Sitashanga matokeo kubetuliwa maana rushwa ndo iko mbele na wajumbe wachache ni rahisi kutupiwa mzigo kwenye akaunti.Vibaraka vya mla rushwa
tushawafunga mojaYaaani leo nashindwa nifanye kipi huku man city huku malinzi vs nyamlani huku mjadala wa katiba.....mwee muwe mnawasikiana jamani kutenganisha haya matukio
tushawafunga moja
kazi kwenuPole lakini mbona mnatawala !
tushawafunga moja
Malinzi atashinda kwa nguvu ya umma!!
Malinzi lazima ashinde. mia
Wakuu kura zinapigwa sasa hivi na kidogo matumaini yaanaonyesha tutashinda(Malinzi team),ila Arusha,Kigoma,Kilimanjaro,Mbeya,Lindi,Pwani,na Manyara ni Mamburula.lakini dalili za ushindi.
Mzengwe imeanza ya kumvurugia Malinzi,
Hii ni baada ya zoezi la kupiga kura kukatibia mwishoni
Natamani malinzi ashinde!