Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Uchaguzi ukiwa huru na wa haki, CCM ijiandae kukabidhi ikulu.
njaa haina baunsa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
njaa haina baunsa
Hayo mapinduzi ndo kafanya yeye Magufuli sasa. Unafikiri alivyowaita Ikulu ni kwenda kunywa juice tu!!Hiki chama ni changu ila kimejaza vilaza hatari, mh. Magufuri fanya mapinduzi chamani pls
Ukweli ndiyo huo, Nchi yetu imeshakuwa primitive kuliko South Sudan kwa sababu ya mtu mmoja asiyejua anachofanya.njaa haina baunsa
Unayoyafanya unayajua. Mnyanyasaji usiyejali maisha ya watanzania. It is shame to have you as our president.
Haya ni mawazo ya kishetani .
Ni kweli kabisa.Wengi hawajamuelewa mtoa mada kwenye Kiswahili kuna kitu inaitwa "kejeli" huyu hayupo kabsaaa ccm nashangaa upinzani humu wanamnanga
Hatimaye nimefanikisha tena.
Mwaka jana kuna vijana walikuwa wananitisha eti hawatanipa kura zao kwenye nafasi niliyokuwa nayo ya uenyekiti wa mtaa, na baadhi waliniamsha usiku wa manane na nikichelewa kuamka wanasema eti walinipa kura zao niwanyenyekee.
Asante Magu, sasa wananchi hamtutishi na mikwara yenu,tumerudi madarakani, na huto tu kura twenu hatutuhitaji, mtupishe na mkome,mmetutesa sana miaka michache hapo nyuma, oooh! fanya kazi,vinginevyo tutakuondoa kwa kura, fyoko fyoko, sasa kwa taarifa yenu, huto tukura twenu mkae nato, tumepita bila kupingwa na hamuwezi kutufanya lolote
Mnatamba eti mamlaka yanatoka kwa wananchi, shwaini, asilimia 99 tumepita bila nyie
Sijakupangisha foleni unipigie kura wala sijauza sera yoyote kwako wala kukupa ahadi ya uchaguzi a.k.a ilani yangu, usiniulize mambo ya mabarabara,maji,afya na elimu na mengineyo, unaniuliza kwani ulinipigia kura? Niliuza Sera yoyote kwako? Unanibana kwa lipi mwanaizaya wewe? Akina mama mnaodundwa na waume zenu mnajaa milangoni kwangu usiku kisa mlinipa kura,mkome, safari hii wanamtaa na wanavitongoji na vijiji hamjatupa kura zenu,mkome kutusumbua
Ntarudi
Kigumu Chama cha mapinduzi
Shule gani nzuri mkuu,nataka kujiunga nijifunze ujinga uliosoma kwenye hiyo shuleMkuu kwa hiyo hadithi yako inatufundisha nini?, mbaya zaid hata kuandika hujui nenda shule uliyosomea uwaambie wakurudishie ada yako.
Ujinga mtupu
Si mpo nyie wenyewe CCM a.k.a "Kusanyiko la Binadamu WAPUMBAVU"..kwenye huu Uchaguzi..??!Upinzani msitake kuhadaa umma ...bali kubalini tu mmepoteza mvuto.
Nakumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2014 kulikuwa na the so called UKAWA basi mjini na vijijini kulikuwa na heka heka haswa na hivyo kupelekea CCM kuvuja jasho.
Baada ya uongozi mbovu wa Mbowe na usanii wa hali ya juu kuhusu UKAWA kulikopelekea Kina Slaa na Lipumba kuondoka basi tunashuhudia hasira za wananchi dhidi ya vyama vilivyounda Ukawa...
Labda kama una ushahidi wapinzani walifanya hivyo uuweke hapa kwa maslahi ya wasomaji.Sasa kama mlihamasisha wanachama wenu wasijiandikishe kwenye daftari la wapigakura mnategemea mini? Cha ajabu eti tena huyo huyo mwanachama ambaye hakujiandikisha anakwenda kuchukua fomu ya kuomba kuwa kiongozi wakati Kanuni 13 (e) ya uchaguzi inasema mgombea lazima awe amejiandikisha!! Yaani wapinzani kwenye vichwa vyao unaweza fikiri hawana ubongo!!
Warembo Wenye mvuto wanaogopa kushindana kushindana ndo utaona maajabu ya VIAZ wa Lumumba. NyambafuUpinzani msitake kuhadaa umma ...bali kubalini tu mmepoteza mvuto.
Nakumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2014 kulikuwa na the so called UKAWA basi mjini na vijijini kulikuwa na heka heka haswa na hivyo kupelekea CCM kuvuja jasho.
Baada ya uongozi mbovu wa Mbowe na usanii wa hali ya juu kuhusu UKAWA kulikopelekea Kina Slaa na Lipumba kuondoka basi tunashuhudia hasira za wananchi dhidi ya vyama vilivyounda Ukawa...