Uchaguzi mkuu ujao kufanyika mwaka 2026?

Maana huyu Rais wa sasa miaka yake mitano ya uongozi inatimia mwezi wa tatu mwaka 2026? Ina maana uchaguzi wetu wa urais unaofuata utafanyika mwaka huo?
Tunafuata katiba sio basic mathematics(hisabati za watoto).
 
Ungeisoma na kuielewa Katiba ya JMT haya yote usingeyaandika maana Katiba ya JMT ipo wazi kabisa kuhusu Hilo. Ni Awamu ya Sita. Full stop!
 
Huyu ni Rais Wa awamu ya 5 ambaye kwa Tanzania ni Rais Wa Sita. Uchaguzi utafanyika 2025 kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…