ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,984
- 360
Malinzi amfunika Nyamlani kwa mbali
kwa kura ngapi mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malinzi amfunika Nyamlani kwa mbali
![]()
Wapiga kura wawili wa mkutano mkuu wa TFF wameshikiliwa na Polisi kwa saa kadhaa kwa tuhuma za kukutwa na fedha ambazo walipewa na wagombea kuzisambaza kwa wenzao. Lakini wameachiwa wakati Takukuru ikiendelea kufanya kazi yake.
Na ukimwi!Walah Malinzi asiposhinda naumwa kisukari bp na magonjwa yote hatari
nyamlani kasepa ukumbini mapemaa hesabu zikiwa zinaelekea ukingoni kuhesabiwa kuna dalili malinzi anashinda
Matokeo tayari, MALINZI KASHINDA
Naanza kukuamini sasa
Yale yale! Hii nimiuikuta kwenye page ya MwanaSpoti kule mtaa wa pili Facebook.
Kila la kheri shujaa wa soka Jamal Emil Malinzi.
Wacha we!ila usiseme nilikua natania!Matokeo tayari, MALINZI KASHINDA