Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

Wengine wamefunga ofisi baada ya kufanya huu upuuzi,wanajua walichofanya
 
Kigumu chama cha mapinduzi

Nimekuelewa boss
 
Tutakaoteseka ni sisi wananchi hadi tutakapopata akili
 
Kuna watu wana 'ALEGI' na neno upinzani, labda tuliondoe kwenye kamusi ya siasa za Tanzania.
Tuchague mtu na si chama.
 
Mkuu kwa hiyo hadithi yako inatufundisha nini?, mbaya zaid hata kuandika hujui nenda shule uliyosomea uwaambie wakurudishie ada yako.
Shule gani nzuri mkuu,nataka kujiunga nijifunze ujinga uliosoma kwenye hiyo shule
 
Upinzani msitake kuhadaa umma ...bali kubalini tu mmepoteza mvuto.
Nakumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2014 kulikuwa na the so called UKAWA basi mjini na vijijini kulikuwa na heka heka haswa na hivyo kupelekea CCM kuvuja jasho.
Baada ya uongozi mbovu wa Mbowe na usanii wa hali ya juu kuhusu UKAWA kulikopelekea Kina Slaa na Lipumba kuondoka basi tunashuhudia hasira za wananchi dhidi ya vyama vilivyounda Ukawa...
 
Si mpo nyie wenyewe CCM a.k.a "Kusanyiko la Binadamu WAPUMBAVU"..kwenye huu Uchaguzi..??!
Shida ipo wapi tena Jinga..??!!
 
Labda kama una ushahidi wapinzani walifanya hivyo uuweke hapa kwa maslahi ya wasomaji.

Vitendo vya kutojiandikisha vilifanywa na wananchi wenyewe kuwapa ujumbe vyama vyote kuwa hakuna maana ya kufanya hivyo kwa kuwa hawana imani nao tena

Nadhani hata upinzani walitoka kuwaomba wajiandikishe baada ya kuona hali mbaya

Ndiyo maana pia hata watumishi na wanafunzi walilazimishwa na mabosi wao.

Ni upumbavu kuwalazimisha watu kudai haki zao.

Ninyi mnayo haki ya kuwahamasisha na sio kuwalazimisha, hii inadhihirisha kuchoshwa kwa wapiga kura kwa upumbavu wenu
 
Warembo Wenye mvuto wanaogopa kushindana kushindana ndo utaona maajabu ya VIAZ wa Lumumba. Nyambafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…