Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais

Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais

Kwa nini tusifanye kama Marekani? Mkoa/jimbo moja linahesabu kura then anayeshinda anatangazwa ameshinda kwenye mkoa/jimbo hilo.. Anayeshinda mikoa yote ndio anakuwa Rais wetu... Kwa njia hii hakuna Kanda itakayokua juu ya Kanda nyingine..
Hata kwa mfumo huo wa Marekani, si majimbo yote yanalingana kwa weight. Kuna majimbo ukishinda unapata kura 16, mengine kura 3 nk

1654846239279.png
 
Kwani rais anatokana na box la kura? Acha upotoshaji usio na tija yoyote.
Ndugu nikufikirishe kidogo, unaweza kuwa sawa, ya kuwa Rais hatokani na sanduku la kura.

Kama huo ndio UKWELI, nikuulize swali:
Kwann JK hakuweza kumpitisha Membe kuwa mgombea urais akiwa madarakani?

Fikiri nje ya box, Engine ya nchi yetu hauwezi kubali kupelekwa BIDHAA isiyouzika sokoni, Watanzania si wajinga kama unavodhani. Amen
 
Ni kweli Rais anawekwa na TISS???? wajameni msaada hapo...
 
Yesu Kristo ni wa wote mkuu. Alikuja kutafuta na kuwaokoa wote waliopotea. Yesu ndiye NJIA , KWELI na UZIMA. Mtu hafiki mbinguni ila kupitia Yeye. YOHANA 14:6.

JESUS IS LORD
Soma matador 15 :24 yesu alitumwa kwa wana Israel tu, sasa wewe mkonde unag'ngania yesu wa nini? Acheni kujipendekeza nyie wamakonde
 
Bt FDR wa tumia AKILI anatoka pwani. Ni tofauti na nimuonaye mm, tusubiri. Amen.
Mkuu
Wa Tumia akili ni Kati ya yale majina mawili yaliyopandishwa jukwaani!!?

Mmoja wa mkuranga na yule wa pangani Tanga!!?
Au ni Mpya yule aliepo visiwani!!?
Huyo wako atakuwa chaguo la Mama coz anamuombea Sana kwenye mikutano take anayofanya tena KWA Kasi Sana nchini hivi sasa!!
Ngoja tuone
 
Nikumbushe nani alipandisha majina ya wale vijana wawili? Naamini Si tumia AKILI, Yeye alioweka code.

Kumbe na mikutano umeiona. Inatifuliwa Pwani, Kanda ya ziwa vilivyo.

Basi tusubiri.
 
Hakuna kitu kama hicho, ni porojo za wanasiasa tu. Idadi ya watu kanda ya ziwa haifiki robo ya watanzania wote.

Kanda ya ziwa inatumika kwasababu huko ndio washamba wamejazana.
Una uhakika na majibu yako? Chimba ujue sababu halisi zinazowafanya wanasiasa waiogope Kanda ya ziwa. Zipo sababu sio huo ugoro uliosema.
 
Kuna populatipn kubwa sana ya watu wa Kanda ya Ziwa ambayo haikufurahia kabisa utawala wa Magufuli.

Tusidanganyike na fikra kama vile watu wote wa Kanda ya Ziwa walimfurahia Magufuli, halafu tukaanza kuleta chuki dhidi ya Watanzania wenzetu walioumizwa na utawala dhalimu wa Magufuli kama ilivyo kwa wengine wengi.

Ifahamike kuwa Magufuli hakuwa msukuma, lakini alitumia ujanja ule ule, kuwaona wasukuma ni wajinga, akiwadanfanya kuwa na yeye ni msukuma, ili wamwunge mkono kwa sababu ya kabila lake.

Baba na babu yake marehemu walihamia Nzera (Sengerema), wakitokea Kigoma. Na huko Kigoma, mzee Machalila, babu yake marehemu, alihamia akitokea Burundi.

Hivyo mambo ya ajabu ya marehemu kuyahusisha na kabila la wasukuma, ni kutowatendea haki wasukuma.

Mfahamu kuwa marehemu ni wa ukoo wa mzilankende (yaani ngedere), na hakuna ukoo wa namna hiyo usukumani.
Uongo wa mchana wewe hauko kanda ya ziwa, kanda ya ziwa ni eneo la machimbo ya dhahabu na almasi, wachimbaji walikuwa wanafukuzwa kama sio watanzania, walikuwa hawajui pa kuuza dhahabu wanapoipata, ilikuwa dhuruma, kuja kwa masoko kila mmoja anauza kwa muda wake, MADIGALA hawana tena nafasi. Pili zao la Pamba ni dhahabu ya juu ya ardhi, kama hujui uliza uelezwe uwepo wa shirecu, Nyanza coop na Mara Coop jinsi uchumi ulivyokuwa unashamiri, lakini kufa kwa vyama vya ushirika ulififisha juhudi za kujiletea maendeleo wana LAKE ZONE. Ujio wa Magu yote hayo yalifufuka, leo zao la pamba limerudi ktk mstari wake Dhahabu ina soko la uhakika. Sheria ya madini ilivyobadilishwa ilileta manufaa sana kwa wana Lake zone, leo hii mwana lake zone akigundua dhahabu anatafuta muwekezaji na yeye anakuwa na mtaji kwenye biashara kwa kutumia ardhi hiyo kama. Magu alikuwa namba tofauti kwa watu wa kawaida, achana na majambazi.HALAFU WEWE USEME MAGUFULI HAKUFANYA KITU.MAJALIWA ALITUMIKA SANA KUFUFUA MAZAO YA BIASHARA.
 
