Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais

Ubovu wa dhana nzima kwenye hii mada ni kudhani kwamba kanda ya Ziwa wote hawana auamzi wa kibinafsi kwa kila mpiga kura. Sijui dhana hii imeibuka kutoka wapi?

Kanda ya Ziwa maana yake ni nini?
 
Kwa iyo Singida, Tabora na Kigoma ni kanda ya ziwa?

Kweli wehu wengi sana nchi hii
 
Nani anawadanganya nyie wapuuzi mnaoendekeza ukabilavna ukanda?

Hakuna kanda inayoweza kuamua raisi nchi hii! Haijatokea
 
Umeeleza vizuri kiasi shida ya marekani ni kubwa kidogo haendi hivyo kiuhalisia. Issue ya electoral college imependelea majimbo ya wazungu kuliko majimbo yenye wazungu wachache na hawafuati population. Na hii iliwekwa kuwapendelea wazungu ili kura zao au majimbo yao yaweze kuamua urais. Kwetu sisi tunatumia popular vote yaani alieshinda kura nyingi achukue bila kuangalia zimetoka wapi na wala sio zaidi ya 50% yaani simple majority which is also very wrong. Kanda za ziwa wao wanataka watawale wengine kwa kigezo cho wingi wao na sio ubora wa kiongozi. Slowly, wataunda vyama vyao ili waweze kumpata kiongozi wao wanaomtaka ili wapate share kubwa ya cake ya Taifa. Hili lilijengwa na mwendazake na ndio linajitokeza sasa. Ni bora limejitokeza kabla ya kubadili Katiba yetu ili liangaliwe zaidi na kuliweka sawa kama ulivyosema kwa upande wa Kenya.
 
Singida ni Kanda ya Ziwa...?! Kagera ipo wapi...?!
 
Mwanza inatawaliwq hao wakurya na watu wa mkoa wa Mara kwa ujumla.

Kina Gachuma, Ka Kairo na wengine kibao, hadi Wenje akapata Ubunge usukumani wakati ni mkurya tu.
hata Kiwia alishawahi kuwa mbunge aliyemtoa Diallo enzi Chadema ikiwa ina akili nzuri watu kama kina Slaa 2010
 
Mwanza inatawaliwq hao wakurya na watu wa mkoa wa Mara kwa ujumla.

Kina Gachuma, Ka Kairo na wengine kibao, hadi Wenje akapata Ubunge usukumani wakati ni mkurya tu.
halafu Dibogo Hezekia Wenje sio Mkurya ni Mjaluo...
 
Kwani ukishinda kanda ya Ziwa Tanzania unatangazwa? Kwani kanda ya Ziwa ina % ngapi. Au mikoa mingap?
 
Kenya pia wamezuia hili huwezi kuwa Rais mpaka upate kura kwenye Kaunti 25 ikimaanisha hata upate kura za Wakikuyu na waluhya ambazo ni almost 40% ya kura zote huwezi ukapewa ushindi mpaka uokoteze na kura za makabila mengine.
Simple majority 50% plus 1 counts. Hayo mengine ni porojo tu.
 
Simple majority 50% plus 1 counts. Hayo mengine ni porojo tu.
Hapana lazima ifike 25 counties, wagombea Urais walikua 40 ila wamebakia 4 pekee sababu hawana wadhamini 2000 kutoka Kaunti 25!!!

So 50+1 sio kigezo pekee otherwise Uhuru asingebwagwa mahakamani na Odinga
 
Ametishiwa lini mkuu
 
Kwani ukishinda kanda ya Ziwa Tanzania unatangazwa? Kwani kanda ya Ziwa ina % ngapi. Au mikoa mingap?
Mleta mada anadhani Kanda ya ziwa Ina wapiga kura wengi kuliko maeneo mengine so hofu yake itaamua Rais 2025.

Suluhisho akasema liwekwe kama US Ili kuzuia majimbo yenye wapiga kura wengi kuamua Mshindi yenyewe.

Kwa Tanzania ukishinda kwa simple majority hata kama kura zako umeshinda Dar na Mwanza pekee basi unatangazwa Rais.

So michango iwe based hapo
 
Hapana lazima ifike 25 counties, wagombea Urais walikua 40 ila wamebakia 4 pekee sababu hawana wadhamini 2000 kutoka Kaunti 25!!!

So 50+1 sio kigezo pekee otherwise Uhuru asingebwagwa mahakamani na Odinga
Kipengere hiki cha 'conty' 25 hakijawahi kujaribiwa; hata hivyo, 'county 25 out of 47 ni hafifu sana kwa mgombea anayeweza kupata 50% ya kura zote kuwa kizingiti kwake.
 
Nasikia harufu ya pichu chafu hapa inaelekea kuna mwanamke ajasafisha nyeti zake vizuri
 
Mkuu Rebeca 83, mfumo wa uchaguzi is determined by the type of nation, nchi yetu ni nchi moja ya muungano wa Istawi union hivyo nchi yetu as a united Republic, tunafanya uchaguzi mkuu mmoja na mshindi anapatikana kwa a simple majority. US ni muungano wa federation, kila Jimbo linajitegemea kwa kuwa na electro votes na electro colleges ushindi unapatikana by quoter system, kama India.

Huu mfumo wetu wa uchaguzi wa ushindi wa simple majority, sio mfumo wa haki, tubadili.

Mfano Watanzania tuko watu milioni 50 ambao ni eligible voters, ukatangazwa uchaguzi, wakajiandikisha watu milioni 40, siku ya kupiga kura wakajitokeza watu 3, mshindi akapata kura 2, aliyeshindwa kapata kura 1. Yule wa kura mbili ndiye mshindi halali, ila sio haki kwa kiongozi wa wapiga kura milioni 50 kuchaguliwa na kura mbili!.

Tuanzishe quota system, mshindi wa uchaguzi lazima apate ushindi wa zaidi asilimia 51 kutoka pande zote za muungano, uchaguzi ukifanyika huku hakuna chama kilichofikia hiyo 51%, then ili chama kiunde serikali ni lazima kijiunge na vyama vingine ili kufikia hiyo percentage vinginevyo uchaguzi unaingia kwenye re run ya duru ya pili kwa vyama vilivyoongoza.

Tungekuwa na a quota system ya ushindi wa muungano lazima chama kipate 51% ya kura za Zanzibar, then hakuna siku CCM ingetawala Tanzania yenyewe kwasababu upande wa Zanzibar, matokeo ya NEC ndio matokeo halali, uchaguzi wa 2015, matokeo ya NEC Zanzibar, CCM ilishindwa vibaya, ila ZEC, ndio Jecha akaokoa jahazi! Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda

Nikimalizia na hoja ya Ukanda, ni ukweli bayana Tanzania tuna kanda ambazo ni determinant za urais wa JMT. Kanda hiyo ni Kanda ya Ziwa, na sababu ni moja tuu, ina watu wengi!. Wanawake wa Kanda ya Ziwa ndio wanaongoza kwa fertility, huku midume ya Kanda ya Ziwa ikiongoza kwa kuwa midume ya mbegu!, mi mwenyewe hapa ni usiseme!.

Hili la Kanda ya Ziwa, nililisema hapa Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi! humo nilisema...
Hiyo ilikuwa 2012
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…