Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais

Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais

Kanda ya ziwa haiamui nani awe raisi, kwanza hakuna free and fair elections, anayeamua nani awe raisi ni aliyeshika dola.

Hata ssh alivyokuwa no.2 alisema hata mfanyeje, ccm ndio itashika dola so kibongobongo no one determines who's gonna win it, ni dola, ni mahakama, ni tume ya uchaguzi...hao watatu kwa ujumla wao ndio wanatuletea raisi. You only vote coz it's your constitutional right, not coz your vote counts.
Muanzisha uzi aje asome hapa afu akojoe akalale
 
Me na ww nani anaandika ujinga....unafungulia thread upuuzi wako
Wewe usiyejua hata kichwa cha habari kinahusu nini, si upite kwani lazima kila thread uchangie na kuonyesha upumbavu wako??? bora ungekua hata mtu wa kuuliza..unaandika mashudu kwa kutoelewa kwako...embu chukua time, wacha watu wadiscuss , nenda thread nyingine, tuondolee shombo hapa! 😡 😡 😡 😡 😡
 
Kwanza maza ana ndimi mbili mbili, anasoma upepo kila anapoenda anawaambia kile wanafurahi kusikia.
*Dodoma alisema mwamba ni nani vile?
*Marekani akasema JPM alikuwa nani?
* Hulo kanda ya ziwa amemlebo mbwamba kuwa akikuwa nani kwake?

Such leaders with two tongues aren't to be trusted.
 
CCM huwa wanaiba sana kura.Mara nyingi sana huwa hawashindi lakini uchakachuaji unaofanyawa na tume ya uchaguzi na vyombo vya dola vinaifanya ibaki madarakani .wananchi tukatae huu uhuni.Russia ameonesha njia kuwa haki inapiganiwa.tukiwachekea hawa wahuni watatawala hata zaidi ya miaka 100 na tutaendelea kuwa masikini zaidi.wananchi tuchukue hatua.tuwaige Russia na Ukraine wanavyoitafuta haki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais kupigiwa kura na raia wa kawaida ni ujinga.

Uchaguzi Kila miaka mitano kwenye hizi nchi zetu Africa ni ujinga zaidi.
 
Ukiendelea soon ntakuabisha ndo utajua Mimi nakujua in-out na utashangaa take care hizo depression zitakuponza soon
AGAIN MTAJE ALIYENIACHA, HUNIJUI NA HUTONIJUA KAMWE...usitishe watu hapa!Mxiewwwwwwwwwwww
 
Wanawake wajuaji much know mtaendelea kuachwa daily kwa Upumbavu kama huu badala ufanye Kaz kutwa umbea tu
hahahahah,,,,, wewe unanitafuta tuuu bado??? mbona hutaki kukubali hii vita umeshaishindwa?!...LOL
 
Kaacha/kaachwa inahusiana nini na hii mada?

Watu wengine mazwazwa sana nyie. Unamjua unapata faida gani? Ushamba mwingine mzigo kweli.
Huyo Mwanamke Mwenzio nn au na wewe umeachwa na mme wako hapa unaona kaandika Mada gani ya maana dats shit.
 
Nimekwambia nani kaniacha??? mbona unaogopa kumtaja?? siku nyingine tafuta mtu wa kumbully sio Rebecca..Mjinga wewe...
Tatizo hakufahamu na utakuta ni wale watu walikunywa maji ya kifuu cha nazi anamtafuta Rebecca. Rebecca ni issue nyingine mkuu
 
Back
Top Bottom