Uchaguzi Mkuu TFF - 27 Oktoba 2013: Jamal Malinzi Rais Mpya wa TFF!

Uchaguzi Mkuu TFF - 27 Oktoba 2013: Jamal Malinzi Rais Mpya wa TFF!

Yale yale! Hii nimiuikuta kwenye page ya MwanaSpoti kule mtaa wa pili Facebook.

300378_287974121222778_1365084844_n.jpg

Wapiga kura wawili wa mkutano mkuu wa TFF wameshikiliwa na Polisi kwa saa kadhaa kwa tuhuma za kukutwa na fedha ambazo walipewa na wagombea kuzisambaza kwa wenzao. Lakini wameachiwa wakati Takukuru ikiendelea kufanya kazi yake.
 
nyamlani kasepa ukumbini mapemaa hesabu zikiwa zinaelekea ukingoni kuhesabiwa kuna dalili malinzi anashinda
 
Yale yale! Hii nimiuikuta kwenye page ya MwanaSpoti kule mtaa wa pili Facebook.

Kakalende, Jamaa walipewa hela na mtu mmoja toka TFF ambaye hizo hela alipewa na Athuman Nyamlani ili awahonge wajumbe. Mchezo ukastukiwa wakawekewa Mtego ndo wameingia hivo. Inasemekana hivi sasa Nyamlani hata Ukumbini ameondoka maana matokeo yanaelekea yeye kuangua Vibaya sana. JAMAL MALINZI anaelekea kupata ushindi mkubwa.
 
There are currently 653 users browsing this thread. (72 members and 581 guests)

,,,,Malinzi kamata mwizi men
 
Kila la kheri shujaa wa soka Jamal Emil Malinzi.

JF kwa mahaba ya kinafiki hamjambo! Shujaa wa soka lipi? Mbona kama mnazo ajenda zenu za siri mara mwana JF mwenzetu sasa nyie ni kuchagua wenzenu tu!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Huu uzi naufatilia kitambo kweli kweli kwa sasa naona mwelekeo upo ila chonde J,M isije ikawa kama yale ya ------ 05 tulivyomchagua kwa kishindo halafu sasa hivi tunakunywa maji kwa kijiko!!?
 
Nimearifiwa kuwa Jamal Malinzi amechaguliwa kuwa Rais wa pili wa TFF. Hii ni baada ya kushinda katika uchaguzi mkuu wa TFF uliofanyika leo hii. Amemshinda Nyamlani.

Habari zaidi kufuata punde...

Katika uchaguzi huo uliokuwa na upinzani mkali,Malinzi ameibuka kidedea na sasa anatarajiwa kumrithi Leodgar Chilla Tenga kama Rais wa TFF. Hili ni pigo la wazi kwa CCM tuliokuwa tukimuunga mkono Mheshimiwa Hakimu Nyamlani

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Back
Top Bottom