Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Siwezi kumwelewa kiongozi wa upinzani anayehamasisha watu kupiga kura labda kama uhamasishaji huo utaendana na kuzipambania kura kwa nguvu zote na maelekezo jinsi ya kupambana na maharamia wa kuvuruga demokrasia.
Haiwezekani kajitu kama mtendaji wa kata kanavuruga maamuzi ya wananchi maelfu halafu tunakaangalia tu.
Uchaguzi ujao itangazwe wazi kuwa ni uchaguzi wa kuwaonesha watawala kuwa wananchi hatuwezi kuchezewa na kakikundi kadogo ka watu.