Naelewa hilo, ila nazungumzia wale chawa wanaodai mama anamalizia kiporo cha Magu kisha atakuwa na nafasi ya kuhudumu vipindi viwili kikatiba yaani 2025-2030 na 2030-2035. Kama ni hivyo wanavyodai basi 2025 kila mwanachama aruhusiwe kuchukua fomu kuugombea Urais (tiketi ya chama).Kila chama kimejiwekea utaratibu wake wa ndani wa kupata wagombea. Utaratibu wa CCM ni mgombea urais hapingwi midterms
P
Naelewa hilo, ila nazungumzia wale chawa wanaodai mama anamalizia kiporo cha Magu kisha atakuwa na nafasi ya kuhudumu vipindi viwili kikatiba yaani 2025-2030 na 2030-2035. Kama ni hivyo wanavyodai basi 2025 kila mwanachama aruhusiwe kuchukua fomu kuugombea Urais (tiketi ya chama)Kila chama kimejiwekea utaratibu wake wa ndani wa kupata wagombea. Utaratibu wa CCM ni mgombea urais hapingwi midterms
P
NO!Sio kweli. Ni awamu ya sita. Rais akifa kabla ya Mika mitatu anayemfuata atachukuliwa ameanza kipindi Cha miaka mitano, Yani awamu yake ya kwanza na atabakiwa na miaka mitano pekee ya kichaguliwa Tena.
Nimesema kuna awamu kwenye katiba? Soma kwa ufahamu!Hakuna kitu kinaitwa awamu kwenye katiba
Aisee! Ni Kweli Alisema Hivyo!?Mkutano mkuu wa CCM uliopita JK alidokeza kuwa 2025 ni Samia ila mambo yakiwa mabaya atasimama mwana CCM mwingine,kauli hii haikutoka kwa bahati mbaya,it was a calculated statement.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Usiwasikilize machawa ni vilaza wa katiba!.Naelewa hilo, ila nazungumzia wale chawa wanaodai mama anamalizia kiporo cha Magu kisha atakuwa na nafasi ya kuhudumu vipindi viwili kikatiba yaani 2025-2030 na 2030-2035. Kama ni hivyo wanavyodai basi 2025 kila mwanachama aruhusiwe kuchukua fomu kuugombea Urais (tiketi ya chama)
Inategemea na katiba mpya tutakauoifanyia amendment tunaweza kusema aanze kugombea 2025 kwa mihula miwili ya miaka mitano mitano kwa maana hadi 2035.Hapana. Awamu yake moja inaisha 2025. Akishinda tena anakaa mpaka 2030 na baada ya hapo anatoka.
Ni sahihi. Katiba ipo wazi kabisa kwamba endapo Makamu wa Rais ataapishwa kuwa Rais baada ya Rais aliyekuwa madarakani kufariki, kukosa sifa ya uchaguzi ama kujiuzulu basi huyo makamu wa Rais atakayeapishwa atamalizia kipindi kilichobaki kama Rais wa nchi endapo aliapishwa kushika kiti cha Urais ikiwa imebaki zaidi ya nusu ya muhula kisha atakuwa na haki ya kugombea tena kwa kipindi cha miaka mitano pekee.Hapana, Mama anamalizia urais wa JPM kwanza hiyo July 2025 halafu November 2025 ndio anaanza awamu yake, ila kwa vile kwa awamu ya pili ya JPM, Mama Mama nimehudumu miaka 4, hivyo hii inahesabika ni awamu yake ya kwanza na 2025 anamalizia ya pili.
P
Sina hakika kama hiki kinachoitwa awamu kipo kwenye katiba.Hapana, Mama anamalizia urais wa JPM kwanza hiyo July 2025 halafu November 2025 ndio anaanza awamu yake, ila kwa vile kwa awamu ya pili ya JPM, Mama Mama nimehudumu miaka 4, hivyo hii inahesabika ni awamu yake ya kwanza na 2025 anamalizia ya pili.
P
Kasome katiba. Hakuna kitu km hicho. HUU unahesabiwa Ni muhula wa kwanza .Maana huyu Rais wa sasa miaka yake mitano ya uongozi inatimia mwezi wa tatu mwaka 2026? Ina maana uchaguzi wetu wa urais unaofuata utafanyika mwaka huo?
Ngumu kuelewa!So Samia anaendeleza awamu ya JPM au hii ni awamu tofauti?
Narudia. Hakuna kitu kinachoitwa awamu kwenye katiba. Kuna vipindi (terms) ambavyo haviwezi kuzidi viwili kwa mtu mmoja.Sina hakika kama hiki kinachoitwa awamu kipo kwenye katiba.
Yaelekea kina maana ya utawala wa mtu fulani, hivyo yaweza kuwepo hata awamu ya muda mfupi kama utawala huo utakoma baada ya siku chache sana.
Maana huyu Rais wa sasa miaka yake mitano ya uongozi inatimia mwezi wa tatu mwaka 2026? Ina maana uchaguzi wetu wa urais unaofuata utafanyika mwaka huo?
Ni ugoro umeandika huu.Inategemea na katiba mpya tutakauoifanyia amendment tunaweza kusema aanze kugombea 2025 kwa mihula miwili ya miaka mitano mitano kwa maana hadi 2035.
Demokrasia imeshamiri kila mahali kwahiyo Rais Samia anafaa kuendelea hata kwa miaka 20 ijayo kama katiba kutakuwa na kipengele cha kuondoa ukomo wa kugombea.
Na Rais akishindwa kuendelea na Urais wake chini ya nusu ya miaka 5, makamu atakayechukua urais atahesabiwa kahudumu kipindi kimoja kwa kile kipindi kilichobaki.Narudia. Hakuna kitu kinachoitwa awamu kwenye katiba. Kuna vipindi (terms) ambavyo haviwezi kuzidi viwili kwa mtu mmoja.
Itoshe kusema "Jinga wewe"!Maana huyu Rais wa sasa miaka yake mitano ya uongozi inatimia mwezi wa tatu mwaka 2026? Ina maana uchaguzi wetu wa urais unaofuata utafanyika mwaka huo?
Kuna watu wakisikia hii wanarukwa akili...Ndivyo itakavyokuwa na tutapata Rais mwingine 2035 na siyo 2030 kama mlivyodhani....Lower your expectations hasa wale ambao wanamatarajioNaelewa hilo, ila nazungumzia wale chawa wanaodai mama anamalizia kiporo cha Magu kisha atakuwa na nafasi ya kuhudumu vipindi viwili kikatiba yaani 2025-2030 na 2030-2035. Kama ni hivyo wanavyodai basi 2025 kila mwanachama aruhusiwe kuchukua fomu kuugombea Urais (tiketi ya chama)
Mnawaza ya 2030 wakati hata hiyo 2025 hajatoboa. Endeleeni kujitekenya.Kuna watu wakisikia hii wanarukwa akili...Ndivyo itakavyokuwa na tutapata Rais mwingine 2035 na siyo 2030 kama mlivyodhani....Lower your expectations hasa wale ambao wanamatarajio