Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais

Sio tu ushamba , ali pia na ubinafsi, hawa jamaa inaonekana kuna mengi walipewa favour na kuna uwezekano kulikuwa na mikakati ya kutawala milele , kanda ya ziwa kwa sasa inaweweseka sana na uwepo wa mama
Kuna populatipn kubwa sana ya watu wa Kanda ya Ziwa ambayo haikufurahia kabisa utawala wa Magufuli.

Tusidanganyike na fikra kama vile watu wote wa Kanda ya Ziwa walimfurahia Magufuli, halafu tukaanza kuleta chuki dhidi ya Watanzania wenzetu walioumizwa na utawala dhalimu wa Magufuli kama ilivyo kwa wengine wengi.

Ifahamike kuwa Magufuli hakuwa msukuma, lakini alitumia ujanja ule ule, kuwaona wasukuma ni wajinga, akiwadanfanya kuwa na yeye ni msukuma, ili wamwunge mkono kwa sababu ya kabila lake.

Baba na babu yake marehemu walihamia Nzera (Sengerema), wakitokea Kigoma. Na huko Kigoma, mzee Machalila, babu yake marehemu, alihamia akitokea Burundi.

Hivyo mambo ya ajabu ya marehemu kuyahusisha na kabila la wasukuma, ni kutowatendea haki wasukuma.

Mfahamu kuwa marehemu ni wa ukoo wa mzilankende (yaani ngedere), na hakuna ukoo wa namna hiyo usukumani.
 
Hakuna kitu kama hicho, ni porojo za wanasiasa tu.
Na porojo hizi zilianzishwa na yule mshamba na limbukeni wa madaraka. Alitaka kuipa umuhimu wa kipekee hiyo kanda. Hata Uhuru usio na mipaka wa wamachinga ulianzia huko kwa kusema "huko kuna wapiga kura wangu" hivyo waachwe wasibughudhiwe.
 
Kuna populatipn kubwa sana ya watu wa Kanda ya Ziwa ambayo haikufurahia kabisa utawala wa Magufuli.

Tusidanganyike na fikra kama vile watu wote wa Kanda ya Ziwa walimfurahia Magufuli, halafu tukaanza kuleta chuki dhidi ya Watanzania wenzetu walioumizwa na utawala dhalimu wa Magufuli kama ilivyo kwa wengine wengi.

Ifahamike kuwa Magufuli hakuwa msukuma, lakini alitumia ujanja ule ule, kuwaona wasukuma ni wajinga, akiwadanfanya kuwa na yeye ni msukuma, ili wamwunge mkono kwa sababu ya kabila lake.

Baba na babu yake marehemu walihamia Nzera (Sengerema), wakitokea Kigoma. Na huko Kigoma, mzee Machalila, babu yake marehemu, alihamia akitokea Burundi.

Hivyo mambo ya ajabu ya marehemu kuyahusisha na kabila la wasukuma, ni kutowatendea haki wasukuma.

Mfahamu kuwa marehemu ni wa ukoo wa mzilankende (yaani ngedere), na hakuna ukoo wa namna hiyo usukumani.
Kuna jamaa mmoja utingo huwa ana mpost magu sana anahisigi ni ngosha mwenzie😁😁
 
Nimemstaajabia kweli, kuna kanda inayo nyanyasika kama kusini?
 
Kanda ya ziwa ni nchi ndani ya nchi mama, hilo halina kipingamizi kwamba sisi ndio tuna determine nani awe rais na nani asiwe rais. Hilo liko wazi.

Mama analijua hilo ndio maana unaona kila kukicha anatutembelea.

Hii nchi tulikua taken advantage of kwa miaka mingi, sasa tumeshtuka na sasa tunaamua nani awe rais.

Faida moja ya kanda yetu ni kwamba tuna makabila mengi lakini yanayoelewana na yameingiliana kiasi kwamba wote tunaonekana kama kabila moja. Hii haipo kanda zingine nchini.

Kama tunachangia 33% ya pato la taifa kwa nini tusiamue nani awe rais?

[emoji23][emoji23][emoji23]SSM ndio wanaowachagulia nyie Rais, yaani hamna pa kukimbilia.
 
Hello great thinkers...

Mimi naona hii njia ya kuhesabu kura zote Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu ina mapungufu.

Kanda ya Ziwa ni kama inadetermine nani atakuwa Rais.

Na wenyewe kwa kutambua hili wanakua arrogant, kama wanavyomtishia mama kuwa hatashinda uchaguzi ujao (Sio wote)

Mimi naona hii sio fair kwa mikoa ile yenye watu wachache...

Kwa nini tusifanye kama Marekani?

Mkoa/jimbo moja linahesabu kura then anayeshinda anatangazwa ameshinda kwenye mkoa/jimbo hilo..

Anayeshinda mikoa yote ndio anakuwa Rais wetu...

