Uchaguzi Mkuu TFF - 27 Oktoba 2013: Jamal Malinzi Rais Mpya wa TFF!

Uchaguzi Mkuu TFF - 27 Oktoba 2013: Jamal Malinzi Rais Mpya wa TFF!

Vibaraka vya mla rushwa
Sitashanga matokeo kubetuliwa maana rushwa ndo iko mbele na wajumbe wachache ni rahisi kutupiwa mzigo kwenye akaunti.
Tukumbuke wanaoachia madaraka hupenda kuwaachia watu wao hivyo Nyamlani anaweza kupewa backup na serikali ya TFF inayoondoka
 
Wingu jeupe linamwangazia Jamal Malinzi,

Kuna dalili njema kabisa za ushindi
 
Yaaani leo nashindwa nifanye kipi huku man city huku malinzi vs nyamlani huku mjadala wa katiba.....mwee muwe mnawasikiana jamani kutenganisha haya matukio
tushawafunga moja
 
Mzengwe imeanza ya kumvurugia Malinzi,

Hii ni baada ya zoezi la kupiga kura kukatibia mwishoni
 
Hivi uchaguzi huu nao uko chini ya tume ya taifa ya uchaguzi
 
Nabashiri matokeo yatakuwa sare sare, yaani wagombea watafungana kwa kura, kama Simba na Yanga vile.
Kinyume na hapo mambo ya Mr.Mushi na Ufoo Saro nahisi yatatokea!!!
 
Zengwe ni kawaida TFF..wajumbe wanataka kulinda ulaji tu
nasikia harufu ya ngumi lakini hamna shaka kituo cha kati kipo jirani
 
Can't wait anymore for Malinzi kutangazwa Rais wa TFF.
 
Wakuu kura zinapigwa sasa hivi na kidogo matumaini yaanaonyesha tutashinda(Malinzi team),ila Arusha,Kigoma,Kilimanjaro,Mbeya,Lindi,Pwani,na Manyara ni Mamburula.lakini dalili za ushindi.

Hiyo mikoa njaa kali mno ndo maana hawaendelei.
 
malinzi asiposhnda leo sijui! Maana anavyoshabikiwa hapa jamvini..!
 
Back
Top Bottom