Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
-
- #21
Kikatiba ana haki ya kutawala kwa miaka 10. Akienda kama unavyosema itabaki kama miezi sita kutimia miaka kumi. Atakuwa na haki kugombea tena mwaka 2030 amalizie miezi yake sita? Hapa ni kwa sababu imebaki miezi michache. Tufanye magufuli angekufa mwaka huu. Mama angemaliza mitatu ya JPM. Kisha angeweza gombea 2025 na kufanya mitano. Jumla miaka 8. Kisheria anakuwa na hakli ya kuwa rais kwa miaka miwili tena. Anaweza gombea kuimalizia?Hapana, Mama anamalizia urais wa JPM kwanza hiyo July 2025 halafu November 2025 ndio anaanza awamu yake, ila kwa vile kwa awamu ya pili ya JPM, Mama Mama nimehudumu miaka 4, hivyo hii inahesabika ni awamu yake ya kwanza na 2025 anamalizia ya pili.
P
Kama angemalizia chini ya nusu...ya miaka mitano angeruhusiwa kugombea tena 2030...lakini kama anamalizia zaidi ya nusu kama
Hapa nimekupata. Katiba ndivyo inasema?sasa ..itahesabika kamaliza awamu yake ya kwanza hivyo 2025 akipita atakuwa ya kwake ya pili.....
Ratiba iko pale pale.Maana huyu Rais wa sasa miaka yake mitano ya uongozi inatimia mwezi wa tatu mwaka 2026? Ina maana uchaguzi wetu wa urais unaofuata utafanyika mwaka huo?
YesHapa nimekupata. Katiba ndivyo inasema?
japo nikweli kikatiba urais ni awamu mbili za miaka mitano mitano, hii awamu ya kwanza ya Mama ni kumalizia awamu ya pili ya JPM ambayo kwake inahesabika ndio awamu yake ya kwanza ambayo inaisha August 30 2025 na kuanza awamu yake ya pili November 2025Kikatiba ana haki ya kutawala kwa miaka 10.
Hapana, 2025 - 2030 ndio awamu yake ya pili na ya mwisho.Akienda kama unavyosema itabaki kama miezi sita kutimia miaka kumi. Atakuwa na haki kugombea tena mwaka 2030 amalizie miezi yake sita?
Hapana, JPM angechomoka mwaka huu, Mama angemalizia miaka miwili ya JPM hadi 2025, halafu angekuwa na a full terms zake zote mbili from 2025 to 2035 hivyo angetawala for 12 years!Hapa ni kwa sababu imebaki miezi michache. Tufanye magufuli angekufa mwaka huu. Mama angemaliza mitatu ya JPM. Kisha angeweza gombea 2025 na kufanya mitano. Jumla miaka 8. Kisheria anakuwa na hakli ya kuwa rais kwa miaka miwili tena. Anaweza gombea kuimalizia?
Hapana. Awamu yake ya pili ndio ya mwishoAtakuwa na haki ya kugombea tena kumzlizia miezi sita yake?
Mambo ya katiba hayahitaji UCHAWA!.Chawa tumejipanga
Hapana, hiki kiporo cha JPM ndio awamu yake ya kwanza, hivyo hiyo ya pili ni mwisho.akitaka awamu zaid tutasema 'katiba inasema Rais 'atachaguliwa' kwa awamu mbili ' …ikifika 2025 ndio atakuwa anachaguliwa kwa awamu ya kwanza…sasa hivi anamalizia kiporo cha Mpendwa wetu John Magufuli
Hii ni katiba ya nchi na sio ilani za vyama.watakaopinga hili tutashirikiana na wabia wetu wa maridhiano kutoka vyama Rafiki kupambana nao kwa jina la 'wahafidhina wasiopenda umoja na mshikamano'
Ni rais wa 6 awamu ya 5. Hana muda wa kujiongezea.
Kataa wahuni brother.
Maana huyu Rais wa sasa miaka yake mitano ya uongozi inatimia mwezi wa tatu mwaka 2026? Ina maana uchaguzi wetu wa urais unaofuata utafanyika mwaka huo?
So Samia anaendeleza awamu ya JPM au hii ni awamu tofauti?
Hakuna kitu kinaitwa awamu kwenye katibaKImsingi Samia ni rais wa awamu ya 5. Hiyo kusema ni awamu ya sita walifoji tu ili kujitenga na makandokando ya Magufuli. Kikatiba alichukuwa alipoishia Magufuli na atamalizia pale amabapo alitakiwa kumalizia. Hata kama Magufuli angefariki 2024 mwezi wa 3 na yeye akapokea, bado 2025 ingekuwa uchaguzi.
KImsingi Samia ni rais wa awamu ya 5. Hiyo kusema ni awamu ya sita walifoji tu ili kujitenga na makandokando ya Magufuli. Kikatiba alichukuwa alipoishia Magufuli na atamalizia pale amabapo alitakiwa kumalizia. Hata kama Magufuli angefariki 2024 mwezi wa 3 na yeye akapokea, bado 2025 ingekuwa uchaguzi.
Samia anamalizia ,awamu yake itaanza 2026 Hadi 2036 🔥🔥🔥
Chukua hii scenario. Tufanye JPM angekufa baada ya kutawala miaka miwili. Maana yake samia angemalizia mitatu na akigombea anapata mitano. Jumla 8. Lakini katiba inamruhusu kutawala miaka 10. Je anaweza kugombea tena na kutawala kwa miaka miwili?
Kwa hali iliyopo, ataweza kugombea na kutawala kwa miezi kama sita ambayo itapungua kwenye miaka kumi ya haki yake?
Chawa tumejipanga
akitaka awamu zaid tutasema 'katiba inasema Rais 'atachaguliwa' kwa awamu mbili ' …ikifika 2025 ndio atakuwa anachaguliwa kwa awamu ya kwanza…sasa hivi anamalizia kiporo cha Mpendwa wetu John Magufuli
watakaopinga hili tutashirikiana na wabia wetu wa maridhiano kutoka vyama Rafiki kupambana nao kwa jina la 'wahafidhina wasiopenda umoja na mshikamano'
Hakuna kitu kinaitwa awamu kwenye katiba
Kataa wahuni brother.
Katiba yetu inajibu hoja yako Ibara 37 (5) inasema : 'Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufarariki dunia,kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na maradhi ya mawili au kushindwa kutekeleza kazi na shughuli za Rais ,basi Makamu wa Rais ataapishwa na atakuwa Rais kwa muda uliobaki. ' Kusema kuwa Samia ni Rais wa awamu ya sita ni huo ni upotoshaji na hatuwezi kuendelea kutembea kwenye upotoshaji huo Katiba ndiyo itakayofuatwa.Maana huyu Rais wa sasa miaka yake mitano ya uongozi inatimia mwezi wa tatu mwaka 2026? Ina maana uchaguzi wetu wa urais unaofuata utafanyika mwaka huo?