Kwa njia hii hakuna Kanda itakayokua juu ya Kanda nyingine..

Fairness ndicho tunachokitaka...
Zifuatazo ni baadhi ya mistakes zinazopelekea kiongozi aliyepo akose sifa za Kugombea huko MBELENI.

1. Kujitambulisha kama kiongozi mpya wa Awamu ya Sita.

Huyu anamalizia KAZI walioanza na uncle, Kwa ILANI Ile Ile, bt wahuni wakafanya Yao, tunaambiwa tumeanza upya, wakaondolewa wote wa mtangulizi wake.

2. Kupuuzwa Kwa kila alichofanya mtangulizi hadharani, ikiwemo kuanzisha mradi wa Bagamoyo alioukataa uncle. Bwawa likawekwa pembeni na reli ya SGR nk.

3.Kukopa bila breki. Ndani ya miezi 8 pekee walikopa trilioni 10. Unaweza jiuliza hivi ndo tumepata uhuru? Mtangulizi Ina maana hakuacha chochote kwenye KIBUBU? Ripoti Ile ya hazina mbona haitoki?

4.Kurudisha Timu yote ya wapigaji walowekwa pembeni na mtangulizi wake. Tunaona pena, marope na MWIGU wanarudi tena Kwa Tambo, Unamwachaje Benchi LUKUVI, KIMEI, na wengine makini???

5.Kunyamazia ubaguzi na ukabila na Udini bila kukemea, mf SUKUMAGANG,
Divisions zimeachwa na zimekua ndani ya chama kiasi kwamba Kanda ya ziwa inajiona Si sehemu ya nchi tena. Lazima aje mwingine kurudisha Imani na utengamano.

6. Mgogoro wa Ngorongoro, jambo hili linazidi kuigawa Nchi, maana Kuna minongono kuwa urithi wetu kauziwa mwarabu na hatoki mtu Kutoa ufafanuzi.

7.Kuruhusu UCHIFU kurudi. Mambo hayo wenye busara wamekaa kimya wanasubiri muda ufike waamue.

Mengine utaongezeka mwenyewe. Amen
 
Kuna jamaa mmoja utingo huwa ana mpost magu sana anahisigi ni ngosha mwenzie😁😁
Mwendakuzimu ni Mrundi hili wala halina ubishi, idara ya usalama wa Taifa kuna sehemu ilizembea, watu wenye uraia wa aina hiyo kama hawa kina Bashe na Magufuli final stage yao wanapaswa kuishia kwenye uwaziri tu.
 
Hello great thinkers...

Mimi naona hii njia ya kuhesabu kura zote Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu ina mapungufu.

Kanda ya Ziwa ni kama inadetermine nani atakuwa Rais.

Na wenyewe kwa kutambua hili wanakua arrogant, kama wanavyomtishia mama kuwa hatashinda uchaguzi ujao (Sio wote)

Mimi naona hii sio fair kwa mikoa ile yenye watu wachache...

Kwa nini tusifanye kama Marekani?

Mkoa/jimbo moja linahesabu kura then anayeshinda anatangazwa ameshinda kwenye mkoa/jimbo hilo..

Anayeshinda mikoa yote ndio anakuwa Rais wetu...

Kwa njia hii hakuna Kanda itakayokua juu ya Kanda nyingine..

Fairness ndicho tunachokitaka...
Kwangu mimi naona ni wazo zuri sana
 
Zifuatazo ni baadhi ya mistakes zinazopelekea kiongozi aliyepo akose sifa za Kugombea huko MBELENI.

1. Kujitambulisha kama kiongozi mpya wa Awamu ya Sita.

Huyu anamalizia KAZI walioanza na uncle, Kwa ILANI Ile Ile, bt wahuni wakafanya Yao, tunaambiwa tumeanza upya, wakaondolewa wote wa mtangulizi wake.

2. Kupuuzwa Kwa kila alichofanya mtangulizi hadharani, ikiwemo kuanzisha mradi wa Bagamoyo alioukataa uncle. Bwawa likawekwa pembeni na reli ya SGR nk.

3.Kukopa bila breki. Ndani ya miezi 8 pekee walikopa trilioni 10. Unaweza jiuliza hivi ndo tumepata uhuru? Mtangulizi Ina maana hakuacha chochote kwenye KIBUBU? Ripoti Ile ya hazina mbona haitoki?

4.Kurudisha Timu yote ya wapigaji walowekwa pembeni na mtangulizi wake. Tunaona pena, marope na MWIGU wanarudi tena Kwa Tambo, Unamwachaje Benchi LUKUVI, KIMEI, na wengine makini???

5.Kunyamazia ubaguzi na ukabila na Udini bila kukemea, mf SUKUMAGANG,
Divisions zimeachwa na zimekua ndani ya chama kiasi kwamba Kanda ya ziwa inajiona Si sehemu ya nchi tena. Lazima aje mwingine kurudisha Imani na utengamano.

