Sio tu ushamba , ali pia na ubinafsi, hawa jamaa inaonekana kuna mengi walipewa favour na kuna uwezekano kulikuwa na mikakati ya kutawala milele , kanda ya ziwa kwa sasa inaweweseka sana na uwepo wa mamaHakuna kitu kama hicho, ni porojo za wanasiasa tu. Idadi ya watu kanda ya ziwa haifiki robo ya watanzania wote.
Kanda ya ziwa inatumika kwasababu huko ndio washamba wamejazana.
Hapana mnam bully mama...Kanda ya ziwa ni nchi ndani ya nchi mama, hilo halina kipingamizi kwamba sisi ndio tuna determine nani awe rais na nani asiwe rais. Hilo liko wazi.
Mama analijua hilo ndio maana unaona kila kukicha anatutembelea.
Hii nchi tulikua taken advantage of kwa miaka mingi, sasa tumeshtuka na sasa tunaamua nani awe rais.
Faida moja ya kanda yetu ni kwamba tuna makabila mengi lakini yanayoelewana na yameingiliana kiasi kwamba wote tunaonekana kama kabila moja. Hii haipo kanda zingine nchini.
Kama tunachangia 33% ya pato la taifa kwa nini tusiamue nani awe rais?
Msukuma pekee, yupo zaidi ya Million 10 hapa nchini ktk mikoa mitano, changanya na wale makabila ya wengine kama Wazinza, Wajita, Wakara, Kurya, Wasubi(etc)Sidhani kama kanda ya ziwa ndio ina determime nani awe rais ,
Uelewa wa raia utakapokuwa mzuri hata kama kanda ya ziwa yote wapige kura against mgombea flani , bado mgombea huyo anaweza kushinda kura sehemu zingine na kushinda kiti
Nchi ndani ya nchi? Kwa uchaguzi huru au ule kama wa 2020?Kanda ya ziwa ni nchi ndani ya nchi mama, hilo halina kipingamizi kwamba sisi ndio tuna determine nani awe rais na nani asiwe rais. Hilo liko wazi.
Mama analijua hilo ndio maana unaona kila kukicha anatutembelea.
Hii nchi tulikua taken advantage of kwa miaka mingi, sasa tumeshtuka na sasa tunaamua nani awe rais.
Faida moja ya kanda yetu ni kwamba tuna makabila mengi lakini yanayoelewana na yameingiliana kiasi kwamba wote tunaonekana kama kabila moja. Hii haipo kanda zingine nchini.
Kama tunachangia 33% ya pato la taifa kwa nini tusiamue nani awe rais?
Mama mbona umeanza kuwa na wasiwasi..?Hello great thinkers...
Mimi naona hii njia ya kuhesabu kura zote Tanzania kwenye uchaguzi mkuu ina mapungufu...
Kanda ya Ziwa ni kama inadetermine nani atakuwa Rais...
Na wenyewe kwa kutambua hili wanakua arrogant, kama wanavyomtishia mama kuwa hatashinda uchaguzi ujao...(Sio wote)
Mimi naona hii sio fair kwa mikoa ile yenye watu wachache...
Kwa nini tusifanye kama Marekani?
Mkoa/jimbo moja linahesabu kura then anayeshinda anatangazwa ameshinda kwenye mkoa/jimbo hilo..
Anayeshinda mikoa yote ndio anakuwa Rais wetu...
Kwa njia hii hakuna Kanda itakayokua juu ya Kanda nyingine..
Fairness ndicho tunachokitaka...
Usianze kulaumu Kanda Sasa we fanya yanayostahili si unaelewa saikolojia ya watu wako!Sababu sitaki kupoteza uchaguzi ujao...hahahah😀 😀
Umeandika kinyume nyume, mama yenu ndiye anayeweweseka….. kuhusu ubinafsi kanda ya ziwa ndo haina hicho kitu.Sio tu ushamba , ali pia na ubinafsi, hawa jamaa inaonekana kuna mengi walipewa favour na kuna uwezekano kulikuwa na mikakati ya kutawala milele , kanda ya ziwa kwa sasa inaweweseka sana na uwepo wa mama
Sisi wakurya hatuwapigii wasukuma. Tunajielewa na sio wakabila kama nyie wasukuma na pia sio washamba na huo ujinga wa kanda ya ziwaMsukuma pekee, yupo zaidi ya Million 10 hapa nchini ktk mikoa mitano, changanya na wale makabila ya wengine kama Wazinza, Wajita, Wakara, Kurya, Wasubi(etc)
Uwe unajitahidi kusoma takwimu zinazotolewa na vyanzo vya kuaminika vya serikali, usiwe bolizozo.Nchi ndani ya nchi? Kwa uchaguzi huru au ule kama wa 2020?
Uchaguzi unaamuliwa kwa idaxi ya wapiga kura na ulelekeo towards mgombea
Halafu hiI figure ya kuwa kanda hiyo inachangia 33% ya mapato umeitoa wapi ?
Sensa haijawahi kihesabu idadi ya watu katika kabila fulani, hii kuwa wapo wasukuma 10 mil unaitoa wapi?Msukuma pekee, yupo zaidi ya Million 10 hapa nchini ktk mikoa mitano, changanya na wale makabila ya wengine kama Wazinza, Wajita, Wakara, Kurya, Wasubi(etc)
Wakurya gani wanajielewa, hawa kina Waitara na yule mbunge wa Serengeti chacha ryoba ama kina Ester matiko na Ester Bulaya?Sisi wakurya hatuwapigii wasukuma. Tunajielewa na sio wakabila kama nyie wasukuma na pia sio washamba na huo ujinga wa kanda ya ziwa
Ili kuondoa hii kitu ya Kanda yenye ubinafsi na Kanda isiyo na ubinafsi kuwe na system ya kuhakikisha hakuna Kanda inakua juu/chini ya Kanda nyingine....Umeandika kinyume nyume, mama yenu ndiye anayeweweseka….. kuhusu ubinafsi kanda ya ziwa ndo haina hicho kitu.
Kanda yenye ubinafsi inajulikana na ina chama chake, na mgombea asipotokea huko hapati kura zao….. hiyo ni kaskazini.