Uchaguzi mkuu ujao kufanyika mwaka 2026?

Na daftari la mpiga kura lishaanxa kuboreshwa kifumbi Cha wenyeviti wa mtaa/vijiji, halmashauri ya Kijiji na wenyeviti wa vitongoji kivumbi Ni mwakani kinaaanza kutimua mbio
 
Maana huyu Rais wa sasa miaka yake mitano ya uongozi inatimia mwezi wa tatu mwaka 2026? Inamaana uchaguzi wetu wa urais unaofuata utafanyika mwaka huo?
KImsingi Samia ni rais wa awamu ya 5. Hiyo kusema ni awamu ya sita walifoji tu ili kujitenga na makandokando ya Magufuli. Kikatiba alichukuwa alipoishia Magufuli na atamalizia pale amabapo alitakiwa kumalizia. Hata kama Magufuli angefariki 2024 mwezi wa 3 na yeye akapokea, bado 2025 ingekuwa uchaguzi.
 
Hama nchi
 
Awamu ya SITA ..itakua pungufu miezi lakini since ilianza sababu ya kifo ..katiba iko hivyo.....itaisha 2025...T
Chukua hii scenario. Tufanye JPM angekufa baada ya kutawala miaka miwili. Maana yake samia angemalizia mitatu na akigombea anapata mitano. Jumla 8. Lakini katiba inamruhusu kutawala miaka 10. Je anaweza kugombea tena na kutawala kwa miaka miwili?

Kwa hali iliyopo, ataweza kugombea na kutawala kwa miezi kama sita ambayo itapungua kwenye miaka kumi ya haki yake?
 
Maana huyu Rais wa sasa miaka yake mitano ya uongozi inatimia mwezi wa tatu mwaka 2026? Inamaana uchaguzi wetu wa urais unaofuata utafanyika mwaka huo?
Hapana, Mama anamalizia urais wa JPM kwanza hiyo July 2025 halafu November 2025 ndio anaanza awamu yake, ila kwa vile kwa awamu ya pili ya JPM, Mama Mama nimehudumu miaka 4, hivyo hii inahesabika ni awamu yake ya kwanza na 2025 anamalizia ya pili.
P
 
Chukua hii scenario. Tufanye JPM angekufa baada ya kutawala miaka miwili. Maana yake samia angemalizia mitatu na akigombea anapata mitano. Jumla 8. Lakini katiba inamruhusu kutawala miaka 10. Je anaweza kugombea tena na kutawala kwa miaka miwili?

Kwa hali iliyopo, ataweza kugombea na kutawala kwa miezi kama sita ambayo itapungua kwenye miaka kumi ya haki yake?

Kama angemalizia chini ya nusu...ya miaka mitano angeruhusiwa kugombea tena 2030...lakini kama anamalizia zaidi ya nusu kama sasa ..itahesabika kamaliza awamu yake ya kwanza hivyo 2025 akipita atakuwa ya kwake ya pili.....
 
KImsingi Samia ni rais wa awamu ya 5. Hiyo kusema ni awamu ya sita walifoji tu ili kujitenga na makandokando ya Magufuli. Kikatiba alichukuwa alipoishia Magufuli na atamalizia pale amabapo alitakiwa kumalizia. Hata kama Magufuli angefariki 2024 mwezi wa 3 na yeye akapokea, bado 2025 ingekuwa uchaguzi.
Atakuwa na haki ya kugombea tena kumzlizia miezi sita yake?
 
Hapana, Mama anamalizia urais wa JPM kwanza hiyo July 2025 halafu November 2025 ndio anaanza awamu yake, ila kwa vile kwa awamu ya pili ya JPM, Mama Mama nimehudumu miaka 4, hivyo hii inahesabika ni awamu yake ya kwanza na 2025 anamalizia ya pili.
P
Chawa tumejipanga

akitaka awamu zaid tutasema 'katiba inasema Rais 'atachaguliwa' kwa awamu mbili ' …ikifika 2025 ndio atakuwa anachaguliwa kwa awamu ya kwanza…sasa hivi anamalizia kiporo cha Mpendwa wetu John Magufuli

watakaopinga hili tutashirikiana na wabia wetu wa maridhiano kutoka vyama Rafiki kupambana nao kwa jina la 'wahafidhina wasiopenda umoja na mshikamano'
 
Back
Top Bottom