Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais

Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais

Sio tu ushamba , ali pia na ubinafsi, hawa jamaa inaonekana kuna mengi walipewa favour na kuna uwezekano kulikuwa na mikakati ya kutawala milele , kanda ya ziwa kwa sasa inaweweseka sana na uwepo wa mama
You are insulting the whole Lake zone something which is unfair.

You are even calling us selfish,this is unfair too.

but I need to remind you,Lake zone has five Region,two of this Region are not stayed by wasukuma therefore when you are trying to make your imagination to be true try to remove people from Kagera expecally Wahaya.

By the way we are not bothered at all by her being The President even if people will elect her again 2025.
 
Huyo dada angekaa tu amsubiri mumewe atoke kazini wakaoge kuliko kutuanzishia uzi wa hivi...

Matokeo ya 2020 tulishuhudia jambo la ajabu sana..bado mtu anaamini kuwa nchi hii unashinda kwa kura halali....
Nikijisikia kuandika chochote naandika na hutanifanya lolote!

Naona uko desperate kunichokoza... 😡 😳
 
Umeandika kinyume nyume, mama yenu ndiye anayeweweseka….. kuhusu ubinafsi kanda ya ziwa ndo haina hicho kitu.

Kanda yenye ubinafsi inajulikana na ina chama chake, na mgombea asipotokea huko hapati kura zao….. hiyo ni kaskazini.
wewe usije dhani kanda ya kaskazini kuwa labda wana akili kuliko sehemu zingine hapana basi ni hivi.Athari za ukoloni ndio zimebadilisha tabia za watu hadi maendeleo yake.Kwa upande wa Tanganyika mkoloni alivyokuja aligundua mkoa wa Kilimanjaro,Mbeya,Kagera,Iringa ndio mikoa ambayo inarutuba na hali ya hewa imewapendezesha sasa alichokifanya ndio akaona ajenge shule na makanisa hivyo watu walipata muamko na kuwa wajanja toka miaka mingi.Nitoe mfano mzuri mangi Mareale kipindi Nyerere anakwenda UNO alikuta Mangi Marealle ameshakatiza huko siku nyingi.Watu wana mawazo kuwa Nyerere ndio mtanganyika wa kwanza kupata shahada ila sio kweli watu wa Kanda ya Ziwa wako waliokuwa tayari na shahada za Udaktri wa falsafa.
Kumbukeni kuna mahali mkoloni ali plan kuupa mkoa wa Kilimanjaro Uhuru wake ambapo ingekuwa kama nchi ya Lesotho ilivyo ndani ya Africa kusini.Ila Nyerere alivyogundua hilo kuvunja nguvu akamuingiza Marealle kwenye TANU.
Tukija nchi za jirani angalia makabila ya Baganda wa Uganda na Wakikuyu wa Kenya hali ni hiyo hiyo.
Kwa hiyo athari za Ukoloni ndio tulizoridhi hadi leo zinatutafuana kabila moja kuonekana wajanja na wabinafsi kuliko lingine sio kwenye wote tuko sawa vichwani
 
You are insulting the whole Lake zone something which is unfair.

You are even calling us selfish,this is unfair too.

but I need to remind you,Lake zone has five Region,two of this Region are not stayed by wasukuma therefore when you are trying to make your imagination to be true try to remove people from Kagera expecally Wahaya.

By the way we are not bothered at all by her being The President even if people will elect her again 2025.
Sikuwa na maana ya kutukana , na samahani sana kama hili lilmekukwaza ,
 
Uchaguzi ujao Kanda ya ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais​

Huku ni kukosa akili...kwa hio kikwete na yeye alichaguliwa na kanda ya ziwa,,, wanawake bana 😁😁 sijui mnawaza kutumia nini...

Akishapitishwa na chama tawala ni upige kura usipige utajua mwenyewe matokeo yanakuwa mezani
 
Tatizo lako la Uelewa lisiharibu mada hii please.... just bounce man!
 
You are insulting the whole Lake zone something which is unfair.

You are even calling us selfish,this is unfair too.

but I need to remind you,Lake zone has five Region,two of this Region are not stayed by wasukuma therefore when you are trying to make your imagination to be true try to remove people from Kagera expecally Wahaya.

By the way we are not bothered at all by her being The President even if people will elect her again 2025.
Jamaa kuwatukana alikuwa sahh na ww umeandika utumbo
 
Hello great thinkers...

