Kigoma, Tanzania
ZITTO KABWE ATOA TAMKO BAADA YA MATOKEO YA UCHAFUZI WA UCHAGUZI WA TAMISEMI 2024
View: https://m.youtube.com/watch?v=E9dUDfGy_o4
Hakika hasira walionyesha wananchi wa Kigoma kwa kujitokeza kwa wingi kuonesha kuwa wingi wao haukuonekana katika uchafuzi wa uchaguzi wa TAMISEMI 2024, ni ishara ya kuwa "Hamkani Si Shwari " tena katika taifa la Tanzania.
Huo siyo ushindi mkubwa, bali ni uhalifu mkubwa!
Ni baada ya Kushindwa kujiandaa ndio malalamiko yanakuja.Tumeona ukiukwaji mkubwa katika kujiandikisha, kuenguliwa wapinzani, /kuteuliwa. kuwekewa mapingamizi ya uongo na kweli, kuapishwa wamekataliwa, sasa UPINZANI mnadhani kesho ndiyo CCM watatenda haki?
Nakubaliana na weweTumeona ukiukwaji mkubwa katika kujiandikisha, kuenguliwa wapinzani, /kuteuliwa. kuwekewa mapingamizi ya uongo na kweli, kuapishwa wamekataliwa, sasa UPINZANI mnadhani kesho ndiyo CCM watatenda haki?
RAIS FELIPE NYUSI AKUTANA NA WALIOKUWA WAGOMBEA WA URAIS 9 OKTOBA 2024, KUTATUA MTAFARUKU NA MAANDAMANO YANAYOTISHI TAIFA