LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Haahaa we jidanganye subiri 2020, hyo Ni alarm. Bila kutiana adamu mtalialia tu...Hapana, tusifike huko ndugu yangu.
Ninaamini siasa za Tanzania ni komavu na uvumilivu wa watanzania ni thabiti. Lazima kuna hatua mbadala za kututoa kwenye hii hali bila ya kumwaga damu. Na kama tukifanikiwa hilo, tutaonyesha ukomavu wa hali ya juu zaidi.
wewe ulisema ulisha kimbia nchi..na ulihimiza wenzako wasijiandikishe...kwa ajili ya uchaguzi huu...mara hii unaibuka na kauli za kipuu...Kama umeamua kikimbiza 'bawa' lako lisiguswe utulie huko huko uache kelele zako za krreaaa kreaaa kreaaa!!!Ushauri wangu: Ni aibu wanaccm wanatamalaki mitaani huku wakiwa hawana hata michubuko. Kuua muda mwingine siyo dhambi!
Mmeshinda wapi? Wakianza kushughulikiwa msianze kulialia watendaji wameingizwa kingi kwa tamaa ya juisi ya ikulu.Taharuki gani?kila jambo lenye ushindani lazima mtu akubali kushinda au kushindwa
Nani anayejitia kichwa ngumu kujaribu hayo?Watalia wenyewe tena sana na kusaga meno chini,mwenzako akinyolewa zako anza kizitia maji taratibuuuMmeshinda wapi? Wakianza kushughulikiwa msianze kulialia watendaji wameingizwa kingi kwa tamaa ya juisi ya ikulu.
Ngoja tuwaone haoMmeshinda wapi? Wakianza kushughulikiwa msianze kulialia watendaji wameingizwa kingi kwa tamaa ya juisi ya ikulu.
Wewe nawe unajitia kichwa ngumu tu,leo kusingekuwa na kiongozi Nchi ingekuwa nchi?Namshukuru Mungu sikujiandikisha kwenye huo upuuzi na wala sijutii kamwe!! Nitajiongoza mwenyewe
Mkuu jidanganye, msianze kulialia humuNani anayejitia kichwa ngumu kujaribu hayo?Watalia wenyewe tena sana na kusaga meno chini,mwenzako akinyolewa zako anza kizitia maji taratibuuu
Kwa nini hujachukua fomu ya kugombea kama waona nafasi zipo?Uchaguzi huu utathibitisha ukweli kuwa Tanzania haina wapinzani na hawa waliopo ni Wajasiriasiasa......wanasaka fursa tu wapate kuishi!
NimekuelewaCHADEMA msijaribu kukata rufaa kaeni kimya kabisa
Mawazo yako hayana msingi wa Demokrasi.Tafadhali tulia ujaribu kukumbuka kwa nini tuliruhusu mfumo wa vyama vingi!Wapinzani wanavuna walichopanda waliwekeza kwenye siasa za mitandaoni na kupinga kila kitu
MwanaCCM unaona rahaa mwenyewe roho yako kwatuuTuhabarishe kuhusu hapo Mbeya........hahahaaaa!
Wakikujibu hii unitag.Kwani hawa watendaji wa kata/mitaa huwa wanaishi wapi??