JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Naelewa hilo, ila nazungumzia wale chawa wanaodai mama anamalizia kiporo cha Magu kisha atakuwa na nafasi ya kuhudumu vipindi viwili kikatiba yaani 2025-2030 na 2030-2035. Kama ni hivyo wanavyodai basi 2025 kila mwanachama aruhusiwe kuchukua fomu kuugombea Urais (tiketi ya chama).Kila chama kimejiwekea utaratibu wake wa ndani wa kupata wagombea. Utaratibu wa CCM ni mgombea urais hapingwi midterms
P