Hello great thinkers...

Mimi naona hii njia ya kuhesabu kura zote Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu ina mapungufu.

Kanda ya Ziwa ni kama inadetermine nani atakuwa Rais.

Na wenyewe kwa kutambua hili wanakua arrogant, kama wanavyomtishia mama kuwa hatashinda uchaguzi ujao (Sio wote)

Mimi naona hii sio fair kwa mikoa ile yenye watu wachache...

Kwa nini tusifanye kama Marekani?

Mkoa/jimbo moja linahesabu kura then anayeshinda anatangazwa ameshinda kwenye mkoa/jimbo hilo..

Anayeshinda mikoa yote ndio anakuwa Rais wetu...

Kwa njia hii hakuna Kanda itakayokua juu ya Kanda nyingine..

Fairness ndicho tunachokitaka...
Ujinga huu peleka Chadema
 
Huko ndiyo kuna mtaji wa ccm,huko ndiko mahali ambapo watu hutumika ni rahisi kushinda huko kama ukiwa na mikakati na chain kubwa Kama ifanyavyo ccm miaka yote.
 
Ona hili Sukuma gang linavyoweweseka, Rais wa Tanzania anawekwa madarakani na Tiss na siyo kura za Wasukuma.

Ingekuwa ni hivyo Lowasa angetangazwa mshindi wa Urais.
Usiishi kwa kukariri, kila zama na kitabu chake.Utakuja kushangaa siku ikiwa tofauti
 
Huko ndiyo kuna mtaji wa ccm,huko ndiko mahali ambapo watu hutumika ni rahisi kushinda huko kama ukiwa na mikakati na chain kubwa Kama ifanyavyo ccm miaka yote.
Rudia kusikiliza hotuba ya Mbowe alipotoka gerezani, alikiri kwamba 3/4 ya wabunge wa chadema 2015 walitoka kanza ya ziwa, na waliongoza 1/3 ya halmashauri zote za kanda ya ziwa. Ngome ya ccm?????? acha basi ulongo
 
Hello great thinkers...

Mimi naona hii njia ya kuhesabu kura zote Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu ina mapungufu.

Kanda ya Ziwa ni kama inadetermine nani atakuwa Rais.

Na wenyewe kwa kutambua hili wanakua arrogant, kama wanavyomtishia mama kuwa hatashinda uchaguzi ujao (Sio wote)

Mimi naona hii sio fair kwa mikoa ile yenye watu wachache...

Kwa nini tusifanye kama Marekani?

Mkoa/jimbo moja linahesabu kura then anayeshinda anatangazwa ameshinda kwenye mkoa/jimbo hilo..

Anayeshinda mikoa yote ndio anakuwa Rais wetu...

Kwa njia hii hakuna Kanda itakayokua juu ya Kanda nyingine..

Fairness ndicho tunachokitaka...

Wakitumia njia kama ya marekani, kanda ya ziwa itakua inatoa rais kila awamu 😁 idadi ya wananchi wa kanda ya ziwa ni kubwa kuliko kanda yoyote nchini.
 
Mimi naona heri tutawaliwe na wazanzibar, watu wa pwani au kanda ya ziwa hususani wasukuma.
 
Hello great thinkers...

Mimi naona hii njia ya kuhesabu kura zote Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu ina mapungufu.

Kanda ya Ziwa ni kama inadetermine nani atakuwa Rais.

Na wenyewe kwa kutambua hili wanakua arrogant, kama wanavyomtishia mama kuwa hatashinda uchaguzi ujao (Sio wote)

Mimi naona hii sio fair kwa mikoa ile yenye watu wachache...

Kwa nini tusifanye kama Marekani?

Mkoa/jimbo moja linahesabu kura then anayeshinda anatangazwa ameshinda kwenye mkoa/jimbo hilo..

Anayeshinda mikoa yote ndio anakuwa Rais wetu...

Kwa njia hii hakuna Kanda itakayokua juu ya Kanda nyingine..

Fairness ndicho tunachokitaka...
Mleta mada unajulikana ni sukuma gang tena saivi kuta kuchwa ni kuleta vimada vyenu uchwara humu ili mfanikiwe kupandikiza chuki zenu

Hakuna kanda inayoamua uchaguzi hapa Tanzania! Hizo ni porojo tu kama porojo zingine
 
Nafikiri ungesema wasukuma ungeeleweka, maana ukisema kanda ya ziwa kuna Mara na Kagera hakuna huo upumbavu na ushamba wa wasukuma.

Kwanza hata hao wasukuma kama kina Dialo hawataki hata kumsikia dikteta mwendakuzimu.
Hivi hunjui ukizungumza kanda ya zowa wenye uchumi na influence sio wahaya wala wakurya ni wasukuma! Note that!
 
Uchomaji Moto wa makanisa hufanyika awamu zipi?

Hiyo Matola ni taahira achana nae! Hajui kuwa awamu ya nne ndo awamu ya kishenzi sana nchi hii!
 
Back
Top Bottom