Uchaguzi ni sayansi: Lissu anaenda kugaragazwa vibaya sana na Mbowe

Lakini Lissu anajua fika anaenda kushindwa. Lengo lake nini?
Mbona CHADEMA tulishiriki uchaguzi wa TAMISEMI licha ya kwamba tulijua tutashindwa kwa figisu za CCM? Lissu anaweka basis ya watu kudai mabadiliko, hata akianguka ata set basis ya mabadiliko na Mbowe itakua awamu yake ya mwisho maana atajua anapoelekea itakua worse.
 
Naona hadi chawa wa wasanii sasa wanajifanya ni wanasiasa na wamejipa ushauri wa Mbowe na Lissu!

Hakika Utanazaji nia wa Lissu umewaibua chawa, viroboto, kunguni, papasi, mende, na kila aina ya wadudu wa hovyo.
 
Ni kweli CDM ni chama cha Mbowe? Chawa wa Mbowe hamtaki kabisa KUKATIWA MRIJA wa pesa za Mama Samia, sivyo?
 
Kama leo Lisu ni msaliti ndani ya CHADEMA,inazidi kudhihirisha kuwa kuwa kila anaempinga mwenykiti ni msaliti ndani ya CHADEMA,hii inazidi kuonyesha kuwa CHADEMA hadi sasa bado hawafai kupewa nchi kwa sababu imejaa wasaliti ambao kama wanaweza kusaliti chama, basi hata wakipewa nchi wataisaliti.
CHADEMA ijiangalie sana,Zito alikuwa msaliti,Slaa alikuwa msaliti,LIsu msaliti, sasa mkamilifu ndani ya CHADEMA Ni Mbowe peke yake ?
Ina maana bila ya Mbowe,CHADEMA haiwezi kusonga mbele ?
Ni demokrasi gani ambayo CHADEMA huwa inaihubiri kila siku , kama ndani ya CHADEMA ndo pameoza Hivi ?
Kama leo kwa hili tu la uenyekiti,mambo yapo hivi,IKitokea CHADEMA imepewa nchi, wasiojulikana si watakuwa wengi kwa sababu CHADEMA haitaki kukosolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…