sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
- Thread starter
- #41
Lissu chizi yule usiwekeze hisia zako kwa chizi.Lisu ametufanya tuwajue...
Dah!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu chizi yule usiwekeze hisia zako kwa chizi.Lisu ametufanya tuwajue...
Dah!!
Kitu muhimu ni mtu kutumia haki yake anavyoona yeye sawa.View attachment 3175794
Tundu Lissu ni baba aambiliki nilimuonya hapa majuzi aache mission yake ya kukiua chama hajataka kusikia.
Sasa anaenda kufundishwa adabu na bingwa wa sayansi ya siasa za upinzani Aikael Mbowe.
Kelele ni nyingi mtandaoni lakini hazitomsaidia Lissu na kichapo cha mbwa mwizi toka kwa Mbowe.
Lissu ana wapiga kelele haswa wa mtandaoni, Mbowe ana wapiga kura. Mpaka hapo nani anaenda kushinda?
Uchaguzi wa Chadema una wajumbe wa mkutano mkuu wanakaribia 1300 ambao wana vigezo vya kupiga kura.
Mpaka hapo nafikiri mnaelewa kwa nini Lissu alikuwa anatoa milio mingi kwenye chaguzi zilizokuwa zinaendelea kwa sababu anajua Mbowe alikuwa anapanga safu yake ya kumpigia kura. Yani Mbowe mpaka sasa ana wapiga kura wa kutosha.
Kilichobaki ni Lissu kunyolewa bila maji then akimbie chama kwa hasira yeye na wapiga kelele wenzake.
Baada ya hapo Mbowe ataisuka upya Chadema yake na kurecruit damu mpya nyingi za vijana watiifu wafanya siasa sio harakati.
Lissu anasema uchawa kwenye chama haufai wakati yeye ndio alikuwa chawa namba moja wa Mbowe. Zitto na Kitila wanafukuzwa Lissu ndio kijumbe yupo pembeni ya Mbowe anatoa ushauri wa kisheria.
Dr Slaa anakimbia Chadema, Lissu yupo pale anamnyoosha Dr Slaa.
Yeye ndio alikuwa mastermind wa kuondoa ukomo wa uongozi kwa kuwa alikuwa ananufaika leo anawadanganya chama hakikuwa na watu.
Nasemaje Lissu anatakiwa apigwe vizuri mpaka hata hicho chama anachotaka kuanzisha aghairishe arudi kula pensheni ubeligiji.
Sababu ni moja ni TRAITOR.
Alimsaliti JPM mkamshangilia.
Amefanya kwa Mbowe kipenzi chenu.
Amesaliti watu wengi sana ili yeye ajenge jina lake kwamba anaipenda Tanzania kuliko kiumbe yoyote.
Mimi sio shabiki wa Mbowe ila watu kama Lissu wenye kelele nyingi na hekma sifuri hawatakiwi kuongoza taasisi yoyote. Chadema ipo hapo ilipo kwa vingi ikiwemo hekma za Mbowe. Mbowe ni Nigga ila ni kiongozi mara 200 kumzidi Lissu.
Msaliti uwa amalizi alafu chama cha siasa haiwezi kutokea wakabidhiwe wana harakati Mbowe akitazama yrye ni leader ana vision ana kinusuru chamaunadhani akiwa mwenyekiti ataendelea kukisaliti chama kama mnavyodai?
Haya mambo ya Chadema wewe mccm yanakuhusu nini, mbona mnamgwaya sana Lissu kutangaza nia tu hampati usingizi. Biashara imeisha hiyo labda mumpige bomu mara hii kwa sababu kwa risasi mulishindwa.Lissu atabaki mwenyekiti wa mioyoni mwenu.
Hivi kwa utopolo unaoandika hapa unaweza hata kufikia 1% ya IQ ya Lissu? Jaribu kuficha ujinga wako jadili hata Simba na Yanga labda ndiyo level zako.Lissu chizi yule usiwekeze hisia zako kwa chizi.