Mimi naona hii njia ya kuhesabu kura zote Tanzania kwenye uchaguzi mkuu ina mapungufu...

Kanda ya Ziwa ni kama inadetermine nani atakuwa Rais...

Na wenyewe kwa kutambua hili wanakua arrogant, kama wanavyomtishia mama kuwa hatashinda uchaguzi ujao...(Sio wote)

Mimi naona hii sio fair kwa mikoa ile yenye watu wachache...

Kwa nini tusifanye kama Marekani?

Mkoa/jimbo moja linahesabu kura then anayeshinda anatangazwa ameshinda kwenye mkoa/jimbo hilo..

Anayeshinda mikoa yote ndio anakuwa Rais wetu...

Kwa njia hii hakuna Kanda itakayokua juu ya Kanda nyingine..

Fairness ndicho tunachokitaka...

Kanda ya ziwa, Kaskazini na Kusini ndizo zenye uwezo wa kumchagua Rais, nikimaanisha pia wananchi wengi waliopo dar ni wazsliwa wa kutokea ukanda huo.​

Kumchagua mtu kutokea pemba na unguja kwa sasa imepitwa na wakati kuiongoza Bara.​

Kanda ya ziwa ilikuwa imesahaulika kimaendeleo baada ya kumpata JPM waliona faida yake na faida ya siasa na sasa wameelimika.​

Pia haiwezekani kwa karne hii mtu yuko kahama ampigie kura mtu wa unguja au pemba the same applied mtu kutoka pemba na unguja kumpigia kura mgombea kutokea Kasulu, imepitwa na wakati.​

Mwisho mkumbuke kuwa membe angegombea urais na Lowassa mwaka 2015 CCM ingekuwa KANU , aliyeokoa jaazi ni JPM kutokea kanda ya Ziwa na kura zikageuka otherwise Lowassa alikuwa anachota kura zote za kanda ya ziwa, kaskazini na kusini jumlisha na Dar mchezo ungekusha.​

wewe usije dhani kanda ya kaskazini kuwa labda wana akili kuliko sehemu zingine hapana basi ni hivi.Athari za ukoloni ndio zimebadilisha tabia za watu hadi maendeleo yake.Kwa upande wa Tanganyika mkoloni alivyokuja aligundua mkoa wa Kilimanjaro,Mbeya,Kagera,Iringa ndio mikoa ambayo inarutuba na hali ya hewa imewapendezesha sasa alichokifanya ndio akaona ajenge shule na makanisa hivyo watu walipata muamko na kuwa wajanza toka miaka mingi.Nitoe mfano mzuri mangi Mareale kipindi Nyerere anakwenda UNO alikuta Mangi Marealle ameshakatiza huko siku nyingi.Watu wana mawazo kuwa Nyerere ndio mtanganyika wa kwanza kupata shahada ila sio kweli watu wa Kanda ya Ziwa wako waliokuwa tayari na shahada za Udaktri wa falsafa.
Kumbukeni kuna mahali mkoloni ali plan kuupa mkoa wa Kilimanjaro Uhuru wake ambapo ingekuwa kama nchi ya Lesotho ilivyo ndani ya Africa kusini.Ila Nyerere alivyogundua hilo kuvunja nguvu akamuingiza Marealle kwenye TANU.
Tukija nchi za jirani angalia makabila ya Baganda wa Uganda na Wakikuyu wa Kenya hali ni hiyo hiyo.
Kwa hiyo adhari za Ukoloni ndio tulizoridhi hadi leo zinatutafuana kabila moja kuonekana wajanja na wabinafsi kuliko lingine sio kwenye wote tuko sawa vichwani
Got to have white hair and snowy beard to know this ,
Popte alipokaa mkoloni alikaa kwa malengo na lalichacngamsha jamii husika kwa uelewa
 
Kanda ya ziwa haiamui nani awe raisi, kwanza hakuna free and fair elections, anayeamua nani awe raisi ni aliyeshika dola.

Hata ssh alivyokuwa no.2 alisema hata mfanyeje, ccm ndio itashika dola so kibongobongo no one determines who's gonna win it, ni dola, ni mahakama, ni tume ya uchaguzi...hao watatu kwa ujumla wao ndio wanatuletea raisi. You only vote coz it's your constitutional right, not coz your vote counts.
 
Back
Top Bottom