Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
uyu jamaa anastahili tunataka mabadiliko TFF
wapi princetx na Who Cares?
Pengine anastahili ila kwa mpira wa Tanzania mi naona ni miozo ozo tu....Kubadirisha mpira wa Tanzania inabidi avunje matabaka katika vilabu haswa kuondoa wazee wa klabu fulani ama wale wazee wa benchi la ufundi....uchawi unaua sana mpira wetu kwani hatuna wachezaji wa kiukweli bali wasanii tu.
Maoni ya.kuboresha???!!!!
Mkuu ngoja tuone huko mbele, ila kwa sasa hatuna budi kumpa ushirikiano.
Huu unyinyiemu huu, kaazi kweli kweli. Utasubiri sana bibi wee. Subiri 2015 ndipo utakapiikimbia nchi.
bishanga rais wa tff..hongera wana jf hongera wana chit chat.
Baba V usinipimie jana nimeshinda water front mpaka asbh. Nilihakikisha mla rushwa nyamlan haati sapoti.
Change WE CAN, Jana Rais Mpya alianza kwa kuvunja kamati zote..... yaani sasa kamati zitaundwa upya, Pili ametoa msamaha kwa wafungwa wote isipokuwa wale tuu wenye makosa ya rushwa na kupanga matokeo
CHANGE @ TFF is on the Corner
TUST WE CAN
Mwenye wasifu wa huyu Wallace Karia anisaidie plz.
Baba V usinipimie jana nimeshinda water front mpaka asbh. Nilihakikisha mla rushwa nyamlan haati sapoti.
Nilifurah sana alipoondoka soon baada ya kupiga kura manake alijua kishanuka....................................
Malinzi anaweza na tumethubutu kumpa kura ili aendeleze soka la bongo................
Btw manji hakuwepo so hatushiriki uchaguzi sisi kama sisi
kuna watu walizungumzia kuwa niDED wa huko Mvomero
MPIRA WA TANZANIA Quishney,Mpira wa Tanzania umekufa.