Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Umenyanyaswa na nani lini? Rais wa kwanza ni JK Nyerere ametoka kanda ya ziwa na jeshi kiujumla limemilikiwa na kanda ya ziwa.kanda ya ziwa sasa tumeamka, mpende msi pende sisi ndiyo tunao amua mustakabali wa hiki ki nchi kinachoitwa Tz, tumenyanyaswa kwa miaka mingi kwa visingizio mbali mbali, enough is enough...……...
Mwanasheria mkuu wa kwanza Bomani ni msukuma, fisadi wa kwanza mzawa ni msukuma na aliwahi pia kuwa mwanasheria mkuu wa serikali Andrew Chenge.
Niendelee au nisiendeleee?....