Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

Hapana, tusifike huko ndugu yangu.

Ninaamini siasa za Tanzania ni komavu na uvumilivu wa watanzania ni thabiti. Lazima kuna hatua mbadala za kututoa kwenye hii hali bila ya kumwaga damu. Na kama tukifanikiwa hilo, tutaonyesha ukomavu wa hali ya juu zaidi.
Haahaa we jidanganye subiri 2020, hyo Ni alarm. Bila kutiana adamu mtalialia tu...
 
Ushauri wangu: Ni aibu wanaccm wanatamalaki mitaani huku wakiwa hawana hata michubuko. Kuua muda mwingine siyo dhambi!
wewe ulisema ulisha kimbia nchi..na ulihimiza wenzako wasijiandikishe...kwa ajili ya uchaguzi huu...mara hii unaibuka na kauli za kipuu...Kama umeamua kikimbiza 'bawa' lako lisiguswe utulie huko huko uache kelele zako za krreaaa kreaaa kreaaa!!!
 
Mmeshinda wapi? Wakianza kushughulikiwa msianze kulialia watendaji wameingizwa kingi kwa tamaa ya juisi ya ikulu.
Nani anayejitia kichwa ngumu kujaribu hayo?Watalia wenyewe tena sana na kusaga meno chini,mwenzako akinyolewa zako anza kizitia maji taratibuuu
 
Uchaguzi huu utathibitisha ukweli kuwa Tanzania haina wapinzani na hawa waliopo ni Wajasiriasiasa......wanasaka fursa tu wapate kuishi!
Kwa nini hujachukua fomu ya kugombea kama waona nafasi zipo?
Kama wewe sio mpinzani nani mpinzani halisi? Je maendeleo yapo katika msingi unaokubalika au kuna mambo ya ujanja ujanja?
 
Nafikiri karata hii ccm wameicheza vibaya. kwani kama uchaguzi utafanyika basi kuna uwezekano watu wengingi kutojitokeza kwenda kupiga kura.
 
kwa hiyo unataka kusemaje?

malizia unachotaka kukisema
 
Kwani wanaenguliwa kwa kisa gani kama wameteuriwa na chama chao
 
M
Wapinzani wanavuna walichopanda waliwekeza kwenye siasa za mitandaoni na kupinga kila kitu
Mawazo yako hayana msingi wa Demokrasi.Tafadhali tulia ujaribu kukumbuka kwa nini tuliruhusu mfumo wa vyama vingi!
 
Nimeambiwa huko moshi vijijini, kwenye kata ya kimanganuni yenye vijiji vya kariwa, Longuo,na Kimanganuni, wagombea toka vyama vya upinzani wameenguliwa wote.

Wamepitishwa wa ccm tu.


Maajabu yapo Africa.
 
Back
Top Bottom