la afya ya akili ni pamoja na kuwaza na kutenda mambo ambayo yanamdhulumu, yanamdhuru na kumuumiza yeye mwenyewe huyo mwenye tatizo la akiliWewe ndiyo haupo sawa kichwani. Mana hata katiba ya nchi yako huijui!
Kudai haki za kiraiya ni kuwashawishi watu kuvuruga amani na utulivu?
Kama unapiga mayowe kila siku na hujui hata maana yahaki za kiraiya mpaka leo. Unapata wapi ujasili wa kuhoji mental health ya mwingine badala ya kuanza na yako mwenyewe?
Kwa hiyo tz ni nchi ya vibaka na matapeli. Kwa sababu inachangiwa 60% ya bajeti yake na wazungu? Wewe unawaita wafadhili/ wahisani ?uchaguzi mkuu wa october mwaka huu 2025 utafanyika kwa uhuru, haki na kwa uwazi wa kiwango cha juu sana,
ndiyo maana utakua ni salama na wa amani sana,
kibaka na tapeli wa kisiasa mara nyingi huwa pia ni mtu wa kuomba kuchangiwa pesa kwaajili ya pocket money, utamjua tu kwasababu hependi kazi wala hapendi kujitegeama
Aliyekuambia kudai haki za kiraiya ikiwemo uchaguzi huru na wa haki unaumixwa na wewe ukakubali ndo aliyekufanya wewe uwe na matatizo ya akili na hujui kama unayodalili ya mwanzo ya mtu mwenye tatizo la afya ya akili ni pamoja na kuwaza na kutenda mambo ambayo yanamdhulumu, yanamdhuru na kumuumiza yeye mwenyewe huyo mwenye tatizo la akili
sasa ukipanga kuleta fujo kwenye uchaguzi nani ataumia kwa virungu?
au ukisusa uchaguzi hasara na athari atapata nani unadhani?