Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

Siwezi kumwelewa kiongozi wa upinzani anayehamasisha watu kupiga kura labda kama uhamasishaji huo utaendana na kuzipambania kura kwa nguvu zote na maelekezo jinsi ya kupambana na maharamia wa kuvuruga demokrasia.

Haiwezekani kajitu kama mtendaji wa kata kanavuruga maamuzi ya wananchi maelfu halafu tunakaangalia tu.

Uchaguzi ujao itangazwe wazi kuwa ni uchaguzi wa kuwaonesha watawala kuwa wananchi hatuwezi kuchezewa na kakikundi kadogo ka watu.
 
Nyie wapinzani hivi mnataka kutuchanganyia betri na gunzi? Acheni kulia lia serikali hii inajiuza kwa wapiga kura kutokana na utendaji kazi wake mzuri na haihitaji hata kampeni kushinda uchaguzi. Wagombea wenu wanajitoa wenyewe mnasingizia kuengulia wameogopa moto wa ccm.
 
Kama hawakujitokeza kugombea inaweza kuwa haina tatizo. Lakini kama wamegombea na wamezuiwa hapo kuna kitu watu wanataka kukiona. Najaribu kujiuliza wale watu milioni 6 na point waliochagua wapinzani walienda wapi? Kama bado wapo hai naogopa sana.
Wale wote walikuwa maCCM wamerudi Nyumbani Kumenoga.
Tuliopinga Mwenyekiti kuuza chama tuliambiwa TUTAELEWA MBELE YA SAFARI.
Sasa kweli TUNAMUELEWA
 
Dhuluma na wizi ni za nini ??

Kwa nini tunaacha kuheshimu kura ya mwananchi??
 
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Screenshot_20191016-224559-picsay.jpeg
 
Where is democracy??

Hii nchi ilipofika sio pazuri
 
Hao watendaji wasakwe tu kila kona.hivi mbeya nzima unaondoa wagombea Wa upinzani kulikoni.wapinzani wakifumbia hili wajue mwakani itakula kwao zaidi.Ni heri tugawane mbao tuanze upya
 
Wakate tu rufaa kama wanazo hoja za msingi kama sio pumba hoja tuwaone,akili zao hazina akili
Hoja gani, hili Ni agizo la jiwe.wanajisumbua tu.kosa kubwa la chadema Ni kudanganywa Na viongozi Wa dini kuhairisha UKUTA.sasa viongozi Wa dini wako kimyaaaa
 
Wewe una umuhimu gani wa kuishi unaweza kuumba hata sisimizi au unaongea tu kijinga hapo?
Hao adhabu yao Ni hiyo wamesaliti taifa letu, adhabu ya msaliti Ni kifo tu.haiwezekani waliweke taifa kwenye taharuki kiasi hili.
 
Mimi kwa mtazamo wangu hao watendaji hawapaswi kuishi, kama mbwai iwe mbwai.
Hapana, tusifike huko ndugu yangu.

Ninaamini siasa za Tanzania ni komavu na uvumilivu wa watanzania ni thabiti. Lazima kuna hatua mbadala za kututoa kwenye hii hali bila ya kumwaga damu. Na kama tukifanikiwa hilo, tutaonyesha ukomavu wa hali ya juu zaidi.
 
Back
Top Bottom