chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 902
ndo nimeamka nipate habari za uchaguzi. Hapa Isingiro wengi tunawpenda JMALINZI
Ina maana mwalimu wangu Riziki Majala kaambulia patupu duh!!!
Ina maana mwalimu wangu Riziki Majala kaambulia patupu duh!!!
Nani amchague mwalimu wa shule ya kata!!!!
Kibaha ni shule ya kata?
Tunaomba serious updates wakuu.
Mkuu Amavubi lete updates bhana.
Kwanini Mkuu.mm nmeshaanza kukata tamaa....
Tusaidie kuomba sana mkuu kwa sbb Tenga na Osiah wamecheza rafu sana kati saa 8 na 9 ukumbini.