Bw.Sultan Mac Joe Khalifa hapa hakuna suala la eti Lissu kwa kuwa si mchaga ndo maana watu wanamshambulia hapana nakataa 1 Lissu ameita press nje ya ofisi na wakati hata fomu za uongozi hazijatolewa hichi kitendo ni kama utovu wa nidhamu ameonyesha na kwamba yeye ni juu ya kila kitu kwa maana nyingine ni kwamba analazimisha iwe vile anavotaka yeye na ni kama vitisho anatoa kwa uongozi wa CHADEMA ufuate matakwa yake kwa sababu ye anajiona ni zaidi ya kila mtu pale CHADEMA ! He is very wrong !
Tusubiri muda utaongea.
Anasahau alipongombea urais 2020wakati akitokea Belgium alipokuwa ni huyu huyu Mwamba Mbowe ndio alimpokea na alisimamia kampeni zake zote za Urais kwa ufanisi wa hali ya juu lakini leo anaona eti uongozi wote wa CHADEMA haufai !