LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Haahaa we jidanganye subiri 2020, hyo Ni alarm. Bila kutiana adamu mtalialia tu...Hapana, tusifike huko ndugu yangu.
Ninaamini siasa za Tanzania ni komavu na uvumilivu wa watanzania ni thabiti. Lazima kuna hatua mbadala za kututoa kwenye hii hali bila ya kumwaga damu. Na kama tukifanikiwa hilo, tutaonyesha ukomavu wa hali ya juu zaidi.