Ange weka nia John Heche ninge elewa, ila kwa huyu domo kaya hamna kitu. Huyy ata kiuza chama.View attachment 3175794
Tundu Lissu ni baba aambiliki nilimuonya hapa majuzi aache mission yake ya kukiua chama hajataka kusikia.
Sasa anaenda kufundishwa adabu na bingwa wa sayansi ya siasa za upinzani Aikael Mbowe.
Kelele ni nyingi mtandaoni lakini hazitomsaidia Lissu na kichapo cha mbwa mwizi toka kwa Mbowe.
Lissu ana wapiga kelele haswa wa mtandaoni, Mbowe ana wapiga kura. Mpaka hapo nani anaenda kushinda?
Uchaguzi wa Chadema una wajumbe wa mkutano mkuu wanakaribia 1300 ambao wana vigezo vya kupiga kura.
Mpaka hapo nafikiri mnaelewa kwa nini Lissu alikuwa anatoa milio mingi kwenye chaguzi zilizokuwa zinaendelea kwa sababu anajua Mbowe alikuwa anapanga safu yake ya kumpigia kura. Yani Mbowe mpaka sasa ana wapiga kura wa kutosha.
Kilichobaki ni Lissu kunyolewa bila maji then akimbie chama kwa hasira yeye na wapiga kelele wenzake.
Baada ya hapo Mbowe ataisuka upya Chadema yake na kurecruit damu mpya nyingi za vijana watiifu wafanya siasa sio harakati.
Lissu anasema uchawa kwenye chama haufai wakati yeye ndio alikuwa chawa namba moja wa Mbowe. Zitto na Kitila wanafukuzwa Lissu ndio kijumbe yupo pembeni ya Mbowe anatoa ushauri wa kisheria.
Dr Slaa anakimbia Chadema, Lissu yupo pale anamnyoosha Dr Slaa.
Yeye ndio alikuwa mastermind wa kuondoa ukomo wa uongozi kwa kuwa alikuwa ananufaika leo anawadanganya chama hakikuwa na watu.
Nasemaje Lissu anatakiwa apigwe vizuri mpaka hata hicho chama anachotaka kuanzisha aghairishe arudi kula pensheni ubeligiji.
Sababu ni moja ni TRAITOR.
Alimsaliti JPM mkamshangilia.
Amefanya kwa Mbowe kipenzi chenu.
Amesaliti watu wengi sana ili yeye ajenge jina lake kwamba anaipenda Tanzania kuliko kiumbe yoyote.
Mimi sio shabiki wa Mbowe ila watu kama Lissu wenye kelele nyingi na hekma sifuri hawatakiwi kuongoza taasisi yoyote. Chadema ipo hapo ilipo kwa vingi ikiwemo hekma za Mbowe. Mbowe ni Nigga ila ni kiongozi mara 200 kumzidi Lissu.
Why do you care then..Lissu chizi yule usiwekeze hisia zako kwa chizi.
Agombee aaibike.Mbowe hagombei uenyekiti mazee. Mark my words.
Lissu anamalizia siasa zake Ila mbowe bado kijana eti mavi kabisaUnaota ndoto za mchana.
Lissu mnampenda ila ndio anamalizia siasa zake mnatakiwa kuinjoi nyakati za mwisho za Lissu.
👍👍Eti aisukue upya 😀😀😀😀 mbowe ni mtu aliyefilisika kisiasa hana tena nguvu ya kusuka chama
Aachie chama kwanza au atangaze chama ni Cha babayake tujue
Pamoja na yote hata kama siyo Lissu au Mbowe nadhani wanahitaji damu mpya kama akina Heche. Mbowe imetosha.View attachment 3175794
Tundu Lissu ni baba aambiliki nilimuonya hapa majuzi aache mission yake ya kukiua chama hajataka kusikia.
Sasa anaenda kufundishwa adabu na bingwa wa sayansi ya siasa za upinzani Aikael Mbowe.
Kelele ni nyingi mtandaoni lakini hazitomsaidia Lissu na kichapo cha mbwa mwizi toka kwa Mbowe.
Lissu ana wapiga kelele haswa wa mtandaoni, Mbowe ana wapiga kura. Mpaka hapo nani anaenda kushinda?
