Of courseRebecca unamfahamu Wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Of courseRebecca unamfahamu Wewe?
Ignored kuanzia sasa kwa uhai thread hii, ningeweza kubishana na nyie wapuuzi all day long, ila naona uzuzu wenu umepitiliza kiwango!Hivi hujiulizi unakosea wap kila mtu anakutukia anakuacha badala uende MMU njaa hadi unawaza kura za wasukuma
Umepotea njiaOf course
Njia ya kwenda kwenye tanuru lako labdaUmepotea njia
Lini mshawahi kudetermine nani awe Rais akawa?Kanda ya ziwa ni nchi ndani ya nchi mama, hilo halina kipingamizi kwamba sisi ndio tuna determine nani awe rais na nani asiwe rais. Hilo liko wazi.
Mama analijua hilo ndio maana unaona kila kukicha anatutembelea.
Hii nchi tulikua taken advantage of kwa miaka mingi, sasa tumeshtuka na sasa tunaamua nani awe rais.
Faida moja ya kanda yetu ni kwamba tuna makabila mengi lakini yanayoelewana na yameingiliana kiasi kwamba wote tunaonekana kama kabila moja. Hii haipo kanda zingine nchini.
Kama tunachangia 33% ya pato la taifa kwa nini tusiamue nani awe rais?
Tafuta kazi za kufanya uache kuteseka ...wewe maisha yamekupiga kila kona ..kaanga hata miogo..nadhani umenikumbukaIgnored kuanzia sasa kwa uhai thread hii, ningeweza kubishana na nyie wapuuzi all day long, ila naona uzuzu wenu umepitiliza kiwango!
Inaweza kuwa pi mada zinazohusu kanda ya ziwa si za watu wa huko ila za kundi maalum lenye mlengo maalum hasa kutengeza chuki dhidi ya watu wa huko na watanzania wengine na leo waweza kuwa kanda ya ziwa kwa kuwa raisi aliyetoka alikuwa wa huko ipo siku itakuwa upande wa kanda nyingine tahamaki nchi nzima tumegawanyika na hapo ndipo utakuwa mwisho wa taifa letu tujifunze kwa EthiopiaSio tu ushamba , ali pia na ubinafsi, hawa jamaa inaonekana kuna mengi walipewa favour na kuna uwezekano kulikuwa na mikakati ya kutawala milele , kanda ya ziwa kwa sasa inaweweseka sana na uwepo wa mama
Sitaki kuamini kama kweli 33% ya pato letu lote linatoka kanda hiyo!!Kanda ya ziwa ni nchi ndani ya nchi mama, hilo halina kipingamizi kwamba sisi ndio tuna determine nani awe rais na nani asiwe rais. Hilo liko wazi.
Mama analijua hilo ndio maana unaona kila kukicha anatutembelea.
Hii nchi tulikua taken advantage of kwa miaka mingi, sasa tumeshtuka na sasa tunaamua nani awe rais.
Faida moja ya kanda yetu ni kwamba tuna makabila mengi lakini yanayoelewana na yameingiliana kiasi kwamba wote tunaonekana kama kabila moja. Hii haipo kanda zingine nchini.
Kama tunachangia 33% ya pato la taifa kwa nini tusiamue nani awe rais?
Rais ni Samia sasa hao watatuamuliaje?Hello great thinkers...
Mimi naona hii njia ya kuhesabu kura zote Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu ina mapungufu.
Kanda ya Ziwa ni kama inadetermine nani atakuwa Rais.
Na wenyewe kwa kutambua hili wanakua arrogant, kama wanavyomtishia mama kuwa hatashinda uchaguzi ujao (Sio wote)
Mimi naona hii sio fair kwa mikoa ile yenye watu wachache...
Kwa nini tusifanye kama Marekani?
Mkoa/jimbo moja linahesabu kura then anayeshinda anatangazwa ameshinda kwenye mkoa/jimbo hilo..
Anayeshinda mikoa yote ndio anakuwa Rais wetu...
Kwa njia hii hakuna Kanda itakayokua juu ya Kanda nyingine..
Fairness ndicho tunachokitaka...
Mkuu, kama wewe ni Me hem achana na malumbano ya ajabu. Its not fair ku attack personalities coz sisi kama tungetaka kumfahamu huyu bidada tungeenda chemba kuongea nae.Tafuta kazi za kufanya uache kuteseka ...wewe maisha yamekupiga kila kona ..kaanga hata miogo..nadhani umenikumbuka
Ndio Mwisho wa akili yakoNjia ya kwenda kwenye tanuru lako labda
Unafahamu njia ya kwenda kwao?Rais ni Samia sasa hao watatuamuliaje?
Unatishia kujamba wakati una tumbo la kuhara, jiangalie JF siyo kijiwe cha vichaa.Anaona kama kaficha ID kumbe tukimuamulia ni chapu tu...ila huyo dada ni jobless hana maisha
Nimeipenda hii, ni kweli inaweza kutugawanya,lakini hii nchi ina watu sio makini wengi, narejea point ya Mkuu Ncha Kali Rais anasema siwaletei maendeleo hamkunichagua, sasa huyo si alikuwa anatu divide, matokeo yake kaacha watu wako bitter wanaongea vibaya kuhusu yeye (Mwendazake), and as a reaction na wasukuma hawakubali mtu wao kusemwa vibaya....Inaweza kuwa pi mada zinazohusu kanda ya ziwa si za watu wa huko ila za kundi maalum lenye mlengo maalum hasa kutengeza chuki dhidi ya watu wa huko na watanzania wengine na leo waweza kuwa knda ya ziwa kwa kuwa raisi alitoka alikuwa wa huko ipo siku itakuwa upande wa kanda nyingine tahamaki nchi nzima tumegawanyika na hapo ndipo utakuwa mwisho wa taifa letu tujifunze kwa Ethiopia
Sifia ujingaUnatishia kujamba wakati una tumbo la kuhara, jiangalie JF siyo kijiwe cha vichaa.
Mstari ushauseti tangu ulipoanza kwa kusema “hello great thinkers” ni kwamba ulialika wenye akili timamu tu, hivyo jikite hapo jiepushe na hizo kenge.Thanks mkuu kwa kuniweka kwenye mstari, nawa ignore kuanzia sasa...
Yeah i like it mwaahNdio Mwisho wa akili yako
Mwanamke gani anaandika thanx mkuu😁Thanks mkuu kwa kuniweka kwenye mstari, nawa ignore kuanzia sasa...