Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Ni mjings tu atakayekuunga mkono katika hiliHakuna kitu kama hicho, ni porojo za wanasiasa tu. Idadi ya watu kanda ya ziwa haifiki robo ya watanzania wote.
Kanda ya ziwa inatumika kwasababu huko ndio washamba wamejazana.
Hoja kwamba, Kanda ya ziwa kuwa ndio Nani awe raisi usiibeze mkuu
Kwa sabb, ikiwa kanda ya ziwa ndio itampa kura zote mgombea, katika mikoa mingine, nako atapata hata kama itakuwa ni kidogo, ila kanda ya ziwa ndio itakuwa sabb ya mgombea kutangzwa mshindi