Uchaguzi wa Chadema una wajumbe wa mkutano mkuu wanakaribia 1300 ambao wana vigezo vya kupiga kura.
Mpaka hapo nafikiri mnaelewa kwa nini Lissu alikuwa anatoa milio mingi kwenye chaguzi zilizokuwa zinaendelea kwa sababu anajua Mbowe alikuwa anapanga safu yake ya kumpigia kura. Yani Mbowe mpaka sasa ana wapiga kura wa kutosha.
Kilichobaki ni Lissu kunyolewa bila maji then akimbie chama kwa hasira yeye na wapiga kelele wenzake.
Baada ya hapo Mbowe ataisuka upya Chadema yake na kurecruit damu mpya nyingi za vijana watiifu wafanya siasa sio harakati.
Lissu anasema uchawa kwenye chama haufai wakati yeye ndio alikuwa chawa namba moja wa Mbowe. Zitto na Kitila wanafukuzwa Lissu ndio kijumbe yupo pembeni ya Mbowe anatoa ushauri wa kisheria.
Dr Slaa anakimbia Chadema, Lissu yupo pale anamnyoosha Dr Slaa.
Yeye ndio alikuwa mastermind wa kuondoa ukomo wa uongozi kwa kuwa alikuwa ananufaika leo anawadanganya chama hakikuwa na watu.
Nasemaje Lissu anatakiwa apigwe vizuri mpaka hata hicho chama anachotaka kuanzisha aghairishe arudi kula pensheni ubeligiji.
Sababu ni moja ni TRAITOR.
Alimsaliti JPM mkamshangilia.
Amefanya kwa Mbowe kipenzi chenu.
Amesaliti watu wengi sana ili yeye ajenge jina lake kwamba anaipenda Tanzania kuliko kiumbe yoyote.
Mimi sio shabiki wa Mbowe ila watu kama Lissu wenye kelele nyingi na hekma sifuri hawatakiwi kuongoza taasisi yoyote. Chadema ipo hapo ilipo kwa vingi ikiwemo hekma za Mbowe. Mbowe ni Nigga ila ni kiongozi mara 200 kumzidi Lissu.
Vipi, umekimbia matibabu? Hakuna shaka kuwa hujapona, rudi hospitali ukamalizie tiba.Kataka mwenyewe huyu chizi fresh. Acha afunzwe adabu.
Kitu muhimu ni mtu kutumia haki yake anavyoona yeye sawa.
Kushinda au kushindwa ni matokeo.
Kama Tundu Lissu anaona anaweza kukiongoza chama vizuri, ni haki yake kugombea uongozi.
Hata akishindwa, hilo halina maana Tundu Lissu ndiye tatizo au hana uwezo.
Inawezekana Tundu Lissu akawa ndiye kiongozi anayefaa na bado akakosa kura kwa sababu wanaochagua hawako tayari kuwa na kiongozi anayefaa.
Uongozi mzuri haupatikani kwa kura nyingi, that is democracy but democracy does not guarantee good leadership. I am not anti-democracy, I am explaining logic.
Kufikiri kiongozi anayefaa ni yule anayechaguliwa kwa kura nyingi ni logical fallacy, that is argument from popularity logical fallacy.
Mkuu Lissu kayakanyaga kwa Mbowe. Atafunzwa adabu.Vipi, umekimbia matibabu? Hakuna shaka kuwa hujapona, rudi hospitali ukamalizie tiba.
Achana na masuala ya Mbowe na Lisu. Hao wanatimiza misingi ya demokrasia, hawategemei hizi porojo na kelele zako.
Tunajua kabisa Mbowe atasaidiwa na Samia kwa kutumia fedha za waarabu na vyombo vya usalama. Tunajua kuwa mpaka TISS itatumika ili tu Lissu asishinde. Hii ni kwa sababu Mbowe ameshapewa fedha nyingi na Samia ili CHADEMA isipige kelele wakati waarabu watakapokuwa wanapora raslimali zetu na pia CHADEMA isimpe Samia ushindani kwenye uchaguzi mkuu wa mwakani. Tusibiri tuone mwisho wake.View attachment 3175794