6. Mgogoro wa Ngorongoro, jambo hili linazidi kuigawa Nchi, maana Kuna minongono kuwa urithi wetu kauziwa mwarabu na hatoki mtu Kutoa ufafanuzi.

7.Kuruhusu UCHIFU kurudi. Mambo hayo wenye busara wamekaa kimya wanasubiri muda ufike waamue.

Mengine utaongezeka mwenyewe. Amen
Ona hili Sukuma gang linavyoweweseka, Rais wa Tanzania anawekwa madarakani na Tiss na siyo kura za Wasukuma.

Ingekuwa ni hivyo Lowasa angetangazwa mshindi wa Urais.
 
Ndipo FDR

Atakuja kumsaidia kuweka mambo Sawa!

TUSUBIRI
 
Mleta mada ni mwanga, kama sio mchawi. Njoo kwa Yesu uokolewe.

YESU KRISTO ni BWANA na MWOKOZI
Wazo lake kura zihesabiwe kimkoa ili mtu asishinde au kushindwa kwa sababu ya jimbo moja tu. Pinga ukitoa vigezo kutukana hoja yake. Mtu anaweza kushinda mikoa yote lakini mkoa mmoja wenye kura nyingi ukamdondosha...
 
Kanda ya ziwa ni nchi ndani ya nchi mama, hilo halina kipingamizi kwamba sisi ndio tuna determine nani awe rais na nani asiwe rais. Hilo liko wazi.

Mama analijua hilo ndio maana unaona kila kukicha anatutembelea.

Hii nchi tulikua taken advantage of kwa miaka mingi, sasa tumeshtuka na sasa tunaamua nani awe rais.

Faida moja ya kanda yetu ni kwamba tuna makabila mengi lakini yanayoelewana na yameingiliana kiasi kwamba wote tunaonekana kama kabila moja. Hii haipo kanda zingine nchini.

Kama tunachangia 33% ya pato la taifa kwa nini tusiamue nani awe rais?
Mi tangu magufuli awe Rais au kitambo mna hiyo power?
 
Ona hili Sukuma gang linavyoweweseka, Rais wa Tanzania anawekwa madarakani na Tiss na siyo kura za Wasukuma.

Ingekuwa ni hivyo Lowasa angetangazwa mshindi wa Urais.
Sawa. Tunza post yangu, utakuja irudia muda ukifika.

Huhitaji kuwa ANGELOUS kivile kuyaona niyaonayo. Amen
 
Hello great thinkers...

Mimi naona hii njia ya kuhesabu kura zote Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu ina mapungufu.

Kanda ya Ziwa ni kama inadetermine nani atakuwa Rais.

Na wenyewe kwa kutambua hili wanakua arrogant, kama wanavyomtishia mama kuwa hatashinda uchaguzi ujao (Sio wote)

Mimi naona hii sio fair kwa mikoa ile yenye watu wachache...

Kwa nini tusifanye kama Marekani?

Mkoa/jimbo moja linahesabu kura then anayeshinda anatangazwa ameshinda kwenye mkoa/jimbo hilo..

Anayeshinda mikoa yote ndio anakuwa Rais wetu...

Kwa njia hii hakuna Kanda itakayokua juu ya Kanda nyingine..

Fairness ndicho tunachokitaka...

Kwani rais anatokana na box la kura? Acha upotoshaji usio na tija yoyote.
 
Hakuna kitu kama hicho, ni porojo za wanasiasa tu. Idadi ya watu kanda ya ziwa haifiki robo ya watanzania wote.

Kanda ya ziwa inatumika kwasababu huko ndio washamba wamejazana.
Washamba wee kijana shika adabu yako aisee huko ndiko kutokako kila kitu na ndiyo mikoa ya watu wenye ubongo wa ukweli
 
Hello great thinkers...

Mimi naona hii njia ya kuhesabu kura zote Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu ina mapungufu.

Kanda ya Ziwa ni kama inadetermine nani atakuwa Rais.

Na wenyewe kwa kutambua hili wanakua arrogant, kama wanavyomtishia mama kuwa hatashinda uchaguzi ujao (Sio wote)

Mimi naona hii sio fair kwa mikoa ile yenye watu wachache...

Kwa nini tusifanye kama Marekani?

Mkoa/jimbo moja linahesabu kura then anayeshinda anatangazwa ameshinda kwenye mkoa/jimbo hilo..

Anayeshinda mikoa yote ndio anakuwa Rais wetu...

Kwa njia hii hakuna Kanda itakayokua juu ya Kanda nyingine..

Fairness ndicho tunachokitaka...
Hoja yako nzuri sana.

Ila Ccm hawawezi kukubali hili maana hiyo ndio ngome yao ya kuvuna kura nyingi.

Japo hawategemei Sana kura ili kushinda (zipo njia mbadala).
 
Back
Top Bottom