Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Kura zikitangazwa kwa majimbo au mikoa kama ulivyotolea mfano Marekani, kwa nchi ya mazuzu kama hii ndo utayasikia yale ya siwaletei maendeleo kwa sababu hamkunichagua….. bado tuna siasa za kiduanzi.
Hiyo unayoita arrogance, hofu ya mama ni kwa vile anajua walichokifanya na wanachoendelea kufanya juu ya mwendazake….. kinawaumiza watu wengi hasa wa ziwani.
Hiyo unayoita arrogance, hofu ya mama ni kwa vile anajua walichokifanya na wanachoendelea kufanya juu ya mwendazake….. kinawaumiza watu wengi hasa wa ziwani.