Uchaguzi ni sayansi: Lissu anaenda kugaragazwa vibaya sana na Mbowe

Kwa hiyo demokrasia ni Lissu aachiwe kiti bila uchaguzi?

Anataka nafasi basi apambane hakuna ushindi wa mezani.
 
uchaguzi wa ndani ya chama hauna uadui hivyo!

Mbowe anakwenda kumuunga mkono Lisu, game is over.

make cdm great again
 
Lissu atabaki upinzani ila ataondoka CHADEMA na timu yake.
 
Kwa hiyo demokrasia ni Lissu aachiwe kiti bila uchaguzi?

Anataka nafasi basi apambane hakuna ushindi wa mezani.
Kwa nini lissu achukuliwe kama adui kwa kutaka kuwa mwenyekiti wakati katiba ya chama inaruhusu.

Kwani CHADEMA ni mali binafsi au ya wananchi
 
uchaguzi wa ndani ya chama hauna uadui hivyo!

Mbowe anakwenda kumuunga mkono Lisu, game is over.

make cdm great again
Unaota ndoto za mchana.

Lissu mnampenda ila ndio anamalizia siasa zake mnatakiwa kuinjoi nyakati za mwisho za Lissu.
 
Kwa nini lissu achukuliwe kama adui kwa kutaka kuwa mwenyekiti wakati katiba ya chama inaruhusu.

Kwani CHADEMA ni mali binafsi au ya wananchi
Lissu ni adui sababu kasaliti chama.

Yeye kila siku anapita anapopita anakishambulia chama mbaya zaidi kwa mambo ambayo yeye ni sehemu ya maamuzi.
 
Mbowe MUST go,hakuna namna
 
Kwa nini lissu achukuliwe kama adui kwa kutaka kuwa mwenyekiti wakati katiba ya chama inaruhusu.

Kwani CHADEMA ni mali binafsi au ya wananchi
Hadi kuitwa SACCOS kuna mengi nyuma ya pazia
 
Lissu ni adui sababu kasaliti chama.

Yeye kila siku anapita anapopita anakishambulia chama mbaya zaidi kwa mambo ambayo yeye ni sehemu ya maamuzi.
Kwa hiyo yeye ndio aliemilikisha chama Mzee Mbowe?
 
Nilimuonya kama mtu naemtakia mema. Anajua vizuri sana anaenda kupewa kichapo cha mbwa mwizi na mtabaki mnalialia mtandaoni hakuna kitu mtamsaidia.
Hujui kitu katika hili, tunaojua tunakucheka tu. Eti leo Mbowe kawa rafiki yenu wakti siku zote mlikuwa mnamuita Nkurunzinza hataki kuachia kiti. Mmefeli bigtime. Lissu ndiye Mwenyekiti ajaye.
 
Bado hamjasema..🚮🚮🚮
 
Kama ulishindwa kumshauri bosi wako asiende kwa P Diddy unapata wapi ujasiri wa kumshauri Lissu na Wana Chadema?
Lissu anaenda kugaragazwa vibaya sana na Mbowe hizi hasira hazitobadili chochote.
 
Hujui kitu katika hili, tunaojua tunakucheka tu. Eti leo Mbowe kawa rafiki yenu wakti siku zote mlikuwa mnamuita Nkurunzinza hataki kuachia kiti. Mmefeli bigtime. Lissu ndiye Mwenyekiti ajaye.
Lissu atabaki mwenyekiti wa mioyoni mwenu.
 
Lissu ni adui sababu kasaliti chama.

Yeye kila siku anapita anapopita anakishambulia chama mbaya zaidi kwa mambo ambayo yeye ni sehemu ya maamuzi.
unadhani akiwa mwenyekiti ataendelea kukisaliti chama kama mnavyodai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…